STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
#BREAKING US stocks open sharply lower after Russia invasion of Ukraine, Dow -2.5% https://t.co/ajGFWvn1HO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naposema me ntamuunga mkono PUTIN nna maana yangu, sio kwa faida yangu lakn ntasimama kama navofanya kwa SIMBA na CHEALSE maake hili nalo ni aina nyingine ya michezo iliyoanzishwa na mwanadamu kwa KIVULI cha MUNGUChina imetangaza kuiunga mkono Russia, huku ikiilaumu Marekani kwa kusababisha mzozo wa Ukraine na hata kuvamiwa kwa Ukraine (na Urusi).
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China amesema Marekani imekuwa ikituma silaha za kivita nchini Ukraine, ikatengeneza hali ya hofu na paniki (kwa Urusi, jirani wa Ukraine), na ikawa pia yafanya vitisho vya vita. Hali hiyo hatimae iliifanya Russia kutambua kuwa usalama wake upo hatarini na hivyo kulazimika kuchukua hatua za kujilinda mapema.
======
![]()
China stands by Putin as Beijing blames US for Ukraine crisis: 'Russia forced to realise security demands'
Big explosions were heard before dawn in Kyiv, Kharkiv and Odesawww.gbnews.uk
China has stood by Russia, accusing the US of causing the invasion in Ukraine.
The state-run Global Times said Washington "“finally forced Russia to try to realise its security demands in such a way".
GB News' Isabel Webster also tweeted this morning: "Chinese Foreign Ministry says they 'do not recognise' foreign reports of a Russian invasion in Ukraine."
Chinese foreign ministry spokeswoman Hua Chunying said Washington “keeps sending weapons to Ukraine, creating fear and panic and even playing up the threat of war”.
Chinese ministry spokesman, Wang Wenbin, said: “China is closely monitoring the evolving situation in Ukraine. China’s position on the Ukraine issue is consistent.
"The legitimate security concerns of any country should be respected, and the purposes and principles of the UN Charter should be jointly upheld.”
Labda magreat power wa kugegeda.Sasa Waaafrika tuutumie huu mwanya wa 3WW kujiimarisha na kuwa ma great power.
Vinginevyo tutaendelea kuwa watumwa miaka nenda uje
[emoji16][emoji16][emoji16]Wana aminishwa ujinga na wao Wana AminiDuuuuh [emoji15][emoji1787][emoji1787].
Kwa hiyo Urusi ,China hakuna maisha mazuri anayopaswa kuishi binadamu ?!!![emoji15][emoji1787]
Starehe ,Kazi ,Bata ,huduma za kijamii zimejaa tele na supaaaa....
Haya mkuu kila la heri hapo peponi Chicago [emoji106]
China ni ya tatu kwa nguvu kijeshi ukiitoa Russia na USA[emoji81]Urusi ana zidi kuingizwa cha kike story itabakia kwa Usa vs China ..mchina hawezi saidia chochote kuhusiana na vita
Sasa Waaafrika tuutumie huu mwanya wa 3WW kujiimarisha na kuwa ma great power.
Vinginevyo tutaendelea kuwa watumwa miaka nenda uje
Hakika msomi wangu 🤣🤣[emoji16][emoji16][emoji16]Wana aminishwa ujinga na wao Wana Amini
Huko wanapooneaga vidagaaWanaume wana pambana angalia youtube battle in feluja uta jua marekani ni mtu gani
😀 😀 😀 Viongozi wetu wenyewe kila siku viguru na njia kwenda kutembeza babuli kwa mabeberu.Sasa Waaafrika tuutumie huu mwanya wa 3WW kujiimarisha na kuwa ma great power.
Vinginevyo tutaendelea kuwa watumwa miaka nenda uje
Mrusi ndiye mwanaume pekee anaeweza kusimama peke yake sisi tuendelee kupokea misaada ya vyandarua na arv kaa kimya[emoji81]Urusi ana zidi kuingizwa cha kike story itabakia kwa Usa vs China ..mchina hawezi saidia chochote kuhusiana na vita
Sio kweli,Magu angekuwepo angeomba kupeleka jeshi Ukraine kupambana na Russia maana alikuwa anajiamini na kila kitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duh leo nimecheka, we jamaa wewe!Sisi labda tuwe great powers tukifa maana ndio huwa tunabadilika na kuwa mizimu. Wazungu wakifa wanapumzika sisi bado tunakuwa re-used
At least umenifungua kiasiSasa China anawezaje kuipinga Russia wakati kilichofanyika kina tofauti ndogo ila ni kilekile na kesi ya Taiwan au Hong Kong kwa China. Ni sawa na nikikuhakikishia hutokaa usikie serikali ya Uingereza inaunga mkono watu wa jimbo la Cataluna wanavyotaka kujitenga na Spain kwa vile UK nayo inaweza kumbwa na hitaji la watu wa Ireland au Scotland kujitenga.
Yani hutosikia mfano Tanzania inaunga mkono mojawapo ya kisiwa cha Shelisheli kujitenga wakati Zanzibar ina vuguvugu la chini kwa chini. Na nchi zenye Veto power huwa zinawekeana reserve ya kuteteana hata kama kitu ni kibaya. George Bush Jr. na Tony Blair si waliingia Iraq kinyume cha Baraza la Usalama la UN wakienda kutafuta silaha ambazo hazipo. Nani aliwahi funguliwa kesi?
Yemen si inashambuliwa na Saudi Arabia kupambana na waasi ili kurudisha serikali ambayo ni Saudi Arabia tu inaitaka kisa wote ni Wasunni, nani atailazimisha Saudia iache. Ikitokea WW3 miaka kadha baadae watu watakuwa wanasoma historia jinsi UN ilivyokuwa weak