Chonde chonde viongozi wa CHADEMA; Tazameni hili kwa upana wake

Master Legendary

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
579
Reaction score
887
Kuna kitu mnakosea sana kukaa kimya na kuacha vijana wadogo kama akina Hilda Newton kumshambulia Mbowe na kumvunjia heshima kwa kiwango kikubwa, hii siyo sawa na haikubaliki hata kidogo na mbegu inayopandwa ni hatari sana.
Ukiangalia mambo yanavyoenda inaonekana kazi ya kulinda Legacy ya Mbowe ni kama anaifanya au kaachiwa Heche peke yake, huyu ndiyo pekee kidoogo anaonyesha Uongozi kwenye hili.

Tuchukulie sawa nyie mlioko Madarakani ni Miungu hamna madhaifu Mbowe yeye ana madhaifu, lakini kwa kuwalindia Chama hadi mnakikuta hapo kilipofika kiko Mioyoni kwa kila Mtanzania kweli anastahili kutukanwa kiasi hicho na mtu kama Hilda Newton ambae ameikuta CHADEMA imeshasimama na Mbowe ni kama baba yake?

Mbowe ameshakaa Jela mara ngapi kwa ajili ya hiki Chama halafu muulize Hilda ambae siyo Msaliti ufanye Comparison, kwanza huyu Hilda ha huyo Twaha Mwaipaya mimi binafsi nina mashaka nao mda mrefu sana kwa wanayoyafanya mbona hawajawahi kupata misukosuko yoyote ya maana kama wenzao?Siyo kina Zitto wengine hawa?

Kosa la Mbowe ni kuruhusu kutukanwa na yeye kukaa kimya na kulinda image ya Taasisi?Au kukubali kushindwa?

Ni aina Gani ya Siasa zinazofanyika leo hajafanya Mbowe?Kususia Uchaguzi?Kuandamana?Kuongea na Serikali?Kufungwa?Naona yote yanayofanyika ni marudio tu ila yalishafanyika huko nyuma kipindi cha Mbowe.

Naombeni sana Viongozi hata kama mna maumivu ya Uchaguzi jitahidini sana kulinda Legacy ya Mbowe katika Upinzani wa nchi hii, ntawaona wanafiki sana sasa hivi mkae kimya halafu siku ya kumuaga akiwa amelala mjitokeze na masuti yenu meusi kumpamba, natamani siku hiyo msiwe wanafiki mfanye hayahaya mnayoyafanya.

Mkumbuke Mbowe ni mstaafu mambo ya kumlazimisha afanye siasa au harakati baada ya kustaafu msiyalete humu, Povu Ruksa!
 
Unamtetea teepee aka conman?Neno heshima au muheshimiwa ni vema likatumika sehemu sahihi.Huyo mtu,pasina shaka,alitumia CHADEMA kiujanjaujanja kujinufaisha kwa jasho,damu na uhai wa wanachama.Hafai.
 
Kuna kitu mnakosea sana kukaa kimya na kuacha vijana wadogo kama akina Hilda Newton kumshambulia Mbowe na kumvunjia heshima kwa kiwango kikubwa, hii siyo sawa na haikubaliki hata kidogo na mbegu inayopandwa ni hatari sana.
Ukiangalia mambo yanavyoenda inaonekana kazi ya kulinda Legacy ya Mbowe ni kama anaifanya au kaachiwa Heche peke yake, huyu ndiyo pekee kidoogo anaonyesha Uongozi kwenye hili.

Tuchukulie sawa nyie mlioko Madarakani ni Miungu hamna madhaifu Mbowe yeye ana madhaifu, lakini kwa kuwalindia Chama hadi mnakikuta hapo kilipofika kiko Mioyoni kwa kila Mtanzania kweli anastahili kutukanwa kiasi hicho na mtu kama Hilda Newton ambae ameikuta CHADEMA imeshasimama na Mbowe ni kama baba yake?

Mbowe ameshakaa Jela mara ngapi kwa ajili ya hiki Chama halafu muulize Hilda ambae siyo Msaliti ufanye Comparison, kwanza huyu Hilda ha huyo Twaha Mwaipaya mimi binafsi nina mashaka nao mda mrefu sana kwa wanayoyafanya mbona hawajawahi kupata misukosuko yoyote ya maana kama wenzao?Siyo kina Zitto wengine hawa?

Kosa la Mbowe ni kuruhusu kutukanwa na yeye kukaa kimya na kulinda image ya Taasisi?Au kukubali kushindwa?

Ni aina Gani ya Siasa zinazofanyika leo hajafanya Mbowe?Kususia Uchaguzi?Kuandamana?Kuongea na Serikali?Kufungwa?Naona yote yanayofanyika ni marudio tu ila yalishafanyika huko nyuma kipindi cha Mbowe.

Naombeni sana Viongozi hata kama mna maumivu ya Uchaguzi jitahidini sana kulinda Legacy ya Mbowe katika Upinzani wa nchi hii, ntawaona wanafiki sana sasa hivi mkae kimya halafu siku ya kumuaga akiwa amelala mjitokeze na masuti yenu meusi kumpamba, natamani siku hiyo msiwe wanafiki mfanye hayahaya mnayoyafanya.

