paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Itafika hatua, Taifa la Marekani lichukiwe na kila Nchi Kwa sababu ya ukandamizaji wake Kwa nchi nyingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza kwanza kujitegemea kwenye ARV'S kwani itakuwa kiama kwa wananchi wako, wanaotumia!!kama panadol tu ni mtihani, sembuse hizo dawa!!Tunamuwekea Pompoya (Mike Pompeo) jambo jingine mkuu hebu shirikisha na ubongo wako kidogo, kuna miradi mingi ya viongozi wa USA hapa nchini kuanzia kwa Bush mdogo, Obama, nk! Shtuka, tunawza kuwawekea vikwazo vya kuwekeza hapa!
China ilisha semaga yoyote atakae igusa Tanzania,China itamshuhulukia bila huruma! Tayari wamesha aanza kuwashulikia Ma Afisa wa US!!Tanzania tunafeli wapi....nasis tulianzishe[emoji2][emoji2]
Haina uhusiano, acha kuota ndoto za machana!China ilisha semaga yoyote atakae igusa Tanzania, China itamshuhulukia bila huruma! Tayari wamesha aanza kuwashulikia Ma Afisa wa US!
Hili ni pendekezo?Itafika hatua, Taifa la Marekani lichukiwe na kila Nchi Kwa sababu ya ukandamizaji wake Kwa nchi nyingine
Roma haikujengwa siku moja ARV ambazo tunaimport kutoka INDIA, mbona muda sio mrefu tunaanza kutengeneza tu!Anza kwanza kujitegemea kwenye ARV'S kwani itakuwa kiama kwa wananchi wako, wanaotumia!!kama panadol tu ni mtihani, sembuse hizo dawa!!
Huelewi chochote juu ya uhusiano wa nchi na nchi.[emoji16][emoji16][emoji16],China inachekesha sana!Hivi ukiambiwa Chagua nchi 10 duniani ambazo ungependa kuzitembelea,China itakuwemo kweli?
Na wewe acha porojo,kwani ukimfungia mtu binafsi mfano Pompeo,kesho Biden akaweka mtu mwingine kama katibu wa mambo ya nje,unadhani mambo ya kiofisi yatakwama?Huelewi chochote juu ya uhusiano wa nchi na nchi.
Kwa akili yako wewe unafikiri wanaendaga China au USA kushangaa majengo na maghorofa?
Wewe ndio una porojo mkuu,!Na wewe acha porojo,kwani ukimfungia mtu binafsi mfano Pompeo,kesho Biden akaweka mtu mwingine kama katibu wa mambo ya nje,unadhani mambo ya kiofisi yatakwama?
Usijifanye mjuaji,kumfungia Mmarekani fulani kwenda China hakuwezi kukwamisha masuala ya nchi na nchi!Tena unakuja kumfungia mtu aliyemaliza muda wake ofisini[emoji16][emoji16][emoji16]!
Wabongo kwa kujifanya wajuaje,umenichekesha sana[emoji16][emoji16]!
Usiniwekee maneno mdomoni,hayo unayosema yathibitishe kama mimi nimeyatamka mahala popote!Wewe ndio una porojo mkuu,!
Mbona wewe unashangilia maafisa wa NEC kufungiwa kwenda USA? Kwani kutokwenda kwao kipi kitakwama hapa tz? Hao pia si Magu anaweza kuamua kuwabadirisha muda wowote?
Jiamini mkuu Marekani siyo mbinguni
Je, Maafisa wa Nec kuzuiwa kwenda USA kutaithiri vipi tz?Usiniwekee maneno mdomoni,hayo unayosema yathibitishe kama mimi nimeyatamka mahala popote!
Hawa maafisa wetu wanapenda kwenda kula bata Marekani ndio maana ban linawahusu wao binafsi!
Si unaona kama Makonda alivyokuwa anakula bata USA,akala ban kwenda huko!Sasa hivi bata lake ni SA!
Swali kwako:Wewe elezea kama ulivyosema kwenye comment ya awali,Pompeo kuzuiwa kuingia China kutaiathiri vipi Marekani?
Sisi tunaihitaji USA kuliko wao wanatuhitaji sisi!Je, Maafisa wa Nec kuzuiwa kwenda USA kutaithiri vipi tz?
Alafu Makonda ana maisha mazuri sana hata bila kwenda USA, kamwe hawezi kuukosa ugali wake na familia yake kisa haendi usa.
Hizi nchi za kuchukua hatua ziko wapi?Itafika hatua, Taifa la Marekani lichukiwe na kila Nchi Kwa sababu ya ukandamizaji wake Kwa nchi nyingine
Hii kauli ni uwongo. Eti yoyote atakae igusa tanzania.. nani kasema? Mchina anajali taifa lake. China hawatuutetei. Wako hapa kuchukua rasilimali.China ilisha semaga yoyote atakae igusa Tanzania,China itamshuhulukia bila huruma! Tayari wamesha aanza kuwashulikia Ma Afisa wa US!!
Dependency to who ??My point was due to dependency anyone can do anything and can get away with it
Dependency to who? This convo will just get weird if you don't even know Africa depends on who...Dependency to who ??
Aisee wew mwanamke ni mjinga. Waafrika wamekuwa kwenye vita miaka yote hata kabla ya Ukoloni.Nikuulize swali moja tuu,
HAO UNAOSEMA TUWASHUKURU LEO WAKATI WANAKUJA WALIWAKUTA WAAFRIKA WANAUANA KAMA WANAVYOANA SASA PALE DRC CHINI YA USIMAMIZI WAO?
Hakuna kitu kama hicho...Wewe hujui eee
Aisee wew mwanamke ni mjinga. Waafrika wamekuwa kwenye vita miaka yote hata kabla ya Ukoloni.
Machief walikuwa wanapambana kupanua himaya zao.
Utu, UBINADAMU na Ustaarabu miongoni mwa jamii ya watu weusi bado ni bidhaa adimu mpaka leo.