China yasema ipo tayari kwa vita, yaizingira Taiwan

China yasema ipo tayari kwa vita, yaizingira Taiwan

Wapo mstari wa mbele mda huu.
🚨Update: Chinese PLA Army, Navy and Air Forces are surrounding Taiwan, cutting it off from the world! Tens of thousands of troops, hundreds of fighter jets and dozens of warships have been deployed….
What's the source of this news because it's likely to be another script from masjid ubwabwa. Most of the fake news of this nature emanates from the muslim's religious places where there is a strong anti American sentiments among the Mohammedan followers.
 
Mnanishangazaga Ukraine Bila NATO asingepigana hata wiki 1,ogopa san mrusi Bado anateka tu vijiji karbia DONOBUS yote imechukuliwa..Hakuna mbwa yeyote WA magharibi atapigana na Russia alone


Na baada ya hii Vita duni itaheshikiana,tumetoka kwenye unpolar ( USA) na bipolar ( USA +Eu) Sasa tunaenda multpolar Russia,china na India....Dunia mpya inakuja
Dunia hii haitakaa itawaliwe na watu wanaoongea lugha zisizojulikana na ambao hata pesa zao hazijulikani.
 
zisizojulikana
Pole Sanaa,labda hujui historia,wayunani,waajemi,waamedi,warumi,Anatolia walitawala hii sukia na washaanguka,Sasa hivi wazungu wanafunga viwanda vya magari mchina anawapeleka sana na magari ya umeme Kwa bei rahisi,huku wao wakipigania ushoga china wanazalisha engineers 4m Kila mwaka utafika Kipindi Huwezi Jenga barabara,reli,nyumba and etc Bila mchina miaka 50 ijayo ulaya itaanguka vibaya sana tupo hapanaaaa eti lugha na PESA akii za li CCM hizi
 
Linapokuja suala la vita, China huwa ni kubwa jinga. Hakuna atachofanya mbele ya West
 
Ujinga ameleta USA, ametaka kuwa leader alafu anakuwa na double standerd na masilahi kibao. Ujinga huo mwamba Putin hawezi akaukubali
Ni hii ndo chanzo cha migogoro mingi dunia mfano Saudi hata akiamua kuwaua raia zake yeye kwake ni sawa ila iran hata akiandamana tu mwananchi CNN na BBC wanaweza kupata uchambuzi na coverage hata ya week moja
 
Hiyo ni mikwara tuu hakuna siku China itarusha hata kombora moja kuelekea Taiwan
Mwaka 2000 nilikuwa Taiwan.. Mikwara ilikuwa heavy mpaka ikabidi wageni tuondoke usiku kuelekea Japan
Kufika kule kuna Mjapan akasema matajiri wa china asilimia 90 ni wataiwan na ndio walio ibust China kiuchumi hivyo hawatakaa waiguse hiyo nchi.. Nyie kesho rudini Taipei kwa amani maana hakuna vita
Ni miaka 24 imepita China hajawahi kuigusa Taiwan ila kwa mikwara tu hawajambo
Unazungumzia miaka 24 wakati mgogoro unazaidi ya miaka 70 hao matajiri asilimia 90 wataje hapa ?
 
Na sisi tukainyakue Zanzibar Kwa nguvu na tuweke viongozi wote wa Tanganyika kuanzia mwenyekiti wa mtaa,mbunge,mkuu wa wilaya,Ded,Ras na mkuu wa mkoa na tuifanye mkoa wa Tanganyika ili tumalize kero za muungano
Tena hata haupotezi hata risasi, tunachukua wamasai na bakora tu. Mnawaambia wamasai mkiiteka zanzibar inakuwa yenu. Chapu tuuu
 
Nae kaona apigepige biti kaona wenzie wanakiwasha
China, hata siku moja, haiwezi kukubali kupigana au kuwekewa vikwazo na mataifa ya Magharibi.

Mataifa ya Magharibi ndiyo yaliyoifanya China ifike hapo ilipo. China imeishi kwenye uchumi wa kubabaisha kwa miaka mingi. Ni baada ya kupokea ushauri wa mataifa ya Magharibi, na kukubali kubinafsisha shughuli nyingi za kiuchumi na biashara, na Mataifa mengi ya Magharibi kuwekeza heavily China, ndipo uchumi wa China ulipaa na kukua mfulululizo kwa 12% kwa mwaka, kwa miaka kadhaa. Mpaka leo kuna makampuni zaidi ya milioni 1 ya kutoka mataifa ya Magharibi nchini China. Makampuni hayo yote yakiondoka mara moja kwa sababu ya vita, uchumi wa China utayumba vibaya sana, na China haitaki kabisa hilo litokee.
 
Huuu mwaka marekani atabanwa kote kote kama alivozoea kuwabana wenzake na nato yake
Hapo Marekani anahusikaj ? Marekani kukemea ujangiri wa china usiwe sababu yakumvisha yanayoendelea Huko Asia
 
Mkuu TAIWANI ni sehemu ya kimkakati kwa TECH Ni km ARUSHA itake kujitenga ni kamkoa kadogo lakini ni muhimu sana kwa TANZANIA
Mifano Yako haifanani , Taiwan Ina rais , je Kuna sehemu nyingine ndani ya China Ina serikali yake mbali na Hong Kong na Mongolia maeneo yaliyomezwa na China
 
Back
Top Bottom