China yaweka vikwazo kwa makampuni 13 ya kijeshi ya Marekani kwa kuiuzia silaha Taiwan

China yaweka vikwazo kwa makampuni 13 ya kijeshi ya Marekani kwa kuiuzia silaha Taiwan

Ipo huru toka lini na toka kwa nani ?
maswala ya familia yako yanaamuliwa na kaka yako mkubwa kweny familia yenu ? au uliomba uhuru kwa nan kuisimamia familia yako ? vitu vingine huitaj degree mbili kuelewa
 
elewa raia wa China visiwani ( Taiwan ) yaan serikali yao bdo ina mamlaka ya kuchagua wasimame wap TAIFA HURU AU NDANI YA CHINA BARA , ila sio raia wa china bara ndo wawaamulie raia wa china visiwani
Mpaka leo hawana hata huo mpango wa kuusaka huo uhuru unao uzungumzia wewe hapa.

Hivi unafahamu kuwa Taiwan bado nayo ina imani kuwa yenyewe ni serikali yenye uhalali kuhusu China na sio Beijing ?

Huu mgogoro wa Taiwan unaufahamu ?
 
Unadhani nimeandika bila kufahamu. Wataiwani wengi sasa hivi hawataki kuisikia China. ni kama bara wanavyoing'ang'ania Zanzibar.
Kama hawataki kuisikia China waanze kwanza kuiondoa China katika kila kitu chao kitu ambacho hawataki mpaka leo.

Sasa sijui hili la kuwa hawataki kuisikia China umeamua kuandika kujifurahisha tu unajua mwenyewe.
 
Vitu vingine inatakiwa wala usitumie akili. Kama wanaipenda China huo mgogoro wao na China unatokana na nini? Kwa nini wananunua silaha na kujihami wa uvamizi wa China?
 
Vitu vingine inatakiwa wala usitumie akili. Kama wanaipenda China huo mgogoro wao na China unatokana na nini? Kwa nini wananunua silaha na kujihami wa uvamizi wa China?
Kabla ya kuniuliza hivyo jiulize kwa nini kwa mara ya kwanza walipigana wao kwao mpaka kuzaliwa serikali mbili katika nchi moja ambazo ugomvi wao hawaukumaliza mpaka leo.

Nimekusaidia kujibu historia ya mgogoro huu kwa ufupi
 
Kama wa-taiwan wenyewe hawataki kwa nini walazimishwe? Nashangaa China ni nchi kubwa na ina raia kibao lakini bado inang'ang'ania sehemu nyingine.
Hakuna sehemu ambayo raia wa eneo fulani katika nchi fulani hawataki kujitenga na sehemu husika Tanzania Zanzibar Kenya pale Mombasa Canada kule cubec marekani pale kama sijakosea San Francisco Uingereza pale Ireland niendelee au yanatosha na hawajawahi kuachiwa hawa hata siku moja kwa nini iwe China tuuuu
 
We take case by case. Kuna wahuni na kuna wenye hoja.
 
Kabla ya kuniuliza hivyo jiulize kwa nini kwa mara ya kwanza walipigana wao kwao mpaka kuzaliwa serikali mbili katika nchi moja ambazo ugomvi wao hawaukumaliza mpaka leo.

Nimekusaidia kujibu historia ya mgogoro huu kwa ufupi
Hujui lolote wewe ni huu ushabiki wa kibongo bongo tu unaleta hapa. Huijui dunia wewe.
 
Hujui lolote wewe ni huu ushabiki wa kibongo bongo tu unaleta hapa. Huijui dunia wewe.
Nilijua tu debe tupu.

Kajifunze kwanza kuhusu Jamhuri ya China hiyo unayoiita Taiwan na Jamhuri ya watu wa China hiyo inayoitwa Beijing.

Kasome upya kuhusu mgogoro wa Taiwan toka ulipoanzia China bara mpaka kufika China visiwani.

Kajifunze kuhusu Kuomitang na CPC na historia ya mgogoro huu.

Kasome kitu kabla ya kuandika ujinga.
 
Wakomunisti wanataka kuimeza Taiwan ya kidemokrasia.
Kama walivyoiharibu Hong Kong, ni vizuri Taiwan ijiunge na USA ili liwe Jimbo la US kama ilivyo Hawaii na Alaska.
 
Back
Top Bottom