ChinaTech: Marekani iko nyuma sana kwa China katika nishati ya nyuklia

Unaponijibu mimi fuata mtiririko wa ninachowasilisha na kukiunga mkono. Unataka kunijibu mimi kwa hoka za wengine ambazo sina uhakika kama ni kweli waliandika hivyo au ni wewe haukuwaelewa?
 
We nawe ukisanuliwa ndo unakujaga na uetetezi mwepesiiii na issue za geopolitics na oooh hizo ni propaganda kuhusu china.
Unataka kila mtu akubali uandikacho kuhusu china.
Pole wa "china yawa ya kwanza"😆😂🤣.
Ukipaste vilink vyako fekero vya china yawa ya kwanza basi nawe unajiona analyst tena yule pro.
We mwenye uwezo duni hata wa kung'amua tu hi habari hii ya china yawa ya kwanza ambayo unataka uipaste JF inamake sense kweli hujiulizagi hilo just unakimbilia kupost.
 
Soko linalimpatia China hela ndefu zaidi ya products zake ni siko la US. Akilikosa hilo anawezavakaporomoka hadi nafasi ya 6 kiuchumi duniani , halafu watu wanajiongelea tu bila uelewa.
Je, unajua kuwa the 3rd biggest trading partner wa Marekani ni China?

Je, ni sahihi kusema Marekani hahitaji China?

Bidhaa nyingi luxuries zinazotengenezwa Marekani na Ulaya soko lao kubwa ni China

Je, ulijua kuwa makampuni ya kutengeneza semiconductors ya Marekani mapato yao kwa soko la China yalipungua kwa 30% sababu ya serikali yao kuwazuia wasiuze?
 
Sababu kuu iliyotolewa na serikali ya Marekani ni kulinda viwanda vya ndani

Ushauri wangu: siku nyingine kabala ya kupost jiridhishe na habari unayozungumzia kama ni sahihi
 
Usibadilishe swali ili ujibu uwezavyo, nilitarajia upinge umuhimu wa US Market kwa China, maana unavyoandika humu huwa unaandika as if US or Euro hawawezi ku survive bila China. Hiyo technology inayowapelekea kuipamba China watu wame invest kwenye research na uvumbuzi sasa China kufanya development based on what others wame invent mnataka kumpa sifa na kuwafanya wengine kama are just nothing.
Hakuna mtu anayepinga uwezo wa China kwenye kufanya mass productions ila lazima mjue kwamba mnapojaribu kumuimbia mapambio basi isiwe kwa gharama ya ku disqualify waliofanya research na uvumbuzi.
Wote wanapaswa kuheshimiwa na wote wana umuhimu.
 
Sababu kuu iliyotolewa na serikali ya Marekani ni kulinda viwanda vya ndani

Ushauri wangu: siku nyingine kabala ya kupost jiridhishe na habari unayozungumzia kama ni sahihi
Wewe una comment based on vichwa vya habari , hongera kwa hilo nacho ni kipaji.
 
Hiyo technology inayowapelekea kuipamna China watu wame invest kwenye research na uvumbuzi
Unamaanisha China hawafanyi research?

Je, wajua kuwa China ndiyo kinara wa kupublish the most scientific research papers?

Je, unafahamu kuwa China inaongoza kwenye critical technologies?
 
Kitu kimoja kuhusu Marekani ni kuwa ni developed country, ilipo China sasa, Marekani ilikuweko miaka zaidi ya 30 iliyopita ndo maana huwezi kuta Marekani wana maendeleo ya barabara au treni
Kwa hiyo unamaanisha kuwa baada ya miaka kadhaa taifa linastaafu kuendeleza miundombinu yake?

Je, Marekani mpaka wanastaafu wana km ngapi za high speed railways mpaka sasa tangu miaka hiyo 30 iliyopita?
 
Well, that's from your own perspective that should not necessarily reflect the reality. However, what makes sense for you should not necessarily make sense for me because we're in different schools of thought.

If you think that having a broad understanding of the topic means to blindly and unintelligently support your ideas then you will be terribly erring.
 
Namshukuru mama kwa jf ,nimepata elimu, pia tukumbuke uchumi wa tz unakua kwa kasi ya ajabu
 
China alifungia Youtube, Facebook n.k ili watumie mitandao yao, walipozuiliwa mitandao yao wakapaza sana sauti kuwa wanaonewa.

Kwa kweli bhana bado China ana safari ndefu mno dhidi ya Magharibi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…