Mkumbuke Mbowe ni mstaafu mambo ya kumlazimisha afanye siasa au harakati baada ya kustaafu msiyalete humu, Povu Ruksa!
Sawasawa
 
Sawa Mwenye kiti mstahafu foreman aikal mbowe tumekusikiaa na Hilda ataambiwa aache kukutukana maana ww n sawa na baba yake...

Kuna linginee unataka tumwambie Hilda labda mwenyekiti njee na Hilo la matuc 🤔🤔
 
Tatizo Mbowe naye ndo alilea hawa watukanaji. Acha apewe dozi yake. Alitukanwa sana Mchungaji wa Iringa na vijana wa Mbowe ila hakukemea. NINAFURAHI SANA CHADEMA WAKIVURUGANA.
 
Kuna kitu mnakosea sana kukaa kimya na kuacha vijana wadogo kama akina Hilda Newton kumshambulia Mbowe na kumvunjia heshima kwa kiwango kikubwa, hii siyo sawa na haikubaliki hata kidogo na mbegu inayopandwa ni hatari sana.
Ukiangalia mambo yanavyoenda inaonekana kazi ya kulinda Legacy ya Mbowe ni kama anaifanya au kaachiwa Heche peke yake, huyu ndiyo pekee kidoogo anaonyesha Uongozi kwenye hili.

Tuchukulie sawa nyie mlioko Madarakani ni Miungu hamna madhaifu Mbowe yeye ana madhaifu, lakini kwa kuwalindia Chama hadi mnakikuta hapo kilipofika kiko Mioyoni kwa kila Mtanzania kweli anastahili kutukanwa kiasi hicho na mtu kama Hilda Newton ambae ameikuta CHADEMA imeshasimama na Mbowe ni kama baba yake?

Mbowe ameshakaa Jela mara ngapi kwa ajili ya hiki Chama halafu muulize Hilda ambae siyo Msaliti ufanye Comparison, kwanza huyu Hilda ha huyo Twaha Mwaipaya mimi binafsi nina mashaka nao mda mrefu sana kwa wanayoyafanya mbona hawajawahi kupata misukosuko yoyote ya maana kama wenzao?Siyo kina Zitto wengine hawa?

Kosa la Mbowe ni kuruhusu kutukanwa na yeye kukaa kimya na kulinda image ya Taasisi?Au kukubali kushindwa?

Ni aina Gani ya Siasa zinazofanyika leo hajafanya Mbowe?Kususia Uchaguzi?Kuandamana?Kuongea na Serikali?Kufungwa?Naona yote yanayofanyika ni marudio tu ila yalishafanyika huko nyuma kipindi cha Mbowe.

Naombeni sana Viongozi hata kama mna maumivu ya Uchaguzi jitahidini sana kulinda Legacy ya Mbowe katika Upinzani wa nchi hii, ntawaona wanafiki sana sasa hivi mkae kimya halafu siku ya kumuaga akiwa amelala mjitokeze na masuti yenu meusi kumpamba, natamani siku hiyo msiwe wanafiki mfanye hayahaya mnayoyafanya.

Mkumbuke Mbowe ni mstaafu mambo ya kumlazimisha afanye siasa au harakati baada ya kustaafu msiyalete humu, Povu Ruksa!
Screenshot_20250615-124601~2.png
 
Wewe na Mbowe tofauti yenu labda macho tu..
 
Madhara ya kiongozi kukaa muda mrefu madarakani yamejionyesha kwa Mbowe baada ya kushindwa. Anabaki kukihujumu chama kwa maslahi yake binafsi. Akae atulie apewe dozi zake. Siungi mkono yeye kutukanwa, lakini kupewa ukweli wake hiyo ni haki yake.
 
Kuna kitu mnakosea sana kukaa kimya na kuacha vijana wadogo kama akina Hilda Newton kumshambulia Mbowe na kumvunjia heshima kwa kiwango kikubwa, hii siyo sawa na haikubaliki hata kidogo na mbegu inayopandwa ni hatari sana.
Ukiangalia mambo yanavyoenda inaonekana kazi ya kulinda Legacy ya Mbowe ni kama anaifanya au kaachiwa Heche peke yake, huyu ndiyo pekee kidoogo anaonyesha Uongozi kwenye hili.

Tuchukulie sawa nyie mlioko Madarakani ni Miungu hamna madhaifu Mbowe yeye ana madhaifu, lakini kwa kuwalindia Chama hadi mnakikuta hapo kilipofika kiko Mioyoni kwa kila Mtanzania kweli anastahili kutukanwa kiasi hicho na mtu kama Hilda Newton ambae ameikuta CHADEMA imeshasimama na Mbowe ni kama baba yake?

Mbowe ameshakaa Jela mara ngapi kwa ajili ya hiki Chama halafu muulize Hilda ambae siyo Msaliti ufanye Comparison, kwanza huyu Hilda ha huyo Twaha Mwaipaya mimi binafsi nina mashaka nao mda mrefu sana kwa wanayoyafanya mbona hawajawahi kupata misukosuko yoyote ya maana kama wenzao?Siyo kina Zitto wengine hawa?

