Mi mi JF-Expert Member Joined Jul 14, 2024 Posts 2,748 Reaction score 5,112 Dec 5, 2024 #61 Proved said: Kuimeza kibabe ... Click to expand... Kuimeza kibabe ki vipi ?
N NgerukeAbra JF-Expert Member Joined Sep 5, 2022 Posts 1,336 Reaction score 2,008 Dec 5, 2024 #62 macho_mdiliko said: Kama wa-taiwan wenyewe hawataki kwa nini walazimishwe? Nashangaa China ni nchi kubwa na ina raia kibao lakini bado inang'ang'ania sehemu nyingine. Click to expand... Kama CCM inavyolazimisha muungano na Zanzibar,sisi wazanzibar hatutaki Muungano.
macho_mdiliko said: Kama wa-taiwan wenyewe hawataki kwa nini walazimishwe? Nashangaa China ni nchi kubwa na ina raia kibao lakini bado inang'ang'ania sehemu nyingine. Click to expand... Kama CCM inavyolazimisha muungano na Zanzibar,sisi wazanzibar hatutaki Muungano.
ITR JF-Expert Member Joined Sep 22, 2022 Posts 6,096 Reaction score 16,390 Dec 6, 2024 #63 Yoda said: Kwa sababu zipi? Click to expand... Na ww unataka Taiwan ajitenge na China kwa sababu zipi?
Yoda said: Kwa sababu zipi? Click to expand... Na ww unataka Taiwan ajitenge na China kwa sababu zipi?