Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Kama ambavyo mbowe aliwapotezea nao wanampotezea now
CHADEMA imara siku zote kwa matusiWashindwe kuvurugana waliompitisha mgombea wao kiujanja ujanja wavurugane wanaopambana na wahuni...
CHADEMA Imara siku zote!
Kuna kitu mnakosea sana kukaa kimya na kuacha vijana wadogo kama akina Hilda Newton kumshambulia Mbowe na kumvunjia heshima kwa kiwango kikubwa, hii siyo sawa na haikubaliki hata kidogo na mbegu inayopandwa ni hatari sana.
Ukiangalia mambo yanavyoenda inaonekana kazi ya kulinda Legacy ya Mbowe ni kama anaifanya au kaachiwa Heche peke yake, huyu ndiyo pekee kidoogo anaonyesha Uongozi kwenye hili.
Tuchukulie sawa nyie mlioko Madarakani ni Miungu hamna madhaifu Mbowe yeye ana madhaifu, lakini kwa kuwalindia Chama hadi mnakikuta hapo kilipofika kiko Mioyoni kwa kila Mtanzania kweli anastahili kutukanwa kiasi hicho na mtu kama Hilda Newton ambae ameikuta CHADEMA imeshasimama na Mbowe ni kama baba yake?
Mbowe ameshakaa Jela mara ngapi kwa ajili ya hiki Chama halafu muulize Hilda ambae siyo Msaliti ufanye Comparison, kwanza huyu Hilda ha huyo Twaha Mwaipaya mimi binafsi nina mashaka nao mda mrefu sana kwa wanayoyafanya mbona hawajawahi kupata misukosuko yoyote ya maana kama wenzao?Siyo kina Zitto wengine hawa?
Kosa la Mbowe ni kuruhusu kutukanwa na yeye kukaa kimya na kulinda image ya Taasisi?Au kukubali kushindwa?
Ni aina Gani ya Siasa zinazofanyika leo hajafanya Mbowe?Kususia Uchaguzi?Kuandamana?Kuongea na Serikali?Kufungwa?Naona yote yanayofanyika ni marudio tu ila yalishafanyika huko nyuma kipindi cha Mbowe.
Naombeni sana Viongozi hata kama mna maumivu ya Uchaguzi jitahidini sana kulinda Legacy ya Mbowe katika Upinzani wa nchi hii, ntawaona wanafiki sana sasa hivi mkae kimya halafu siku ya kumuaga akiwa amelala mjitokeze na masuti yenu meusi kumpamba, natamani siku hiyo msiwe wanafiki mfanye hayahaya mnayoyafanya.
Mkumbuke Mbowe ni mstaafu mambo ya kumlazimisha afanye siasa au harakati baada ya kustaafu msiyalete humu, Povu Ruksa!
Write your reply...ukitaka hilder akublock muulizie ben saanane. Na kwanini hilder hua hamtaji ben saanane?
Kila siku baadhi ya wanachama wanamtukana JPM na Samia yupo kimya, huoni kuwa haya mambo huwezi kuwa na control nayo? Heche aanze kuangalia nani anamtukana Mbowe? Hiyo ni nidhamu na maadili ya mtu mmoja mmoja peke yake, kama Makonda alipompiga kibao cha shavuni mzee Warioba. JK akampa ukuu wa wilaya Makonda na kumsifiaKuna kitu mnakosea sana kukaa kimya na kuacha vijana wadogo kama akina Hilda Newton kumshambulia Mbowe na kumvunjia heshima kwa kiwango kikubwa, hii siyo sawa na haikubaliki hata kidogo na mbegu inayopandwa ni hatari sana.
Ukiangalia mambo yanavyoenda inaonekana kazi ya kulinda Legacy ya Mbowe ni kama anaifanya au kaachiwa Heche peke yake, huyu ndiyo pekee kidoogo anaonyesha Uongozi kwenye hili.
Tuchukulie sawa nyie mlioko Madarakani ni Miungu hamna madhaifu Mbowe yeye ana madhaifu, lakini kwa kuwalindia Chama hadi mnakikuta hapo kilipofika kiko Mioyoni kwa kila Mtanzania kweli anastahili kutukanwa kiasi hicho na mtu kama Hilda Newton ambae ameikuta CHADEMA imeshasimama na Mbowe ni kama baba yake?
Mbowe ameshakaa Jela mara ngapi kwa ajili ya hiki Chama halafu muulize Hilda ambae siyo Msaliti ufanye Comparison, kwanza huyu Hilda ha huyo Twaha Mwaipaya mimi binafsi nina mashaka nao mda mrefu sana kwa wanayoyafanya mbona hawajawahi kupata misukosuko yoyote ya maana kama wenzao?Siyo kina Zitto wengine hawa?
