China yazindua Cruise Ship ya kwanza, 'Adora Magic City.'

Hongera zao. Wanachonifurahisha vitu vyao kampuni zao nyingi unakuta ni state owned tofauti na kwetu ambako serikali imeshindwa kusimamia hata bandari
Tatizo la Waafrika ni moja kubwa, UMIMI. Mtu akiwa TRA anawaza ajenge maghorofa, akiwa bandarini anawaza anunue magari, akiwa halmashauri anawaza ajenge nyumba ya kupangisha. Hao wote wanawaza hela za wizi na kila anayetafuta kazi uko hata leo hii anakimbilia hilo.

Sasa wazungu na hao Asians walioendelea washaondoka kwenye umimi na wapo kwenye SISI. Haoni shida yeye kuwa na gari moja na taasisi ya serikali ikaendelea, anaamini ile taasisi ikifanya vizuri ni sehemu ya mafanikio yake ila mfanyakazi mbongo kampuni ya serikali ikifanya vizuri anaona kama haimuhusu na haimsaidii kabisa. Bongo mtu anaheshimika kwa hela ila kwao mtu anaheshimika kwa amefanya nini. Hatuwezi kuwa kama wao kwa namna hiyo.
 
Uongo mwingine kiboko hayo magari ya petrol ya mchina yanaitwaje? Tanzania tu ulishawahi kuyaona wapi?

Kwa mamlaka ninayojipa mwenyewe nakutunuku PhD ya Uongo
Unapima manufacturing ya nchi yoyote kubwa duniani kwa kutumia Tanzania?

Hivi unajua biashara ya maji ya kunywa pekee kwa China inaingiza faida mara tatu ya hela ya bajeti nzima ya Tanzania? Unalinganishaje wembe na jambia.
 
Umeongea point sana mkuu!

Juzi nilinunua balbu za umeme pale kariakoo, kuja kuziweka mwanga hafifu sana yani bora hata torch ya simu.

Kuzichumguza naona kuna maelezo ya MADE IN TANZANIA.

Nilizibonda na nyundo zote.
 
Pale Beijing mwezi May walikuwa na maonyesho makubwa ya China Science Fiction Convention kwa siku 12

Wanasayansi kutoka mataifa mbalimbali walialikwa. Wengi walikiri kuwa kwa sasa China ina latest cutting-edge technology and science fiction elements
Ni lazima washangae vijamaa vinaunda kila kitu cha ajabu. Huawei na kubaniwa lakini inaendelea na itakuja kufanya vzuri sana
Umeongea point sana mkuu!

Juzi nilinunua balbu za umeme pale kariakoo, kuja kuziweka mwanga hafifu sana yani bora hata torch ya simu.

Kuzichumguza naona kuna maelezo ya MADE IN TANZANIA.

Nilizibonda na nyundo zote.
Na ndio hivyo hununuo tena siku nyingine. Ila ungepata kile ulichotarajia ungezisifu hata humo. Mfano vinu vya sembe watu watakwambia nunua local made maana vunadumu na rahisi kuvimantain na zile mashine za kuchomelea so watu hawanunua vitu kisa vimeundwa tz wanafuata ubora.
 
Asante sana kwa taarifa hii, China pia ime iovatake Japan kwa car export!, ndio nchi inayoongoza kwa export ya magari duniani!.
P
 
Kuna wale walileta trkta bortion za Ursus ikizamisha jembe inakatika vipande viwili upuuzi mtu wakulima wakapigwa
 
Asante sana kwa taarifa hii, China pia ime iovatake Japan kwa car export!, ndio nchi inayoongoza kwa export ya magari duniani!.
P
Aisee! Kui-overtake Japan katika kuexport magari yaonyesha jinsi gani China wame-export magari mengi sana. Maana Japan imekuwa the world's biggest exporter kwa miaka mingi
 
Kwa hali hiyo hakuna uwezekano ndege nzima ikaundwa na Boeing. Landing gear atakuwa labda General Electric, power supply labda awe BAE Systems, kompyuta na mifumo ya mawasiliano labda awe Raytheon na makampuni zaidi ya 100 yanahusika.
💯🤝
 
Vyumba vya kulalq vichache kuliko abiria
He; wanalala matajiri sio kila mtu analala. Kwani treni la bara Daraja 1, 2, 3 vipi? The differences are always there japo taifa la kikomilunisti China wanachohubiri tofauti na matendo.
 
Huku kwetu kuna kigagula kinauza bandari
 
Ni kweli hapo tutafanya mapinduzi makubwa sana kwenye sekta ya kilimo.
 
mkuu uwe unaangalia vijana wa kuwajibu, hao wengine unapoteza nguvu zako bure...ni vijana ambao kwao ameria ndio dunia, hawaelewi kingine chochote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…