ChinaTech: Marekani iko nyuma sana kwa China katika nishati ya nyuklia

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
3,651
Reaction score
11,548
Hapa hatuzungumzii mabomu ya nyuklia, tunazungumzia matumizi ya amani ya nyuklia yaani kuzalisha nishati.

Kiteknolojia Marekani iko nyuma ya China kwa miaka 10 hadi 15 katika nishati ya nyuklia kwa sasa.

Kwa nini?

China wamekuja na teknolojia mpya (innovation) ya kwanza duniani iitwayo Fourth-Generation Nuclear Reactors. Vinu hivi vinatumia gesi kupoozea badala ya maji yenye presha kama ilivyo kwa generations zilizopita
.​

Generations-of-nuclear-reactors-1-1400x1400.png

Generation IV

Generation IV reactors include gas-cooled fast reactors (GFR), lead-cooled fast reactors (LFR), molten salt reactors (MSR), sodium-cooled fast reactors (SFR), supercritical-water-cooled reactors (SCWR), and very high-temperature reactors (VHTR).

Teknolojia hii imekuwa suluhusho la tatizo la muda mrefu la ukosefu wa usalama katika vinu vingi vya nyuklia duniani.

Faida zingine za Generation 4 Nuclear Reactor:
  • Imepunguza gharama na muda wa kuunda kinu na kuanza matumizi.
  • Imepunguza taka sumu zinazotokezwa na nyuklia.
  • Imeongeza usalama na ni yenye ufanisi zaidi.
  • Imeweka msingi mzuri wa mageuzi ya nishati ya nyuklia.

Kinu cha kwanza duniani cha Generation 4, Shidao Bay High kilizinduliwa huko China Dec 06, 2023. High Temperature Gas-cooled Reactor (HTGR)
20240617_125049.jpg

Hivi sasa China inaendesha vinu 55 vya nyuklia, ikiwa ni pamoja na hiko cha Shidao Bay-High, na vinu 27 vya ziada vinajengwa kwa wakati mmoja.

Hii inaiweka China katika mstari wa mbele katika upanuzi wa nishati ya nyuklia, kupita mataifa mengine katika miradi inayoendelea ya ujenzi wa vinu vya nyuklia

Kwa wastani kinu cha nyuklia nchini China kinachukua muda mfupi ili kianze rasmi kuzalisha nishati - kwa kasi zaidi kuliko nchi zingine nyingi.

Marekani imejenga vinu viwili pekee katika miaka 10 iliyopita, ambavyo vyote vilitumia miaka mingi na mabilioni ya dola ya bajeti
.

CREDIT: US falling far behind China in nuclear power, report says
 
Hapa hatuzungumzii mabomu ya nyuklia, tunazungumzia matumizi ya amani ya nyuklia yaani kuzalisha nishati.

Kiteknolojia Marekani iko nyuma ya China kwa miaka 10 hadi 15 katika nishati ya nyuklia kwa sasa.

Kwa nini?

China wamekuja na teknolojia mpya (innovation) ya kwanza duniani iitwayo Fourth-Generation Nuclear Reactors. Vinu hivi vinatumia gesi kupoozea badala ya maji yenye presha kama ilivyo kwa generations zilizopita
.​

View attachment 3019306

Generation IV

Generation IV reactors include gas-cooled fast reactors (GFR), lead-cooled fast reactors (LFR), molten salt reactors (MSR), sodium-cooled fast reactors (SFR), supercritical-water-cooled reactors (SCWR), and very high-temperature reactors (VHTR). The international collaborative effort, the Generation IV International Forum (GIF), is actively engaged in research and development to bring six Generation IV nuclear reactor technologies to fruition.

Teknolojia hii imekuwa suluhusho la tatizo la muda mrefu la ukosefu wa usalama katika vinu vingi vya nyuklia duniani.

Faida zingine za Generation 4 Nuclear Reactor:
  • Imepunguza gharama na muda wa kuunda kinu na kuanza matumizi.
  • Imepunguza taka sumu zinazotokezwa na nyuklia.
  • Imeongeza usalama na ni yenye ufanisi zaidi.
  • Imeweka msingi mzuri wa mageuzi ya nishati ya nyuklia.

Kinu cha kwanza cha Generation 4, Shidao Bay High kilizinduliwa huko China Dec 06, 2023. High Temperature Gas-cooled Reactor (HTGR)
View attachment 3019316

Hivi sasa China inaendesha vinu 55 vya nyuklia, ikiwa ni pamoja na hiko cha Shidao Bay-High, na vinu 27 vya ziada vinajengwa kwa wakati mmoja.