Kosa la Mbowe ni kuruhusu kutukanwa na yeye kukaa kimya na kulinda image ya Taasisi?Au kukubali kushindwa?
Ni aina Gani ya Siasa zinazofanyika leo hajafanya Mbowe?Kususia Uchaguzi?Kuandamana?Kuongea na Serikali?Kufungwa?Naona yote yanayofanyika ni marudio tu ila yalishafanyika huko nyuma kipindi cha Mbowe.
Naombeni sana Viongozi hata kama mna maumivu ya Uchaguzi jitahidini sana kulinda Legacy ya Mbowe katika Upinzani wa nchi hii, ntawaona wanafiki sana sasa hivi mkae kimya halafu siku ya kumuaga akiwa amelala mjitokeze na masuti yenu meusi kumpamba, natamani siku hiyo msiwe wanafiki mfanye hayahaya mnayoyafanya.
Mkumbuke Mbowe ni mstaafu mambo ya kumlazimisha afanye siasa au harakati baada ya kustaafu msiyalete humu, Povu Ruksa!
Mbowe aliwakemea wakina Yericko na Ntobi walipokuwa wanamsemea ovyo Lissu. Huo ndio uongozi. Ukiyanyamazia hadharani ina maana unakubaliana nayo.Kila siku baadhi ya wanachama wanamtukana JPM na Samia yupo kimya, huoni kuwa haya mambo huwezi kuwa na control nayo? Heche aanze kuangalia nani anamtukana Mbowe? Hiyo ni nidhamu na maadili ya mtu mmoja mmoja peke yake, kama Makonda alipompiga kibao cha shavuni mzee Warioba. JK akampa ukuu wa wilaya Makonda na kumsifia
Wembo amejivunjia heshima yeye mwenyewe kwa tamaa acha kulaumu watu mlaumuni yeye mwenyewe amechelewesha sana harakatiKuna kitu mnakosea sana kukaa kimya na kuacha vijana wadogo kama akina Hilda Newton kumshambulia Mbowe na kumvunjia heshima kwa kiwango kikubwa, hii siyo sawa na haikubaliki hata kidogo na mbegu inayopandwa ni hatari sana.
Ukiangalia mambo yanavyoenda inaonekana kazi ya kulinda Legacy ya Mbowe ni kama anaifanya au kaachiwa Heche peke yake, huyu ndiyo pekee kidoogo anaonyesha Uongozi kwenye hili.
Tuchukulie sawa nyie mlioko Madarakani ni Miungu hamna madhaifu Mbowe yeye ana madhaifu, lakini kwa kuwalindia Chama hadi mnakikuta hapo kilipofika kiko Mioyoni kwa kila Mtanzania kweli anastahili kutukanwa kiasi hicho na mtu kama Hilda Newton ambae ameikuta CHADEMA imeshasimama na Mbowe ni kama baba yake?
Mbowe ameshakaa Jela mara ngapi kwa ajili ya hiki Chama halafu muulize Hilda ambae siyo Msaliti ufanye Comparison, kwanza huyu Hilda ha huyo Twaha Mwaipaya mimi binafsi nina mashaka nao mda mrefu sana kwa wanayoyafanya mbona hawajawahi kupata misukosuko yoyote ya maana kama wenzao?Siyo kina Zitto wengine hawa?
Kosa la Mbowe ni kuruhusu kutukanwa na yeye kukaa kimya na kulinda image ya Taasisi?Au kukubali kushindwa?
Ni aina Gani ya Siasa zinazofanyika leo hajafanya Mbowe?Kususia Uchaguzi?Kuandamana?Kuongea na Serikali?Kufungwa?Naona yote yanayofanyika ni marudio tu ila yalishafanyika huko nyuma kipindi cha Mbowe.
Naombeni sana Viongozi hata kama mna maumivu ya Uchaguzi jitahidini sana kulinda Legacy ya Mbowe katika Upinzani wa nchi hii, ntawaona wanafiki sana sasa hivi mkae kimya halafu siku ya kumuaga akiwa amelala mjitokeze na masuti yenu meusi kumpamba, natamani siku hiyo msiwe wanafiki mfanye hayahaya mnayoyafanya.
Mkumbuke Mbowe ni mstaafu mambo ya kumlazimisha afanye siasa au harakati baada ya kustaafu msiyalete humu, Povu Ruksa!
Father Kitima kashambuliwa na hakuna hatua yoyote imechukuliwa. Je na yeye kamtukana nani ili tuone huu utetezi wako una maana?Huyo dada ni sewage system (mchepuko) wa mwenyekiti. Mumewe pia hana maadili.
