China yavunja na kubomoa misikiti kwa ajili ya matumizi ya kiserikali

hahaha dini eti dini yao ya kimila "Buddhism ni dini yakimila na uislam ni mila za kiarabu" discuss
 
Hizo nchi zimelaaniwa
 
Yani wewe iweke vyovyote utavyoiweka.
 
Asante kwa kutuelezea dini zilitokea wapi, je unaweza kuchambua dini zinaenda wapi? Yani baada ya miaka 1000 ijayo hali itakuwaje?

Kwa mtazamo wangu uislam utatawala Dunia, ukriso utakufa.
Dini zipo hadi mwisho wa dunia.
Waislamu lazima usali msikitini,Ukristo hata online tu unasali thus ulaya wameamia kusali online
 
Hiyo kitu haiwezekan kwenye uislam, uzuri Quran ishakamilisha Kila kitu na Muhammad ndiye mtume wa mwisho, akijitokeza mtu kama Mwamposa kwenye uislam asubuhi tu mtamkuta amening'inizwa
kikubwa sio maandiko,,,ishu ni lifestyle..............tena wale wa misimamo mikali ndo wanaenda kupotea kabisa wanabaki wale wa leo msikitini baadae kwenye viti virefu baa
 
Unafahamu kuwa Waislam ndiyo waliifikisha na kuifundisha Kung Fu China?
Acheni kudanganya watu😅 Kung Fu is grounded in the philosophy of Taoism.
Taoism, pre-dates Islam, it even pre-dates Buddhism(one of the oldest religions in the world) which has played a significant role, given kung fu was first practised by Chinese Monks who later established the Shaolin Temple.

Yaan waislamu ni watu waongo, waongo saaana, na hii ni kwa sababu mtume wenu kawaruhusu kudanganya kama una nia ya kuutetea uislamu, ukizungumzia kung fu kuanzishwa na uislamu unachekesha, kung fu pre-dates Islam, Islam is only 1400 years old alaf unashindana na dini za zamani kama Taoism na Buddhism.

What a disgrace😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…