Hii inaiweka China katika mstari wa mbele katika upanuzi wa nishati ya nyuklia, kupita mataifa mengine katika miradi inayoendelea ya ujenzi wa vinu vya nyuklia

Kwa wastani kinu cha nyuklia nchini China kinachukua muda mfupi ili kianze rasmi kuzalisha nishati - kwa kasi zaidi kuliko nchi zingine nyingi.

Marekani imejenga vinu viwili pekee katika miaka 10 iliyopita, ambavyo vyote vilitumia miaka mingi na mabilioni ya dola ya bajeti
.​

CREDIT: US falling far behind China in nuclear power, report says
ule uzi wako wa china ya kwanza transcontinental telesurgery umekimbizwa umekuja kuanzisha mwingine
 
Trans-continental telesurgery na the 4th generation nuclear reactor yote ni matunda ya Made in China 2025

Wachina mnatisha ndo nini kumuuzia mbangladesh silaha substandard???

kula chuma hicho👇👇👇

Trans-continental telesurgery na the 4th generation nuclear reactor yote ni matunda ya Made in China 2025
China yawa ya kwanza kuuzia taifa jingine silaha duni

Unajua kwenye habari kuna propaganda hasa suala linapokuwa lina geopolitics

Iko hivi Bangladesh ni jirani ya India na hizo nchi ziko katika migogoro mingi mojawapo ni mipaka, masuala ya drugs na wahamiaji haramu.

Wakati wakiwa kwenye huo mgogoro Bangladesh kama ilivyo kwa Pakistan adui mwingine wa India wakawa na ukaribu na China.

Kilichotokea ni nini?

● China imei-overtake India na kuwa partner mkubwa wa kibiashara wa Bangladesh

●Bangladesh imekuwa mteja mkubwa wa silaha za kutoka China kwa asilimia 70

● China wakajenga Submarine base Bangladesh ambayo inatumiwa na China na Bangladesh

Hayo mambo 3 yamewaumiza sana Wahindi maana wamezungukwa na nchi allies wa China ambao ni Bangladesh na Pakistan ambazo hawana uhusino mzuri kidiplomosia.

Na hapohapo ukae ukijua pia China na India zimekuwa kwenye mgogoro wa kimipaka kwa miaka mingi.

Ni kama China imetengeneza alliance kati yake na maadui wa India ambao ni Bangladesh na Pakistan. (Beijing–Dhaka-Islamabad vs New Delhi)

Ndio maana Wahindi wameanza kusambaza propaganda kwa kutumia media zao kama hiyo article ni ya India, Times Of India (TOI)

Lakini mpaka sasa Bangladesh bado ni mteja wa silaha za kutoka China.

Tafuta chanzo kutoka media za Bangladesh tukisome tuone kama kweli wamelalamika.

Dunia ya sasa propaganda ni silaha hasa inapohusu geopolitical issues.

My take: Inataka mtu awe na ujuzi sana wa masuala ya geopolitic kutambua hii ni habari ya kweli au ni propaganda tu.
 
Lakini pamoja na yote China teknolojia yake bado sana, hata ukienda Marekani leo ukaona bidhaa yoyote ya kichina kwa mfano ya umeme, computer au ya mifumo ya maji (Plumbing Fittings) huwezi kabisa ukalinganisha na ya hapo Marekani kwani tofauti utaiona wazi na hata kwenye bei.

Majuzi tu nilishangaa kugundua kwamba yale malori ya kichina FAW eti kumbe wachina wanatengeneza bodi tu ila injini na gear box ni za Sweden (VOLVO) nilichoka.

Miezi minne iliyopita tulileta Water Pump na Concrete Mixer za kichina pale mgodini Bulyanhulu - Kakola kwa matumizi yetu na cha ajabu Water Pump mpya kabisa ikashindwa kuvuta maji ikiwa mpya na upya wake kabla ya uongozi wa mgodi kuamuru kwamba mitambo yote ya kichina ni marufuku kuingizwa humo mgodini ndipo ikabidi tuviondoe vyote Water Pump na Concrete Mixer.

Kumbe siku za nyuma kuna Generator moja ya kichina ililipuka hapo mgodini na kusababisha majereha hivyo uongozi wa Barrick Kakola wakatuazimisha Water Pump mahiri ya kiingereza aina ya GODWIN inayopiga maji lita 250 kwa dakika moja tu.