Chama kama kinataka kushika nchi, kijirekebishe, mambo yao yanasomwa na kusikilizwa na watu wazima ambao ni wapiga kura. Hata Lissu kukaa gerezani watu wazima wengi wanaona anastahili kutokana na tabia yake ya matusi. Hata tukio LA Mdude, nobody cares kutokana na tabia zake za matusi
Waache wamtukane Mbowe ili zamu yao itakapofika tuwe tunawakumbusha!Kuna kitu mnakosea sana kukaa kimya na kuacha vijana wadogo kama akina Hilda Newton kumshambulia Mbowe na kumvunjia heshima kwa kiwango kikubwa, hii siyo sawa na haikubaliki hata kidogo na mbegu inayopandwa ni hatari sana.
Ukiangalia mambo yanavyoenda inaonekana kazi ya kulinda Legacy ya Mbowe ni kama anaifanya au kaachiwa Heche peke yake, huyu ndiyo pekee kidoogo anaonyesha Uongozi kwenye hili.
Tuchukulie sawa nyie mlioko Madarakani ni Miungu hamna madhaifu Mbowe yeye ana madhaifu, lakini kwa kuwalindia Chama hadi mnakikuta hapo kilipofika kiko Mioyoni kwa kila Mtanzania kweli anastahili kutukanwa kiasi hicho na mtu kama Hilda Newton ambae ameikuta CHADEMA imeshasimama na Mbowe ni kama baba yake?
Mbowe ameshakaa Jela mara ngapi kwa ajili ya hiki Chama halafu muulize Hilda ambae siyo Msaliti ufanye Comparison, kwanza huyu Hilda ha huyo Twaha Mwaipaya mimi binafsi nina mashaka nao mda mrefu sana kwa wanayoyafanya mbona hawajawahi kupata misukosuko yoyote ya maana kama wenzao?Siyo kina Zitto wengine hawa?
Kosa la Mbowe ni kuruhusu kutukanwa na yeye kukaa kimya na kulinda image ya Taasisi?Au kukubali kushindwa?
Ni aina Gani ya Siasa zinazofanyika leo hajafanya Mbowe?Kususia Uchaguzi?Kuandamana?Kuongea na Serikali?Kufungwa?Naona yote yanayofanyika ni marudio tu ila yalishafanyika huko nyuma kipindi cha Mbowe.
Naombeni sana Viongozi hata kama mna maumivu ya Uchaguzi jitahidini sana kulinda Legacy ya Mbowe katika Upinzani wa nchi hii, ntawaona wanafiki sana sasa hivi mkae kimya halafu siku ya kumuaga akiwa amelala mjitokeze na masuti yenu meusi kumpamba, natamani siku hiyo msiwe wanafiki mfanye hayahaya mnayoyafanya.
Mkumbuke Mbowe ni mstaafu mambo ya kumlazimisha afanye siasa au harakati baada ya kustaafu msiyalete humu, Povu Ruksa!
Kwangu mimi kwa tabia ya Lissu alitakiwa akae sehemu sahihi zaidi ya mahabusu!Huyo dada ni sewage system (mchepuko) wa mwenyekiti. Mumewe pia hana maadili.
Chama kama kinataka kushika nchi, kijirekebishe, mambo yao yanasomwa na kusikilizwa na watu wazima ambao ni wapiga kura. Hata Lissu kukaa gerezani watu wazima wengi wanaona anastahili kutokana na tabia yake ya matusi. Hata tukio LA Mdude, nobody cares kutokana na tabia zake za matusi
watu walimuonya Lisu kuwa hiki unachokifanya hakina afya kwa chama na wewe pia......... alijawa na ufahari/ukubwa akasahau kuwa bila Mbowe kulazimisha kupelekwa Nairobi angelikuwa historia leo. Yote hayo aliyasahau!Kuna kitu mnakosea sana kukaa kimya na kuacha vijana wadogo kama akina Hilda Newton kumshambulia Mbowe na kumvunjia heshima kwa kiwango kikubwa, hii siyo sawa na haikubaliki hata kidogo na mbegu inayopandwa ni hatari sana.
Ukiangalia mambo yanavyoenda inaonekana kazi ya kulinda Legacy ya Mbowe ni kama anaifanya au kaachiwa Heche peke yake, huyu ndiyo pekee kidoogo anaonyesha Uongozi kwenye hili.
