China yatangaza kuiunga mkono Russia, yailaumu Marekani kusababisha mzozo wa Ukraine, yasema Urusi imelazimika kujilinda

Naposema me ntamuunga mkono PUTIN nna maana yangu, sio kwa faida yangu lakn ntasimama kama navofanya kwa SIMBA na CHEALSE maake hili nalo ni aina nyingine ya michezo iliyoanzishwa na mwanadamu kwa KIVULI cha MUNGU
 
Urusi inahitaji ni msaada wa tik tok tuu wala sio kijeshi kwan anakaadhibu Katoto kake na mtoto kwa baba hakui jaman
 
[emoji16][emoji16][emoji16]Wana aminishwa ujinga na wao Wana Amini
 
[emoji81]Urusi ana zidi kuingizwa cha kike story itabakia kwa Usa vs China ..mchina hawezi saidia chochote kuhusiana na vita
China ni ya tatu kwa nguvu kijeshi ukiitoa Russia na USA
 
Sasa Waaafrika tuutumie huu mwanya wa 3WW kujiimarisha na kuwa ma great power.

Vinginevyo tutaendelea kuwa watumwa miaka nenda uje

Ujiimarishe kivipi na kwa lipi??----- sayansi huijui teknoloji nayo imekutupa mkono, wenzako mambo hayo ndiyo yaliyowapa nguvu na kiburi kuitawala dunia.
 
#BIG:[emoji599] Russia ready to negotiate Ukraine's surrender: Kremlin

#RussiaUkraineConflict
 
Sasa Waaafrika tuutumie huu mwanya wa 3WW kujiimarisha na kuwa ma great power.

Vinginevyo tutaendelea kuwa watumwa miaka nenda uje
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Viongozi wetu wenyewe kila siku viguru na njia kwenda kutembeza babuli kwa mabeberu.
 
Iraq wants to sign a contract with Russian state gas giant Gazprom Neft to offer the company better conditions for the development of the Badra field in eastern Iraq in the near future.
 
Iraq wants to sign a contract with Russian state gas giant Gazprom Neft to offer the company better conditions for the development of the Badra field in eastern Iraq in the near future.
 
Magu angekuwepo angeomba kupeleka jeshi Ukraine kupambana na Russia maana alikuwa anajiamini na kila kitu
 
[emoji81]Urusi ana zidi kuingizwa cha kike story itabakia kwa Usa vs China ..mchina hawezi saidia chochote kuhusiana na vita
Mrusi ndiye mwanaume pekee anaeweza kusimama peke yake sisi tuendelee kupokea misaada ya vyandarua na arv kaa kimya
 
Magu angekuwepo angeomba kupeleka jeshi Ukraine kupambana na Russia maana alikuwa anajiamini na kila kitu
Sio kweli,
Magu na wamarekan Ni paka na panya.

Magu alikua na instincts za kisoshalisti, Hapa Lazima Angelika upande wa Putin,Noth korea na China.
 
Sisi labda tuwe great powers tukifa maana ndio huwa tunabadilika na kuwa mizimu. Wazungu wakifa wanapumzika sisi bado tunakuwa re-used
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duh leo nimecheka, we jamaa wewe!
Hapana bwana wanaokuwa mizimu wasio muamini Mungu
Duh ,nimecheka jmn
 
At least umenifungua kiasi
It makes sense[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…