Chonde chonde nawasihi: Msije mkachanganya bangi na meditation!

Mimi natumia ganja na ninafanya meditation kwa urahisi zaidi

Mkuu acha kuposha watu unaongelea kuhusu ganja hata kuvuta au kula hujawahi.
 
Mimi natumia ganja na ninafanya meditation kwa urahisi zaidi

Mkuu acha kuposha watu unaongelea kuhuhu ganja hata kuvuta au kula hujawahi.
Dah! Haya mkuu.. Ila kwa hakika nilichoandika ni halisi na ni hakika kwa asilimia 100 kwakuwa nimekaa Temple kwa miaka 6 nikisoma na ku practice
Kuhusu weed naifahamu inside out😀 kumbuka Mimi ni mhudumu wa chumba cha marehemu na ni professional master kwenye kuchoma marehemu kwenye tanuru la gesi
 
Dah! Haya mkuu.. Ila kwa hakika nilichoandika ni halisi na ni hakika kwa asilimia 100 kwakuwa nimekaa Temple kwa miaka 6 nikisoma na ku practice
Kuhusu weed naifahamu inside out
Ganja kwenye medi inasaidia kwenye kukazia na kuzingatia kitu kimoja
Labda km umeamua kuivuta kama stimu tu ulanduke

Ila mimi (sisi) tunaitumia kwenye ibada na inaleta matokeo chanya!
 
Ganja kwenye medi inasaidia kwenye kukazia na kuzingatia kitu kimoja
Labda km umeamua kuivuta kama stimu tu ulanduke

Ila mimi (sisi) tunaitumia kwenye ibada na inaleta matokeo chanya!
Watu wanatofautiana nguvu Ila kwenye pure meditation.. Haishauriwi uko contaminate na addictives nyingine hata kahawa hushauriwi
 
Meditation inakufanya kuutakasa ufahamu kwa kuondoa takataka za ubinafsi craving na hisia za kuyumba
Meditation inakufanya uwe na control na akili yako.. Hii inakupelekea kuanza ku gain supernatural powers kwakuwa akili yako iko focused sehemu moja na haijatawanyika
Unapofikia hatua hiyo ni rahisi kuliona jicho la tatu kwenye ufahamu na sio kimwili

Soma na hii

Paji la uso na siri ya jicho la tatu | Page 42 | JamiiForums Paji la uso na siri ya jicho la tatu
 
Sawa sawa mkuu shukrani
 
Kuna jamaa mmoja anapiga ugoro na ana tumia KONYAGIIII SANAAAAAA..

Nacho kijua bangi na pombe Huwa havitakiwi kutumika kwa pamoja..
 
Kuna siku stim zitakutana na medulla itajam😂
Kuna brother angu afande, yule jamaa atakua anapigaga mmea unajua kwa nini akinywaga JOBO moja TU.

Anataka kupitia ukutani☺️
Kuna siku usiku akakosea akaingia kwenye premises ya watu wakadhani mwizii akapigwa akavunjwa mbavu mbili..
 
Watu wanatofautiana nguvu Ila kwenye pure meditation.. Haishauriwi uko contaminate na addictives nyingine hata kahawa hushauriwi
Sawa ila sisi tunaitumia ila tunapata matokea sawa na wale wa pure medi
inshu ya usafi wa mwili ni kitu kingine huwezi kuzingatia kila kitu sababu hata hewa unayoivuta ukiwa una medi inaweza kuwa chafu!
 
Utakapokwama nijulishe
Ahaa asante nimekwama
maana sijaelewa jibu lako kuhusu kujiangalia kwenye kio nakuona una macho matatu?
Na pia nin sababu ya kujiangalia kwenye kio baadhi ya siku na kujiona kama mtu mwingine au nipunguze wenge
 
OK sawa nipe muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…