Tuchukulie sawa nyie mlioko Madarakani ni Miungu hamna madhaifu Mbowe yeye ana madhaifu, lakini kwa kuwalindia Chama hadi mnakikuta hapo kilipofika kiko Mioyoni kwa kila Mtanzania kweli anastahili kutukanwa kiasi hicho na mtu kama Hilda Newton ambae ameikuta CHADEMA imeshasimama na Mbowe ni kama baba yake?
Mbowe ameshakaa Jela mara ngapi kwa ajili ya hiki Chama halafu muulize Hilda ambae siyo Msaliti ufanye Comparison, kwanza huyu Hilda ha huyo Twaha Mwaipaya mimi binafsi nina mashaka nao mda mrefu sana kwa wanayoyafanya mbona hawajawahi kupata misukosuko yoyote ya maana kama wenzao?Siyo kina Zitto wengine hawa?
Kosa la Mbowe ni kuruhusu kutukanwa na yeye kukaa kimya na kulinda image ya Taasisi?Au kukubali kushindwa?
Ni aina Gani ya Siasa zinazofanyika leo hajafanya Mbowe?Kususia Uchaguzi?Kuandamana?Kuongea na Serikali?Kufungwa?Naona yote yanayofanyika ni marudio tu ila yalishafanyika huko nyuma kipindi cha Mbowe.
Naombeni sana Viongozi hata kama mna maumivu ya Uchaguzi jitahidini sana kulinda Legacy ya Mbowe katika Upinzani wa nchi hii, ntawaona wanafiki sana sasa hivi mkae kimya halafu siku ya kumuaga akiwa amelala mjitokeze na masuti yenu meusi kumpamba, natamani siku hiyo msiwe wanafiki mfanye hayahaya mnayoyafanya.
Mkumbuke Mbowe ni mstaafu mambo ya kumlazimisha afanye siasa au harakati baada ya kustaafu msiyalete humu, Povu Ruksa!
stop nonsense speculations!Kwendraaa zrakroooo unafurahia lisu kuka jela HUYO shahidi WA Siri unamjua. Pyeeeeeeeee
Jakaya kawa raisi wa Tanzania kwa miaka 10 Hana legacy? Anaheshimiwa? Kwann sasa?Kuna kitu mnakosea sana kukaa kimya na kuacha vijana wadogo kama akina Hilda Newton kumshambulia Mbowe na kumvunjia heshima kwa kiwango kikubwa, hii siyo sawa na haikubaliki hata kidogo na mbegu inayopandwa ni hatari sana.
Ukiangalia mambo yanavyoenda inaonekana kazi ya kulinda Legacy ya Mbowe ni kama anaifanya au kaachiwa Heche peke yake, huyu ndiyo pekee kidoogo anaonyesha Uongozi kwenye hili.
Tuchukulie sawa nyie mlioko Madarakani ni Miungu hamna madhaifu Mbowe yeye ana madhaifu, lakini kwa kuwalindia Chama hadi mnakikuta hapo kilipofika kiko Mioyoni kwa kila Mtanzania kweli anastahili kutukanwa kiasi hicho na mtu kama Hilda Newton ambae ameikuta CHADEMA imeshasimama na Mbowe ni kama baba yake?
Mbowe ameshakaa Jela mara ngapi kwa ajili ya hiki Chama halafu muulize Hilda ambae siyo Msaliti ufanye Comparison, kwanza huyu Hilda ha huyo Twaha Mwaipaya mimi binafsi nina mashaka nao mda mrefu sana kwa wanayoyafanya mbona hawajawahi kupata misukosuko yoyote ya maana kama wenzao?Siyo kina Zitto wengine hawa?
Kosa la Mbowe ni kuruhusu kutukanwa na yeye kukaa kimya na kulinda image ya Taasisi?Au kukubali kushindwa?
Ni aina Gani ya Siasa zinazofanyika leo hajafanya Mbowe?Kususia Uchaguzi?Kuandamana?Kuongea na Serikali?Kufungwa?Naona yote yanayofanyika ni marudio tu ila yalishafanyika huko nyuma kipindi cha Mbowe.
Naombeni sana Viongozi hata kama mna maumivu ya Uchaguzi jitahidini sana kulinda Legacy ya Mbowe katika Upinzani wa nchi hii, ntawaona wanafiki sana sasa hivi mkae kimya halafu siku ya kumuaga akiwa amelala mjitokeze na masuti yenu meusi kumpamba, natamani siku hiyo msiwe wanafiki mfanye hayahaya mnayoyafanya.
Mkumbuke Mbowe ni mstaafu mambo ya kumlazimisha afanye siasa au harakati baada ya kustaafu msiyalete humu, Povu Ruksa!
Ibing'we bagalantare basese balinywee eeeeeeeeeestop nonsense speculations!