Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Inawezekana wapo Watanzania ambao bado wanaamini kuwa hawa ni mabeberu wanaotuonea wivu kwa rasilimali tulizo nazo na kasi ya maendeleo tunayopiga chini ya awamu ya tano! Eti wanataka kutuangamiza ili watuibie!
 
UDSM waligundua dawa ya corona lakini sioni mafanikio yake.
Wataweza kurusha chombo kama hiki kweli au wamefanya chuo ni sehem ya kusubiria teuzi?
Kwa bajeti ile hamna nchi yoyote ya dunia ya 2 au ya tatu itakayoweza rusha chombo angani.
 
Mkuu elimu yetu imeshindwa hata kutuondolea ujinga,fikiria msomi wa level ya degree na PhD mtaalamu wa afya anadanganywa na mwanasiasa na anatii kuhusu masuala ya afya,
Namkumbuka Prof. Assad, alikuwa msomi aliyeitendea haki taaluma yake, yule ndiye aliyefunguka kifikra na elimu yake imemuweka huru
 
Kwa bajeti ile hamna nchi yoyote ya dunia ya 2 au ya tatu itakayoweza rusha chombo angani.
Kwa hazina ya rasilimali tulizonazo naka kama tutaweka siasa our last priority tunaweza kufanikiwa kutoka tulipo na kusogea hata hatua 10 mbele.
 
Hawajaenda tena kutokana na budget. It's expensive na ukizingatia wapo na project nyingine kama hii ya Mars.
Naanzia hapa,suala la budget waesema lini au umejiaje kama budget ni kubwa? Umbali wa kwenda Mars na Mwezini unatofautiana vipi na changamoto ni zipi ? Bajeti hiyo ni kiasi gani wanayo

Kuna swali nilikuuliza wewe unahihikisha vipi ya kuwa kweli wameenda Mwezini au Mars? Marejeo yako wewe ni yapi? Hili swali hujalijibu. Kwamba je kwa kuona picha au kusikia habari?
Kipindi cha Apollo program budget ilikuwa kubwa bila shaka ni 4% of the federal budget na sasa ni 0.4%.
Hapa naona unawachoresha Wanasayansi na kuwafanya tuwaone wamebweteka. Kisayansi walitakiwa mpaka sasa hivi wawe wameshaenda zaidi ya mara kumi sababu ni zaidi ya miongo mitatu tangu tuambiwe Nail alikwenda mwezini. Maana yake walitakiwa wawe wameshabuni vifaa vyenyw ufanisi mkubwa na kwa gharama nafuu.

Labda watuambie ya kuwa gharama imekuwa kubwa zaidi ya kuandaa movie kama hiyo, au wameshajua ya kuwa watu wameshawaona wao mazwazwa kwa kuigiza tukio hilo pale Area 51.

Lakini suala la uzandiki juu ya tukio la mwezini mbona limeshabatilishwa tangu zamani na husemwa pia sababu ya kifo cha John F. Kenedy ni kufichua siri au kutaka kufichua mbinu hiyo. Kihistoria husemwa ya kuwa hiyo ilikuwa ni vita baina ya USSR na Marekani katika kuonyeshana umwamba maendeleo ya kisayansi.
Kwanini unadhani kwamba walidanganya ni ushahidi gani unataka?
Mimi siyo kwamba nadhani bali nina uhakika kabisa.

Watuambie kwanza umbali wa kutoka katika uso wa dunia mpaka mwezini ni kiasi gani ? Bila kuweka Assumtions yoyote ile, wakiweka tu Assumptions wameharibu.

Pili, walitumia vigezo gani kutengeneza kifaa ambacho walijua fika kitawapeleka na kuwafikisha mwezini ? Hapa inabidi watuambie. Maana yake kabla inabidi ufanya ufanue utafiti, na utembelee sehemu husika. Tafiti hii ilifanyika wapi na kwa kutumia nini ?

Sasa unapohoji haya mambo ndipo unapoona ya kuwa hili ni igizo na wengine walithibitisha hilo.

