Kimani wa Ngugi
Member
- Apr 18, 2018
- 80
- 39
- Thread starter
-
- #41
Hao watu walikuwana tusi Nairobi sana eti imebaki na majengo ya zamani lakini hawapatikani walikimbia wote skyscrapercityWao boom yao iliisha 2014. Skyscraper zilizoanza kujengwa 2014 hizo zinakamilika. Zikikamilika ni hivo, mji unalala.
Unadhani hizi ni zile hadithi zenu za vijiweni pale tandare?Rubbish
Na akili zako unaweza linganisha Morocco Square na hizi apartments wewe? Morocco Vijengo vitatu hata havijafika 20 floors ulinganishe na 8 towers of 34 floors each? You understand when complete these will be more than the total tally of towers over 30 floors in the whole of Tz.Apartment imetoa watu povu mngejengewa kama morroco square si ndio tungekoma umu
Tuonyeshe render ya hiyo project. Am just waitingππ Ukiipata ni tagππNa akili zako unaweza linganisha Morocco Square na hizi apartments wewe? Morocco Vijengo vitatu hata havijafika 20 floors ulinganishe na 8 towers of 34 floors each? You understand when complete these will be more than the total tally of towers over 30 floors in the whole of Tz.
Ficha upumbavu nairobi haina mshindani africa kwa mwendo huu,ushindani wetu utakuwa wa kina(philipines) manila na( Malaysia) Kuala Lumpur ,hiyo morocco squre unathani hatujui ni majengo ya ghorofa 13,16,17,20 sasa unaeza linganisha na avic ya 29,30,30,30,35,42 ambayo iko u/c.....lazima mkubali mapema Nairobi si size ya dar nyie mkajilinganishe na kampala ukoApartment imetoa watu povu mngejengewa kama morroco square si ndio tungekoma umu
Ugua pole pole Nairobi si size ya dar nyie watani wenyu kampala na mombasa, wapinzani wa nairobi kwa sasa ni Kuala Lumpur ππππTuonyeshe render ya hiyo project. Am just waitingππ Ukiipata ni tagππ
Usiendekeze hisia kwenye jambo dogo Kama hili. ..nbo this Nai that, mue na indoor arena kwanza ndio muwaze ata iyo morroco shenzFicha upumbavu nairobi haina mshindani africa kwa mwendo huu,ushindani wetu utakuwa wa kina(philipines) manila na( Malaysia) Kuala Lumpur ,hiyo morocco squre unathani hatujui ni majengo ya ghorofa 13,16,17,20 sasa unaeza linganisha na avic ya 29,30,30,30,35,42 ambayo iko u/c.....lazima mkubali mapema Nairobi si size ya dar nyie mkajilinganishe na kampala uko
I remember you single-handedly retired gezaulole/kizibo from skyscrapercity ππππYeah man.
Narudia watani wenyu ni kina kigali na kampala sisi tunashindana na Kuala Lumpur πππUsiendekeze hisia kwenye jambo dogo Kama hili. ..nbo this Nai that, mue na indoor arena kwanza ndio muwaze ata iyo morroco shenz
I actually never thought you placed such high regards on those Morocco Dwarfs. To me they're just normal buildings next door.Usiendekeze hisia kwenye jambo dogo Kama hili. ..nbo this Nai that, mue na indoor arena kwanza ndio muwaze ata iyo morroco shenz
Hahahaha! Kumbe unakumbuka? What's your name on SSC?I remember you single-handedly retired gezaulole/kizibo from skyscrapercity ππππ
plz just shut up...your very annoying...this matter doesnt even involve youThey have already been, China tightened its grip on Kenya's economy, extending about Sh165 billion in loans last year, and controls 68% of your bilateral debt
They own Kenya in bigger stakes and I like that
Ati kasarani lol nyie jamaa kuukuu sana...mna two river pekee ndio kitu cha kisasa mnaweza jivuniaI actually never thought you placed such high regards on those Morocco Dwarfs. To me they're just normal buildings next door.
Kasarani indoor arenaπππ
Uweguswa kunako, tulia sindano iingie ππplz just shut up...your very annoying...this matter doesnt even involve you
please dont...this behavior doesn't suit youUweguswa kunako, tulia sindano iingie ππ
haha hasira za mkizi hizi...unajua hio stadium ilijengwa kabla yako kuzaliwa...kenya maendeleo tumezoea tangu 70s...nyie mnajenga nchi 2014 lakini huku hakukaliki...tz kabla ya 2010 ilkua kichaka tupuAti kasarani lol nyie jamaa kuukuu sana...mna two river pekee ndio kitu cha kisasa mnaweza jivunia
we jamaa wacha kuaibisha..sasa morocco ndo nn bana? yaani nyote mnashangilia ujinga tu...ukuta, emergencu landing sasa morocco squareπππUsiendekeze hisia kwenye jambo dogo Kama hili. ..nbo this Nai that, mue na indoor arena kwanza ndio muwaze ata iyo morroco shenz
[emoji23][emoji23]haha hasira za mkizi hizi...unajua hio stadium ilijengwa kabla yako kuzaliwa...kenya maendeleo tumezoea tangu 70s...nyie mnajenga nchi 2014 lakini huku hakukaliki...tz kabla ya 2010 ilkua kichaka tupu