Nyamagondo
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 648
- 765
Unataka kusema mmezidi morroco ama nn? Unataarifa kuna uwezekano world cup baada ya urusi inaweza fanyika morroco??? Wameendelea kuliko unavyodhan,btw naheshimu mnajitahidiwe jamaa wacha kuaibisha..sasa morocco ndo nn bana? yaani nyote mnashangilia ujinga tu...ukuta, emergencu landing sasa morocco squareπππ
hahaha Dar yaani tunaiangazia kama Kampala au Kigali tu...hapa hakuna competition maybe afrika kusini na morocco...na hapa simaanishi morocco square by the wayππππ[emoji23][emoji23]
Acha masihara yako sasa hv mnapata homa mkisikia Dar na bado
morocco square jengo sio nchi bana...mbona nikama nazungumza na mbuzi?ππUnataka kusema mmezidi morroco ama nn? Unataarifa kuna uwezekano world cup baada ya urusi inaweza fanyika morroco??? Wameendelea kuliko unavyodhan,btw naheshimu mnajitahidi
Morocco square ni mradi mkubwa sio wa kubeza bila kujua undani wake. ..morocco square jengo sio nchi bana...mbona nikama nazungumza na mbuzi?ππ
πππhio ndio the best in Tanzania au?Morocco square ni mradi mkubwa sio wa kubeza bila kujua undani wake. ..
Unahitaj maelezo kidogo, pale wanauwezo wa kuegesha magari 2000 kwa pamoja,kuna majengo mawili ya office moja kina 20 flr jingine 17flr,kuna residential block lenye 22 flr, hotel ya nyota 4 yenye 13flr,Mall yenye 20000sqm, juu kuna helipad...kwani nn hakieleweki
Nionyeshe ya Tanzania nzuri kushinda hii kama mnayo. Uzuri wa kitu sio upya, ni quality.πππAti kasarani lol nyie jamaa kuukuu sana...mna two river pekee ndio kitu cha kisasa mnaweza jivunia
Sasa hiyo ndio wataka kulinganisha na 8 towers za 34 floors?Morocco square ni mradi mkubwa sio wa kubeza bila kujua undani wake. ..
Unahitaj maelezo kidogo, pale wanauwezo wa kuegesha magari 2000 kwa pamoja,kuna majengo mawili ya office moja kina 20 flr jingine 17flr,kuna residential block lenye 22 flr, hotel ya nyota 4 yenye 13flr,Mall yenye 20000sqm, juu kuna helipad...kwani nn hakieleweki
Nope...tuna project nyingi kwa sasa ziko uc moja baada ya nyingine utapata update zake mfano kuna jengo me MNF lenye flr 30 mawili ni 5*hotel zile...labda useme kenya mnahotel gani yenye 5* lenye ukubwa huoπππhio ndio the best in Tanzania au?
Mkimaliza kujenga ndio itashinda maana apa unazungumzia mchoro na nyumba inayoenda kuzinduliwa june. ..Sasa hiyo ndio wataka kulinganisha na 8 towers za 34 floors?
Majengo yenu ya maana yote yameanza kujengwa between 2008 na 2014 Before 2008 na after 2014 hamna kitu cha maana.Nope...tuna project nyingi kwa sasa ziko uc moja baada ya nyingine utapata update zake mfano kuna jengo me MNF lenye flr 30 mawili ni 5*hotel zile...labda useme kenya mnahotel gani yenye 5* lenye ukubwa huo
Hivi ulipoleta kiherehere chako cha Morocco square hukua umejua ni mchoro unalinganisha nacho?πππMkimaliza kujenga ndio itashinda maana apa unazungumzia mchoro na nyumba inayoenda kuzinduliwa june. ..
Majengo ya maana kwanza bot yenu ni kihoja umeona bot ya Dar? Hamna kitu mnafanyaMajengo yenu ya maana yote yameanza kujengwa between 2008 na 2014 Before 2008 na after 2014 hamna kitu cha maana.
Hakuna kitu kama bot ya Kenya wewe. bot ni ya Tanzania pekee. Hivi wewe unaweza linganisha Times Tower na jengo la TRA? Hivi KICC unaweza linganisha na Nyerere Conference centre? Na I&M Bank Tower unaweza linganisha na jengo la Access Bank huko kwenu? Acha umbumbumbu wewe.Majengo ya maana kwanza bot yenu ni kihoja umeona bot ya Dar? Hamna kitu mnafanya
Weka bank kuu ya kenya apa kama unaubavu ,poyoyoHakuna kitu kama bot ya Kenya wewe. bot ni ya Tanzania pekee. Hivi wewe unaweza linganisha Times Tower na jengo la TRA? Hivi KICC unaweza linganisha na Nyerere Conference centre? Na I&M Bank Tower unaweza linganisha na jengo la Access Bank huko kwenu? Acha umbumbumbu wewe.
Kwa upande wa nyumba Hamna chakutuelezaHakuna kitu kama bot ya Kenya wewe. bot ni ya Tanzania pekee. Hivi wewe unaweza linganisha Times Tower na jengo la TRA? Hivi KICC unaweza linganisha na Nyerere Conference centre? Na I&M Bank Tower unaweza linganisha na jengo la Access Bank huko kwenu? Acha umbumbumbu wewe.
Weka TRA hapa kama una Ubavu.Weka bank kuu ya kenya apa kama unaubavu ,poyoyo
CBK Building hiyo under construction. Nipe TRAWeka bank kuu ya kenya apa kama unaubavu ,poyoyo