Tatu, kiimani jambo hili hali wezekani, sababu hakuna anaejua ya kuwa Mwezi uko umbali gani toka mbingu ya kwanza ila kwa macho ukiangalia vizuri unaona ya kuwa mwezi uko karibu sana na mbingu ya kwanza kuliko ardhini, yaani duniani. Tunaambiwa umbali wa mbingu ya kwanza na dunia na mbingu na mbingu ni mwendo wa miaka 500. Hii ni kwa mwendo kasi wa juu zaidi (Rejea jaya katika kitabu kiitwacho "Qamus al Bida'ah" ). Maana chini ya muda huo hizo zinabaki kuwa stori tu na kufurahisha nafsi.

Tatu, zipo sababu za kisayansi zinazo pinga igizo hilo. Unaweza kuzifatilia Google ukazipata. Ukisearch "Did we land on the moon". Utaona mambo mengi wapo wanao thibitisha ya kuwa tukio hilo ni kweli na wale wanao kadhibisha tukio hilo, ukipima katika mzani utaona ya luwa hawa wapili wana hoja zenye nguvu mno kuliko wengin, na hao wa kwanza wameanza kuja kuandika hayo hivi karibuni.

Narudi kuendelea hapa nilipoishia.
 
Naanzia hapa,suala la budget waesema lini au umejiaje kama budget ni kubwa ? Umbali wa kwenda Mars na Mwezini unatofautiana vipi na changamoto ni zipi ? Bajeti hiyo ni kiasi gani wanayo

Kuna swali nilikuuliza wewe unahihikisha vipi ya kuwa kweli wameenda Mwezini au Mars ? Marejeo yako wewe ni yapi ? Hili swali hujalijibu. Kwamba je kwa kuona picha au kusikia habari ?

Hapa naona unawachoresha Wanasayansi na kuwafanya tuwaone wamebweteka. Kisayansi walitakiwa mpaka sasa hivi wawe wameshaenda zaidi ya mara kumi sababu ni zaidi ya miongo mitatu tangu tuambiwe Nail alikwenda mwezini. Maana yake walitakiwa wawe wameshabuni vifaa vyenyw ufanisi mkubwa na kwa gharama nafuu. Labda watuambie ya kuwa gharama imekuwa kubwa zaidi ya kuandaa movie kama hiyo, au wameshajua ya kuwa watu wameshawaona wao mazwazwa kwa kuigiza tukio hilo pale Area 51.

Lakini suala la uzandiki juu ya tukio la mwezini mbona limeshabatilishwa tangu zamani na husemwa pia sababu ya kifo cha John F. Kenedy ni kufichua siri au kutaka kufichua mbinu hiyo. Kihistoria husemwa ya kuwa hiyo ilikuwa ni vita baina ya USSR na Marekani katika kuonyeshana umwamba maendeleo ya kisayansi.

Mimi siyo kwamba nadhani bali nina uhakika kabisa.

Watuambie kwanza umbali wa kutoka katika uso wa dunia mpaka mwezini ni kiasi gani ? Bila kuweka Assumtions yoyote ile, wakiweka tu Assumptions wameharibu.

Pili, walitumia vigezo gani kutengeneza kifaa ambacho walijua fika kitawapeleka na kuwafikisha mwezini ? Hapa inabidi watuambie. Maana yake kabla inabidi ufanya ufanue utafiti, na utembelee sehemu husika. Tafiti hii ilifanyika wapi na kwa kutumia nini ?

Sasa unapohoji haya mambo ndipo unapoona ya kuwa hili ni igizo na wengine walithibitisha hilo.

Tatu, kiimani jambo hili hali wezekani, sababu hakuna anaejua ya kuwa Mwezi uko umbali gani toka mbingu ya kwanza ila kwa macho ukiangalia vizuri unaona ya kuwa mwezi uko karibu sana na mbingu ya kwanza kuliko ardhini, yaani duniani. Tunaambiwa umbali wa mbingu ya kwanza na dunia na mbingu na mbingu ni mwendo wa miaka 500. Hii ni kwa mwendo kasi wa juu zaidi (Rejea jaya katika kitabu kiitwacho "Qamus al Bida'ah" ). Maana chini ya muda huo hizo zinabaki kuwa stori tu na kufurahisha nafsi.

Tatu, zipo sababu za kisayansi zinazo pinga igizo hilo. Unaweza kuzifatilia Google ukazipata. Ukisearch "Did we land on the moon". Utaona mambo mengi wapo wanao thibitisha ya kuwa tukio hilo ni kweli na wale wanao kadhibisha tukio hilo, ukipima katika mzani utaona ya luwa hawa wapili wana hoja zenye nguvu mno kuliko wengin, na hao wa kwanza wameanza kuja kuandika hayo hivi karibuni.

