Kuna kitu kinaitwa INTENT. bangi na hiyo meditation vyote sawa
Intentions zako au yako kabla ya bangi ni nini? Na baada ya hapo kabla ya meditation ni nini.
Shida ni pale inapotokea collision au jamming kutokana na kichwa kubeba mambo mengiKuna kitu kinaitwa INTENT. bangi na hiyo meditation vyote sawa
Intentions zako au yako kabla ya bangi ni nini? Na baada ya hapo kabla ya meditation ni nini.
Moshi wa bhangi ni mwepesi kuliko wa sigara | JamiiForums Moshi wa bhangi ni mwepesi kuliko wa sigaraNitag kwenye huo uzi wa sprirual life
Kijana mmoja kazini kitengo cha umeme alikuwa na stress za ndoa nyumbani
Aisee😢Kijana mmoja kazini kitengo cha umeme alikuwa na stress za ndoa nyumbani
Hivyo akaja kazini kichwq kimejam.. Ili kukiweka sawa apate kufanya kazi akaenda chooni akala msuba pisi nzima akarudi kuendelea na kazi
Mara akatoka tena kwenda chooni this time akaendq kula ugoro. Stim zikakutana akiwa anapanda ngazi afunge waya gorofa ya 3
Alianguka mpaka gorofa ya 2 na kupasuka kichwa kwa nyuma. Alifia ubungo mataa wakati tunamuwahisha Muhimbili na ambulance😔
Namna ya kutafuta 'alama yako' kiroho | Page 3 | JamiiForums Namna ya kutafuta 'alama yako' kirohoNitag kwenye huo uzi wa sprirual life
Huo mmea hatari sio wa kukurupukaKijana mmoja kazini kitengo cha umeme alikuwa na stress za ndoa nyumbani
Hivyo akaja kazini kichwq kimejam.. Ili kukiweka sawa apate kufanya kazi akaenda chooni akala msuba pisi nzima akarudi kuendelea na kazi
Mara akatoka tena kwenda chooni this time akaendq kula ugoro. Stim zikakutana akiwa anapanda ngazi afunge waya gorofa ya 3
Alianguka mpaka gorofa ya 2 na kupasuka kichwa kwa nyuma. Alifia ubungo mataa wakati tunamuwahisha Muhimbili na ambulance😔
Huo mmea hatari sio wa kukurupuka
kwenye sehemu nilizowahi kuwaona watu ambao wapo timamu wakiutumia mara nyingi niliwaona hawavuti ile moja kwa moja kutoka kwa pusha, huwa wana changanya na vitu kama tumbaku ndio vile unaona mtu anaifinya finya na vidole kwnye kiganja, ile ni kupunguza ukali wa kilevi apate ile vibe ya dakika chache tu na stim ziwe za kawaida tu na kuendelea na mambo mengine.
hawapigi moja kwa moja wanasema kwanza sio salama kwasababu mmea wa huku kwetu unaoteshwa maporini sio kama nchi nyingine unavyooteshwa kwa matunzo ya hali ya juu, halafu kitu kingine stimu yake huwa "inaning’inia” muda mrefu, inaweza kukaa kwa masaa mengi na kukupotezea umakini wa maisha unakuwa mtu wa kucheka cheka au kukaa kimya unatafakari kwanini serikali isitatue tatizo la kifungua kinywa kwa kujaza majani ya chai ziwa victoria. wengine hufikia stage ya dish kuyumba hawajijali tena.
Paranoid lazima , wavuta bangi huwa wanajaribu kuunganisha meditation na bangi zao sanaKweli kabisa. I had a friend we used to meditate together kuna kipindi tuliachana akaenda college sasa huko ndo akawa anavuta bangi na kufanya meditation 🧘♀️. Mara ya mwisho kusikia habari zake alikuwa amechanganyikiwa. Ila kwa sasa sijui anaendeleaje.
Nadhani huwa wanatafuta utulivu nje ya meditation.Paranoid lazima , wavuta bangi huwa wanajaribu kuunganisha meditation na bangi zao sana
Mkuu mm nikifanya meditation naota vitu vya zamani sana yaan nakua kama narudi siku za nyuma sababu ni niniWill try this! Definitely 💪🏿
Soma hii mkuuMkuu mm nikifanya meditation naota vitu vya zamani sana yaan nakua kama narudi siku za nyuma sababu ni nini