China yatuma ndege 38 za kijeshi mpakani mwa Taiwan

jambo la kujiuliza Us atakuwa tayari kumuacha ally wake mhimu kama Taiwan avamiwe na uchina?. kuiruhusu china kuivamia Taiwan ni sawa na kutoa Baraka kwa S/Korea kuivamiwa N/korea as long as washirika wengine wa Us watajiona hawako salama mikononi mwa Us endapo uvamizi wa china utapita bila response yoyote.
hii fedheha Us hawezi ikubali kwa gharama yoyote ile.
 
Atakubali kama alivyoishia kupiga kelele tu kwa Crimea
 
kumbuka insu ya crimea ni tofauti na Taiwan.
labda ufafanue ni kwa vipi inshu hii ni kama crimea.
Huo ni mfano nimekupa

Taiwan sio kwamba ni mshirika muhimu sana wa Marekani bali Marekani inalazimisha kujiweka karibu na Taiwan kwaajili ya kuitengenezea China migogoro.
Crimea napo Marekani ilitaka kujisogeza karibu na Ukraine kwa lengo la kwenda kuweka kambi yake ya silaha kwenye rasi ya Crimea ili kuimulika Urusi... Urusi alipojua hakuchelewa akachukua hatua kali zilizomuacha muamerika na maneno matupu.

Vivyo hivyo kwa Taiwan malengo ni hayohayo yakiambatana na hofu kwamba Taiwan ikirejea China, China itazidi kuwa na nguvu huku ikitawala eneo kubwa la bahari na visiwa
 
ila kumbuka
sawa Us alijisogeza crimea, but you
Taiwan na hong kong ni kaa la moto kwa china.. unakosea pakubwa kulinganisha saga la cremia na Taiwan ama Hong Kong.
 
Hao maadui wa Marekani wenye nguvu ni kina nani?...je ni Iran na Urusi (ambao ni wa miaka mingi) au kuna wengine wapya?

Hao maadui wa Marekani wana kipi kipya watakachoipatia China ili iwapiku Marekani?....je hao maadui wana kipi ambacho Marekani haina au haiwezi kukipata?
 
Taiwan na Makerani wana mutual agreement ya kusaidia wakati wa uvamizi.
 
Endelea kujidanganya,China hana uwezo wa kuivamia Taiwan na ujue majirani zake wengi wanamvizia waone jinsi atakavyofanya huo ujinga na wao wamwage mboga.
 
Ukiangalia Makala za Al-Jazeera na Stori za humu ni kichekesho. China wenyewe washabainisha wazi kuirudisha Taiwan ni task kubwa na inawaumiza kichwa, kumbuka kuna Taipei pia wanachokochoko hizo, huku Honkong nae hataki tena kuwa chini ya China
Bila kusahau wale majirani aliowapora visiwa na sehemu ya bahari,hawa wanasubiri China aivamie Taiwan na wao wakinukishe sababu wataona akimalizana na Taiwan atawafuata wao.
 
Embu nitajie maadaui wa Marekani pale Mashariki ya Mbali ni wapi,na pia nitajie washirika wa China hapo Mashiriki ya Mbali ni wakina nani zaidi ya Korea Kaskazini?
 
Taiwan na Makerani wana mutual agreement ya kusaidia wakati wa uvamizi.
Amini usiamini, moto ukiwaka utaona Marekani anaongelea vikwazo tu.

Marekani kuisaidia Taiwan kijeshi moja kwa moja ni kutangaza vita rasmi na China.
 
Amini usiamini, moto ukiwaka utaona Marekani anaongelea vikwazo tu.

Marekani kuisaidia Taiwan kijeshi moja kwa moja ni kutangaza vita rasmi na China.
Mara zote Marekani anatimizaga mkataba aliosaini,usione China anajizuia kuvamia Taiwan sababu anajua nini kitamkuta.
 
Hata Ukraine jimbo la luhansk na donestk marekan anatoa sapot ya kila aina na bado ngoma ngumu kutegemea msaada hakuwez dhamin usalama wako unatakiwa uwezo binafs msaada iwe ziada tu
 
Mara zote Marekani anatimizaga mkataba aliosaini,usione China anajizuia kuvamia Taiwan sababu anajua nini kitamkuta.
[emoji38][emoji38][emoji38]
Kama unategemea kwamba US ata wage a totally war na UCHINA kisa Taiwan unakosea sana yaan
Kubwa jamaa akianza kula kipigo hapo tutaanza kusikia kuhusiana na sanctions no more yaan
Hicho kitendo cha jana cjui juzi kilikua tangazo rasmi la vita yaan
Kuona vita yajumla ya UCHINA na US kwamgongo wa TAIWAN bado sana yaan na TAIWAN nisuala la muda tu itakua sehem ya UCHINA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…