CHINESE CUISINE: Nini ule ukienda kwenye mgahawa wa kichina...

mkuu watu8 hii chakula nimeichunuku sana lazima niitafute this weekends da pan ji...ila jina lazima nikariri
 
mkuu watu8 hii chakula nimeichunuku sana lazima niitafute this weekends da pan ji...ila jina lazima nikariri

Hahaha!!!

Huna haja ya kukariri jina, go with your mobile device, open hii thread ya JF na muoneshe anayechukua oda...
 
Mi nikipata snail's flesh inatosha kabisa
 
Last edited by a moderator:
Mmh kuna hatari ya kula konokono na nyoka...me nitaagiza chips mayai manake wachina bwana...wanakula visivyolika.
 
Samaki tasi
 
Attachments

  • 1396463242032.jpg
    67.3 KB · Views: 144
Roasted crab
 
Attachments

  • 1396463342722.jpg
    60.4 KB · Views: 153
Kwa wale wasopenda vyakula bahari watakula hii
 
Attachments

  • 1396463871178.jpg
    62.6 KB · Views: 160
Kuna kitu nilikula inaitwa "cha shao yu" ilikuwa na unsalted fish na wali na vegetables.
 
Mmh hili sasa mbona balaa, pilipili nyingi hivyo! Au ndo inakuwa kama mboga na yenyewe?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mmh hili sasa mbona balaa, pilipili nyingi hivyo! Au ndo inakuwa kama mboga na yenyewe?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mkuu pilipili si chakula bali ni kiongeza hamu tu katika chakula...

Kuna watu ni wapenzi wa chakula chenye viungo vya pilipili kwa ajili ya kunogesha mlo wao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…