China yaweka vikwazo kwa makampuni 13 ya kijeshi ya Marekani kwa kuiuzia silaha Taiwan

China yaweka vikwazo kwa makampuni 13 ya kijeshi ya Marekani kwa kuiuzia silaha Taiwan

Wameondoa Democratic System na kusimika Utawala wao wa Kidikteta.
Wao ndio walioipa Hong-Kong democratic system.

Sijui Hong-Kong gani unaizungumzia wewe sina hakika hata historia unaifahamu
 
One Country two Sytems lakini China wanaikandamiza Demokrasia Hong Kong ndio maana hiyo Taiwan hawataipata.
Wanaikandamiza ki vipi wakati wao wenyewe ndio walioamua iwe one country two system na Hong-Kong kuwepa autonomous.

Hawataipata Taiwan wewe kama nani ?
 
weka vikwazo vinavyohusiana na ww na sio unajivalisha koti la jiran , China hana haki ya kumpangia Taiwan maana Taiwan ipo huru
Kwani ye marekani anapowekea wenzie vikwazo hizo nchi zinamuhusu?
 
Kama wa-taiwan wenyewe hawataki kwa nini walazimishwe? Nashangaa China ni nchi kubwa na ina raia kibao lakini bado inang'ang'ania sehemu nyingine.
Kwa hiyo California akiamua kuwa amechoka kuwa sehemu ya Marekani hivyo inataka kujitenga Marekani atakuwa tiyari?
 
weka vikwazo vinavyohusiana na ww na sio unajivalisha koti la jiran , China hana haki ya kumpangia Taiwan maana Taiwan ipo huru
Kama Marekani anaye ifadhili anaitambua Taiwan kama sehemu ya china ww kigagura wa ccm unasema Taiwan ni nchi huru kama nani?
 
Hujui lolote wewe ni huu ushabiki wa kibongo bongo tu unaleta hapa. Huijui dunia wewe.
Ww ndo huna akili Marekani yenyewe inayo wafadhili bado inaitambua Taiwan kama sehemu ya china.
 
Wameondoa Democratic System na kusimika Utawala wao wa Kidikteta.
Kwani Uingereza iliyo kuwa inawatawala hapo awali yeye anaongozwa na democracy?

Familia moja kuongoza nchi makarne ya miaka ndo democracy?
 
Back
Top Bottom