Narudi kuendelea hapa nilipoishia...
Ukiangalia kwa macho Mwezi unaonekana upo karibu na mbingu aisee ushawai kuiona mbingu Mkuu.

Mbingu inaonekana kwa macho hii mpya aisee.
 
We Mnyasa endelea kuropoka kila unalo liona
Wenzako wanajifungia ndani wanafanya tafiti za mabilion ya pesa wewe from no where.. i mean not from no where like no where yani kwenye sofa la shemeji yako hapo unaita "UONGO".
 
Ndio utambue kuwa huo ni uongo mkubwa hakuna ukweli wowote hapo.
Sasa hizo siku zikifika Mimi hapa nilipo nafikaje huko kama tu hicho kifaa kimetumia Trillion 6 mimi mwenyew nafikaje na nitatumia kifaa gani[emoji27][emoji27] Maana kama Kupanda ndege ya 200k nimefeli hiyo Hela yao natolea wap[emoji27][emoji27][emoji27] Au kila mtu atakula urefu wa kamba yake[emoji27][emoji27]
 
huu ni uongo. wametoa video wanashangilia eti ndio tuamini. wana msemo if you cannot make it fake it

Miezi sita ni jela hiyo aisee
Binafsi, nilikuwa nawafatilia NASA na COUNTDOWN TO MARS huko Instagram Toka siku ya kwanza wamerusha chombo chao, nadhani ilikuwa mwezi wa 7 2020. Na walisema kitatua Mars 18 FEB 2021
 
Nimeona hii kitu CNN yaani wametumia miezi 6 kusafiri maili karibia milioni 300.
Hapo wasafari wanakuwa wamehifadhiwa kwenye majokofu wanakula barafu kwa miezi hiyo sita wakifika maroboti yanawaamsha wanapiga kazi wakati wa kurudi hivyo hivyo tena, yaani movie zinaenda kuwa reality.
 
Wazungu wanawekeza nguvu nyingi kwenye maswala ya anga za mbali ambako hata wakisema wakaishi huko maisha yatakuwa ya gharama kubwa kuliko hapa duniani ambako bado hawajapamaliza.

Sijui kuna nini kwenye hizi mission zao.
inawezekana pia "wamechungulia ramani" kwamba huko kuna rasilimali nyingi mno na wanataka wawe wa kwanza kutawala na kuzimiliki...
 
Sayari yenye UHAI NI moja tu. Na MUNGU ndo ameshapanga hivyo na itabaki kuwa hivyo.

Mjinga wewe, thibitisha hilo.

Unadhani Mungu alipokuwa akiagiza watu wake watoke nchi moja kwenda nchi nyingine alimaanisha Sudan na Rwanda?

Hizi unazoita nchi leo ziliwekwa mipaka na wakoloni na kupewa majina, rejea neno NCHI kwa lugha ya Mungu wa enzi.
 
Kwa hazina ya rasilimali tulizonazo naka kama tutaweka siasa our last priority tunaweza kufanikiwa kutoka tulipo na kusogea hata hatua 10 mbele
Hiyo kauli yako tu imejaa siasa, hivi unavyo ona hao wamefanya majaribio mangapi? Alafu piga mara tilion 7 ,hata utumie rasimali zako vipi ulizokuwa nazo sasa uwezo wa kupeleka chombo angani huna.

Na hiyo tilion saba ni chombo,bado miundo mbinu ya kuvisapoti na kuvifuatilia hivyo vyombo.Kwani ukipigiwa mahesabu ya gharama zilizo tumika kutengeneza miundo mbinu ya NASA na uendeshaji kila mwaka unaweza ukakuta ni mara kumi ya bajeti ya TZ.

Ndege tu zimenunuliwa watu wa kaanza zina msaidia nini mwanachi wa kawaida,sasa kupeleka chombo Mars watu watasemaje?Tena chombo chenyewe kinaweza kisifike,kwani US na uwezo wao mkubwa wa kisayansi wameshafanya majaribio mengi ila hili limefanikiwa.
 
Back
Top Bottom