China yawawekea vikwazo viongozi 28 wa Trump ndani yake yupo Mike Pompeo

China yawawekea vikwazo viongozi 28 wa Trump ndani yake yupo Mike Pompeo

Itafika hatua, Taifa la Marekani lichukiwe na kila Nchi Kwa sababu ya ukandamizaji wake Kwa nchi nyingine
 
Tunamuwekea Pompoya (Mike Pompeo) jambo jingine mkuu hebu shirikisha na ubongo wako kidogo, kuna miradi mingi ya viongozi wa USA hapa nchini kuanzia kwa Bush mdogo, Obama, nk! Shtuka, tunawza kuwawekea vikwazo vya kuwekeza hapa!
Anza kwanza kujitegemea kwenye ARV'S kwani itakuwa kiama kwa wananchi wako, wanaotumia!!kama panadol tu ni mtihani, sembuse hizo dawa!!
 
Tanzania tunafeli wapi....nasis tulianzishe[emoji2][emoji2]
China ilisha semaga yoyote atakae igusa Tanzania,China itamshuhulukia bila huruma! Tayari wamesha aanza kuwashulikia Ma Afisa wa US!!
 
Anza kwanza kujitegemea kwenye ARV'S kwani itakuwa kiama kwa wananchi wako, wanaotumia!!kama panadol tu ni mtihani, sembuse hizo dawa!!
Roma haikujengwa siku moja ARV ambazo tunaimport kutoka INDIA, mbona muda sio mrefu tunaanza kutengeneza tu!
 
[emoji16][emoji16][emoji16],China inachekesha sana!Hivi ukiambiwa Chagua nchi 10 duniani ambazo ungependa kuzitembelea,China itakuwemo kweli?
Huelewi chochote juu ya uhusiano wa nchi na nchi.

Kwa akili yako wewe unafikiri wanaendaga China au USA kushangaa majengo na maghorofa?
 
Huelewi chochote juu ya uhusiano wa nchi na nchi.

Kwa akili yako wewe unafikiri wanaendaga China au USA kushangaa majengo na maghorofa?
Na wewe acha porojo,kwani ukimfungia mtu binafsi mfano Pompeo,kesho Biden akaweka mtu mwingine kama katibu wa mambo ya nje,unadhani mambo ya kiofisi yatakwama?
Usijifanye mjuaji,kumfungia Mmarekani fulani kwenda China hakuwezi kukwamisha masuala ya nchi na nchi!Tena unakuja kumfungia mtu aliyemaliza muda wake ofisini😁😁😁!

Wabongo kwa kujifanya wajuaje,umenichekesha sana😁😁!
 
Na wewe acha porojo,kwani ukimfungia mtu binafsi mfano Pompeo,kesho Biden akaweka mtu mwingine kama katibu wa mambo ya nje,unadhani mambo ya kiofisi yatakwama?
Usijifanye mjuaji,kumfungia Mmarekani fulani kwenda China hakuwezi kukwamisha masuala ya nchi na nchi!Tena unakuja kumfungia mtu aliyemaliza muda wake ofisini[emoji16][emoji16][emoji16]!

Wabongo kwa kujifanya wajuaje,umenichekesha sana[emoji16][emoji16]!
Wewe ndio una porojo mkuu,!

Mbona wewe unashangilia maafisa wa NEC kufungiwa kwenda USA? Kwani kutokwenda kwao kipi kitakwama hapa tz? Hao pia si Magu anaweza kuamua kuwabadirisha muda wowote?

Jiamini mkuu Marekani siyo mbinguni
 
Usiniwekee maneno mdomoni,hayo unayosema yathibitishe kama mimi nimeyatamka mahala popote!
Hawa maafisa wetu wanapenda kwenda kula bata Marekani ndio maana ban linawahusu wao binafsi!
Si unaona kama Makonda alivyokuwa anakula bata USA,akala ban kwenda huko!Sasa hivi bata lake ni SA!

Swali kwako:Wewe elezea kama ulivyosema kwenye comment ya awali,Pompeo kuzuiwa kuingia China kutaiathiri vipi Marekani?
 
Je, Maafisa wa Nec kuzuiwa kwenda USA kutaithiri vipi tz?

Alafu Makonda ana maisha mazuri sana hata bila kwenda USA, kamwe hawezi kuukosa ugali wake na familia yake kisa haendi usa.
 
Je, Maafisa wa Nec kuzuiwa kwenda USA kutaithiri vipi tz?

Alafu Makonda ana maisha mazuri sana hata bila kwenda USA, kamwe hawezi kuukosa ugali wake na familia yake kisa haendi usa.
Sisi tunaihitaji USA kuliko wao wanatuhitaji sisi!
Hawa maafisa wetu wanapenda kwenda kula bata USA,hiyo itawaathiri wao binafsi na si nchi!
Nilipo na wasiwasi ni pale jamaa anaposema hatua zaidi zitachukuliwa,ndio hapo nchi inaweza kuathirika!Ila kwa akina Mahera,ni wao na maeneo ya kulia bata!
 
China ilisha semaga yoyote atakae igusa Tanzania,China itamshuhulukia bila huruma! Tayari wamesha aanza kuwashulikia Ma Afisa wa US!!
Hii kauli ni uwongo. Eti yoyote atakae igusa tanzania.. nani kasema? Mchina anajali taifa lake. China hawatuutetei. Wako hapa kuchukua rasilimali.
 
Nikuulize swali moja tuu,

HAO UNAOSEMA TUWASHUKURU LEO WAKATI WANAKUJA WALIWAKUTA WAAFRIKA WANAUANA KAMA WANAVYOANA SASA PALE DRC CHINI YA USIMAMIZI WAO?
Aisee wew mwanamke ni mjinga. Waafrika wamekuwa kwenye vita miaka yote hata kabla ya Ukoloni.

Machief walikuwa wanapambana kupanua himaya zao.

Utu, UBINADAMU na Ustaarabu miongoni mwa jamii ya watu weusi bado ni bidhaa adimu mpaka leo.
 
China kapindua meza kibabe mambo yanaa badilika mamboo yana badilikaa
 
Aisee wew mwanamke ni mjinga. Waafrika wamekuwa kwenye vita miaka yote hata kabla ya Ukoloni.

Machief walikuwa wanapambana kupanua himaya zao.

Utu, UBINADAMU na Ustaarabu miongoni mwa jamii ya watu weusi bado ni bidhaa adimu mpaka leo.

Kama wewe sio mjinga zaidi yangu nitajie bara ambalo hawajawahi kuwa na empire wars?

Hizi vita kama ya DRC sio Kati ya waafrika ni Kati ya Mabeberu na waafrika
 
Back
Top Bottom