Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Kuimeza kibabe ki vipi ?Kuimeza kibabe ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuimeza kibabe ki vipi ?Kuimeza kibabe ...
Kama CCM inavyolazimisha muungano na Zanzibar,sisi wazanzibar hatutaki Muungano.Kama wa-taiwan wenyewe hawataki kwa nini walazimishwe? Nashangaa China ni nchi kubwa na ina raia kibao lakini bado inang'ang'ania sehemu nyingine.
Na ww unataka Taiwan ajitenge na China kwa sababu zipi?Kwa sababu zipi?