Kosa la Mbowe ni kuruhusu kutukanwa na yeye kukaa kimya na kulinda image ya Taasisi?Au kukubali kushindwa?

Ni aina Gani ya Siasa zinazofanyika leo hajafanya Mbowe?Kususia Uchaguzi?Kuandamana?Kuongea na Serikali?Kufungwa?Naona yote yanayofanyika ni marudio tu ila yalishafanyika huko nyuma kipindi cha Mbowe.

Naombeni sana Viongozi hata kama mna maumivu ya Uchaguzi jitahidini sana kulinda Legacy ya Mbowe katika Upinzani wa nchi hii, ntawaona wanafiki sana sasa hivi mkae kimya halafu siku ya kumuaga akiwa amelala mjitokeze na masuti yenu meusi kumpamba, natamani siku hiyo msiwe wanafiki mfanye hayahaya mnayoyafanya.

Mkumbuke Mbowe ni mstaafu mambo ya kumlazimisha afanye siasa au harakati baada ya kustaafu msiyalete humu, Povu Ruksa!
Usichua ni kwamba mbowe alishajivunjia heshima mwenyewe
 
Mbowe ashambuliwe popotealipo yaani nyumbani kwake kuna msiba yeye anakwenda kwenye Ngoma ya makonda?Hivi ukonga ni km ngapi?!
 
Matendo ya mtu yanamfanya alalamikiwe na kuvunjiwa heshima yake, au kupongezwa na kuheshimiwa.
 
Kuna kitu mnakosea sana kukaa kimya na kuacha vijana wadogo kama akina Hilda Newton kumshambulia Mbowe na kumvunjia heshima kwa kiwango kikubwa, hii siyo sawa na haikubaliki hata kidogo na mbegu inayopandwa ni hatari sana.
Ukiangalia mambo yanavyoenda inaonekana kazi ya kulinda Legacy ya Mbowe ni kama anaifanya au kaachiwa Heche peke yake, huyu ndiyo pekee kidoogo anaonyesha Uongozi kwenye hili.

Tuchukulie sawa nyie mlioko Madarakani ni Miungu hamna madhaifu Mbowe yeye ana madhaifu, lakini kwa kuwalindia Chama hadi mnakikuta hapo kilipofika kiko Mioyoni kwa kila Mtanzania kweli anastahili kutukanwa kiasi hicho na mtu kama Hilda Newton ambae ameikuta CHADEMA imeshasimama na Mbowe ni kama baba yake?

Mbowe ameshakaa Jela mara ngapi kwa ajili ya hiki Chama halafu muulize Hilda ambae siyo Msaliti ufanye Comparison, kwanza huyu Hilda ha huyo Twaha Mwaipaya mimi binafsi nina mashaka nao mda mrefu sana kwa wanayoyafanya mbona hawajawahi kupata misukosuko yoyote ya maana kama wenzao?Siyo kina Zitto wengine hawa?

Kosa la Mbowe ni kuruhusu kutukanwa na yeye kukaa kimya na kulinda image ya Taasisi?Au kukubali kushindwa?

Ni aina Gani ya Siasa zinazofanyika leo hajafanya Mbowe?Kususia Uchaguzi?Kuandamana?Kuongea na Serikali?Kufungwa?Naona yote yanayofanyika ni marudio tu ila yalishafanyika huko nyuma kipindi cha Mbowe.

Naombeni sana Viongozi hata kama mna maumivu ya Uchaguzi jitahidini sana kulinda Legacy ya Mbowe katika Upinzani wa nchi hii, ntawaona wanafiki sana sasa hivi mkae kimya halafu siku ya kumuaga akiwa amelala mjitokeze na masuti yenu meusi kumpamba, natamani siku hiyo msiwe wanafiki mfanye hayahaya mnayoyafanya.

Mkumbuke Mbowe ni mstaafu mambo ya kumlazimisha afanye siasa au harakati baada ya kustaafu msiyalete humu, Povu Ruksa!
Hilda amesema nini?

Amandla...
 
Write your reply...ukitaka hilder akublock muulizie ben saanane. Na kwanini hilder hua hamtaji ben saanane?
 
Huyo dada ni sewage system (mchepuko) wa mwenyekiti. Mumewe pia hana maadili.

Chama kama kinataka kushika nchi, kijirekebishe, mambo yao yanasomwa na kusikilizwa na watu wazima ambao ni wapiga kura. Hata Lissu kukaa gerezani watu wazima wengi wanaona anastahili kutokana na tabia yake ya matusi. Hata tukio LA Mdude, nobody cares kutokana na tabia zake za matusi
 
Shida sio vijana wa chadema, kinacho onekana ni wafuasi wengi wa chadema ni mioyo yao imevaa chadema kama chadema, sio mtu. Hawa hawa wanaomsema mbowe, ndio hao hao walikuwa wanamuita mwamba na sifa nyingi sana.
Hivyo ni kwamba wafuasi wa chadema haangalii nani ni nani, wanachojali ni nani yupo na chadema bega kwa bega. Usipo eleweka nao hawakuelewi.
 
Back
Top Bottom