Sidhani kama kuna siku China itakuja kutengeneza bidhaa yoyote ile inayoweza kufikia ubora wa bidhaa yoyote inayotengenezwa katika nchi yoyote ya magharibi, haitawezekana hata mpaka mwisho wa dahari.

Ukiwa uko nchini Marekani ukaona bidhaa yoyote ya kichina yenye ubora ubora hivi basi ujue hiyo bidhaa imetengenezwa katika kiwanda kinachomilikiwa na mmarekani aliyewekeza China. Period.

Hata hizi simu zinazotoka China, wachina wanaishia kutengeneza housing tu na screen lakini motherboard hawatengenezi wenyewe na hata Operating System sio yao.
 
Unajua kwenye habari kuna propaganda hasa suala linapokuwa lina geopolitics

Iko hivi Bangladesh ni jirani ya India na hizo nchi ziko katika migogoro mingi mojawapo ni mipaka, masuala ya drugs na wahamiaji haramu.

Wakati wakiwa kwenye huo mgogoro Bangladesh kama ilivyo kwa Pakistan adui mwingine wa India wakawa na ukaribu na China.

Kilichotokea ni nini?

● China imei-overtake India na kuwa partner mkubwa wa kibiashara wa Bangladesh

●Bangladesh imekuwa mteja mkubwa wa silaha za kutoka China kwa asilimia 70

● China wakajenga Submarine base Bangladesh ambayo inatumiwa na China na Bangladesh

Hayo mambo 3 yamewaumiza sana Wahindi maana wamezungukwa na nchi allies wa China ambao ni Bangladesh na Pakistan ambazo hawana uhusino mzuri kidiplomosia.

Na hapohapo ukae ukijua pia China na India zimekuwa kwenye mgogoro wa kimipaka kwa miaka mingi.

Ni kama China imetengeneza alliance kati yake na maadui wa India ambao ni Bangladesh na Pakistan. (Beijing–Dhaka-Islamabad vs New Delhi)

Ndio maana Wahindi wameanza kusambaza propaganda kwa kutumia media zao kama hiyo article ni ya India, Times Of India (TOI)

Lakini mpaka sasa Bangladesh bado ni mteja wa silaha za kutoka China.

Tafuta chanzo kutoka media za Bangladesh tukisome tuone kama kweli wamelalamika.

Dunia ya sasa propaganda ni silaha hasa inapohusu geopolitical issues.

My take: Inataka mtu awe na ujuzi sana wa masuala ya geopolitic kutambua hii ni habari ya kweli au ni propaganda tu.
What an interesting analysis!
 
Hapa hatuzungumzii mabomu ya nyuklia, tunazungumzia matumizi ya amani ya nyuklia yaani kuzalisha nishati.

Kiteknolojia Marekani iko nyuma ya China kwa miaka 10 hadi 15 katika nishati ya nyuklia kwa sasa.

Kwa nini?

China wamekuja na teknolojia mpya (innovation) ya kwanza duniani iitwayo Fourth-Generation Nuclear Reactors. Vinu hivi vinatumia gesi kupoozea badala ya maji yenye presha kama ilivyo kwa generations zilizopita
.​

View attachment 3019306

Generation IV

Generation IV reactors include gas-cooled fast reactors (GFR), lead-cooled fast reactors (LFR), molten salt reactors (MSR), sodium-cooled fast reactors (SFR), supercritical-water-cooled reactors (SCWR), and very high-temperature reactors (VHTR).

Teknolojia hii imekuwa suluhusho la tatizo la muda mrefu la ukosefu wa usalama katika vinu vingi vya nyuklia duniani.

Faida zingine za Generation 4 Nuclear Reactor:
  • Imepunguza gharama na muda wa kuunda kinu na kuanza matumizi.
  • Imepunguza taka sumu zinazotokezwa na nyuklia.
  • Imeongeza usalama na ni yenye ufanisi zaidi.
  • Imeweka msingi mzuri wa mageuzi ya nishati ya nyuklia.

Kinu cha kwanza duniani cha Generation 4, Shidao Bay High kilizinduliwa huko China Dec 06, 2023. High Temperature Gas-cooled Reactor (HTGR)
View attachment 3019316

Hivi sasa China inaendesha vinu 55 vya nyuklia, ikiwa ni pamoja na hiko cha Shidao Bay-High, na vinu 27 vya ziada vinajengwa kwa wakati mmoja.

