Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ni wakiukwaji wakubwa wa haki za binadamu.Mara nyingi huwa namshukuru Mungu kwa kuliinua taifa la China
Haijalishi wamefikia wapi ila kikubwa wameleta mapindunzi ya uchumi na siasa duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wakiukwaji wakubwa wa haki za binadamu.Mara nyingi huwa namshukuru Mungu kwa kuliinua taifa la China
Haijalishi wamefikia wapi ila kikubwa wameleta mapindunzi ya uchumi na siasa duniani
My point was due to dependency anyone can do anything and can get away with itUnategemea hiyo dependency unaiwekaje or in what context.
Na why dependency kwa china iyonekane mbaya , wakati b4 that we have been dependent to western countries
Uzuri au ubaya ni kwamba maneno ukiukwaji wa haki za binadamu yanatumika kwa baadhi ya nchi na baadhi ya matukio tuu huku nchi nyingine wakifanya ukiukwaji huohuo kwa kujihalalishia na bila kuulizwaNi wakiukwaji wakubwa wa haki za binadamu.
China mfungwa ana uwezo wa kuuliwa na organs zake kuuzwa na ndugu kutaarifiwa tu kuwa ndugu yao alifia jela. Hakuna nchi iliyofikia ukatili huo labda kule Afrika Mashariki matendo wanayotendewa wapinzani.Uzuri au ubaya ni kwamba maneno ukiukwaji wa haki za binadamu yanatumika kwa baadhi ya nchi na baadhi ya matukio tuu huku nchi nyingine wakifanya ukiukwaji huohuo kwa kujihalalishia na bila kuulizwa
Kabla ya mkoloni kulikuwa na vita vya kugombania empire kati ya mchief,watu waliuwana kwa wingi tu!Kasome historia!Nikuulize swali moja tuu,
HAO UNAOSEMA TUWASHUKURU LEO WAKATI WANAKUJA WALIWAKUTA WAAFRIKA WANAUANA KAMA WANAVYOANA SASA PALE DRC CHINI YA USIMAMIZI WAO?
Hii ya China ni ya wafungwa, Ile ya amerika ya abortion hadi 9months ambayo wale viumbe wakishatolewa wanamchukia organs zao tunaiongeleaje? Na wamarekani zaidi 100 wanaouwawa kwa kupigwa risasi kila siku suluhu itapatikana lini? Au ndio mpango wao wa kuuza silaha na ku control population?China mfungwa ana uwezo wa kuuliwa na organs zake kuuzwa na ndugu kutaarifiwa tu kuwa ndugu yao alifia jela. Hakuna nchi iliyofikia ukatili huo labda kule Afrika Mashariki matendo wanayotendewa wapinzani.
Lakini abortion hulazimishwi na ni lazima ukubali mwenyewe. China unaweza kuwa mfungwa dakika yeyote na ukishakuwa mfungwa huna haki hata ya uhai wako.Hii ya China ni ya wafungwa, Ile ya amerika ya abortion hadi 9months ambayo wale viumbe wakishatolewa wanamchukia organs zao tunaiongeleaje? Na wamarekani zaidi 100 wanaouwawa kwa kupigwa risasi kila siku suluhu itapatikana lini? Au ndio mpango wao wa kuuza silaha na ku control population?
Kabla ya mkoloni kulikuwa na vita vya kugombania empire kati ya mchief,watu waliuwana kwa wingi tu!Kasome historia!
Huko DRC wanapigana wenyewe kwa wenyewe,na kama kusingekuwa na majeshi ya UN basi hali imgekuwa mbaya zaidi na Pasingekalika!
Hebu angalia pamoja na matatizo kwemye nchi nyingi,ni wapi China imewahi kutoa mchango wa majeshi yake kwenda kulinda amani?China yenyewe inasubiri kupiga pesa tu,nyie malizaneni sio concern yao!Dunia ingekuwa sehemu ya hatari kuishi kama kila taifa kubwa lingekuwa na sera kama za China!
Lakini abortion hulazimishwi na ni lazima ukubali mwenyewe. China unaweza kuwa mfungwa dakika yeyote na ukishakuwa mfungwa huna haki hata ya uhai wako.
Hizo ni hisia zako tu!Kuna sheria zimewekwa juu ya uuzwaji silaha,watu hununua silaha kupitia black market,jambo ambalo ni illegal!Vita za kugombea empires hazikua afrika tuu, zilikua dunia nzima.
Labda wewe uniambia ni bara gani hakukua na zile vita
Hakuna kitu U.N. wanafanya pale DRC zaidi ya kuigeuza Ile nchi kwa kujitengeneza ajira kupitia kuwalinda Mabeberu wanaoiba madini na kuwauzia silaha wana DRC ili waendelee kumalizana
Tatizo ni uelewa wako mdogo.Nimeandika "Marekani haiitegemei sana China kwa maendeleo kama Tanzania inavyoitegemea China.Tuna safari ndefu sana kufika kanani, hapa naona kwa akili yako fupi umeshuka nondo? Et USA haitegemei CHINA, are you serious?
Haki ya mtoto inaanza pale mtoto anapozaliwa. Mtoto akiwa tumboni kama mzazi wake anaona hana uwezo wa kumtunza anaweza kutoa mimba. Hii ni tofauti ni kuua uhai wa binadamu ili organs na pesa kuingia serikalini.Shida ndio inakuja hapo ambapo Mmarekani anamtetea mhalifu-mfungwa kuuwa kule China huku yeye Mmarekani akishindwa kuwaprotect watoto watoto waliofikisha umri wa kuzaliwa wanaonyanganywa uhai na serikali wakishirikiana na mama, na viungo vyake kuuzwa.
Huyohuyo Mmarekani kwa miaka sasa aameacha mauaji risasi kwa wananchi 100 yanayotokea kila siku yaendelee huku akiendelea kuwauzia wananchi wake silaha ili wazidi kuuana
Matumizi ya maneno haki za binadamu na demokrasia yasituondolee akili za kutathmini ukweli wa mambo
Pompeo anafanya biashara China sasa?Nyie hamjui mwingiliano wa kibiashara uliopo kati ya China na makampuni ya kimarekeni ndio maana mnasema hivyo.
Kwani hao aliowawekea vikwazo vya visa wanaenda Marekani kufanya nini? Kama ni shopping watu wanaenda Dubai, India, China, nk
Malaika mkuu, juzi kati tu alikuw anaomba tusamehewe madeni ya nyuma(ya zamani). Bado na mapya wanatudai hela mingi mzee baba, wametushika pabaya. Na bado miradi mingi hawa jamaa tutawakopa, makusanyo ya TRA ni Kwenye makaratasi na Media tu.Tanzania tunafeli wapi....nasis tulianzishe[emoji2][emoji2]
Tunamuwekea Pompoya (Mike Pompeo) jambo jingine mkuu hebu shirikisha na ubongo wako kidogo, kuna miradi mingi ya viongozi wa USA hapa nchini kuanzia kwa Bush mdogo, Obama, nk! Shtuka, tunawza kuwawekea vikwazo vya kuwekeza hapa!Malaika mkuu,juzi kati tu alikuw anaomba tusamehewe madeni ya nyuma(ya zamani).Bado na mapya wanatudai hela mingi mzee baba ,wametushika pabaya .Na bado miradi mingi hawa jamaa tutawakopa,makusanyo ya TRA ni Kwenye makaratasi na Media tu