Hii inaiweka China katika mstari wa mbele katika upanuzi wa nishati ya nyuklia, kupita mataifa mengine katika miradi inayoendelea ya ujenzi wa vinu vya nyuklia

Kwa wastani kinu cha nyuklia nchini China kinachukua muda mfupi ili kianze rasmi kuzalisha nishati - kwa kasi zaidi kuliko nchi zingine nyingi.

Marekani imejenga vinu viwili pekee katika miaka 10 iliyopita, ambavyo vyote vilitumia miaka mingi na mabilioni ya dola ya bajeti
.

CREDIT: US falling far behind China in nuclear power, report says
Ni kweli China inakua kwa kasi kwenye kila eneo hasa upande wa teknolojia ambalo walianza kwa kuiga kwa nchi zilizoendelea.

Kinachoitesa China ni kwamba bado ina mentality ya kimaskini na ni kama mafanikio wanayopata wanakuwa hawaamini kama ni wao. Ndo maana wamekuwa wa kujilinganisha na nchi zilizoendelea ambazo kwa sasa zinafanya mambo yake kimya kimya kwa kulingana na mahitaji ya watu wake ambao wana vipato vya juu tofauti na China.

China ni maskini aliyejipata ambaye muda wote anawatambia matajiri ambao ndo walikuwa msaada mkubwa kwake.
 
Majuzi tu nilishangaa kugundua kwamba yale malori ya kichina FAW eti kumbe wachina wanatengeneza bodi tu ila injini na gear box ni za Sweden (VOLVO) nilichoka.
FAW wanatumia engine za Weichai ambazo ni China based

Kama ulikuta engine na gear box ni ya Volvo basi waliipachika

Ni joint venture ya FAW na VOLVO
 
Miezi minne iliyopita tulileta Water Pump na Concrete Mixer za kichina pale mgodini Bulyanhulu - Kakola kwa matumizi yetu na cha ajabu Water Pump mpya kabisa ikashindwa kuvuta maji ikiwa mpya na upya wake kabla ya uongozi wa mgodi kuamuru kwamba mitambo yote ya kichina ni marufuku kuingizwa humo mgodini ndipo ikabidi tuviondoe vyote Water Pump na Concrete Mixer
Inategemea mlinunua wapi hizo mashine zenu. Mbona migodi mingi wanatumia concrete mixer na water pump Made in China hawalalamiki. Mtakuwa mlipigwa.

Hata kampuni ngyingi za ujenzi zinatumia za Kichina na kazi zinafanyika vizuri tu. Nyinyi mlitapeliwa dunia ya biashara ina mengi watu wenu wa procurement na ubora wa bidhaa walichemka

Machines za China zinatumika hadi kwenye migodi maeneo mbalimbali duniani it means zimefikia vigezo vya ISO
 
Sidhani kama kuna siku China itakuja kutengeneza bidhaa yoyote ile inayoweza kufikia ubora wa bidhaa yoyote inayotengenezwa katika nchi yoyote ya magharibi, haitawezekana hata mpaka mwisho wa dahari.
Ubora unaozungumzia ni upi? Inakuwaje wao nchi za Magharibi wanatumia bidhaa za Kichina pia?

Nikupe mfano tu inapohusu machinery, mashine za XCMG ambao ni China-based company zinatumika sana Ulaya, Marekani na Australia

Hata bandari za Marekani wanatumia sana cranes za ZPMC ambazo ni za China
 
Ubora unaozungumzia ni upi? Inakuwaje wao nchi za Magharibi wanatumia bidhaa za Kichina pia?

Nikupe mfano tu inapohusu machinery, mashine za XCMG ambao ni China-based company zinatum¹ika sana Ulaya, Marekani na Australia

Hata bandari za Marekani wanatumia sana cranes za ZPMC ambazo ni za China
Utakuta Engine inatoka katika nchi hizo hizo za magharibi.
 
Ukiwa uko nchini Marekani ukaona bidhaa yoyote ya kichina yenye ubora ubora hivi basi ujue hiyo bidhaa imetengenezwa katika kiwanda kinachomilikiwa na mmarekani aliyewekeza China. Period.
Nimekupa mfano wa cranes za ZPMC zinazotumika kwenye bandari za Marekani zinatengenezwa na kampuni inayomilikiwa na serikali ya China.

Na mifano ni mingi tu mfano ukiona drones pale Marekani ujue 70% ni Made in China nyingi ni zilizotengenezwa na kampuni ya kichina ya DJI

Ukija kwenye chemicals, electronic equipment, EVs batteries n.k

Vingine ndiyo kama hizo EV autos, solar panel waziongezea tariffs
 
Back
Top Bottom