Chonde chonde wabunge wa CCM msichague Tulia Ackson kuwa Spika, tayari ameshaonesha udhaifu wa kutosimamia katiba ya JMT. Hafai kabisa kuwa spika

GENTAMYCINE nakuhakikishia kuwa Chaguo langu Kuu ( Tukuka ) Dk. Tulia Ackson ( Sakho ) ndiyo anaenda kuwa Spika mpya wa Bunge la JMT.

Ana Sifa zote na Fools ndiyo anawakera.
 
Pascal uliingia pale UD kwa Mature Age Entry 2002?
Yes, ila ni mwaka 2003, Tulia ndio amegraduate LL.M, sisi ndio darasa lake la kwanza kipindi cha kwanza nilikuwa LW 101, mwalimu wa kwanza ndio Tulia!, enzi hizo na umbo lake lile la kimiss, na rangi yake ile ya deep chocolate, na kajisura fulani ka Baby Face, kalikuwa kanaonekana kama form III fulani hivi, na sisi wengine ndio tumeingia chuo watu wazima!, kufundishwa na vitoto...kuelewa ilikuwa ni shughuli!.
P
 
Chadema jipangeni kumtoa kamanda wenu jela, mambo ccm siku zote tumekuwa tukisema ni ya ki-sisiemu leteni mpango wenu wa kuchukua nchi 2025., Mama anapanga mikakati yake kama ccm na wenzake., mbona mnajisahau mnajikuta mnampangia mama vya kufanya? Au mapambano yamegonga mwamba upande huo?
 
Yeah, it was 2003. Nakumbuka nilikuona. Paper Two yenu ya Mature(specific kutokana na Course uliyoomba baada ya Paper One ya General na Hesabu) ilikua na maswali kuhusiana na "Mfumo wa Magereza wa sasa kama unasaidia kurekebisha tabia za wafungwa?"
 
Kama kweli Tulia atakuwa speaker wa bunge, bas nitaamini sisi watanzania hatupo makini na mambo critical, wabunge wakimchagua huyo mdada nitawaona mabwege
 
Usiwaambie wabunge, waambie ccm maana akishateuliwa na ccm kugombea ni spika tayari maana ccm hawatakubali kuwaachia uspika wapinzani.
 
Yeah, it was 2003. Nakumbuka nilikuona. Paper Two yenu ya Mature(specific kutokana na Course uliyoomba baada ya Paper One ya General na Hesabu) ilikua na maswali kuhusiana na "Mfumo wa Magereza wa sasa kama unasaidia kurekebisha tabia za wafungwa?"
Niliifumua hiyo mature entry utadhani mtihani nilitunga mimi!. Nilipania kusoma law toka nilipokuwa A-Level, Ilboru, hivyo nilipokosa 1st, nikaamua kusoma Journalism, na nilirudi shule baada ya kutimuliwa kazi!. LL.B yangu ni hons. Kitu cha ajabu, baada ya kumaliza LL.B, nikajikuta napenda media, ndio mpaka leo.
P
 
hahahaaaa ndege wanofanana huruka pamoja mkuu.
 
Hahahaaa P si wewe pale Ilboru mlikuwa mnajiita wasimila ndo maana ukapenda media pamoja na akina Lyoba Ayubu.
 
Acha wivu
 
Unajua kusoma na kuandika?
 
Kama kweli Tulia atakuwa speaker wa bunge, bas nitaamini sisi watanzania hatupo makini na mambo critical, wabunge wakimchagua huyo mdada nitawaona mabwege
Sasa kama rais ndio anatetea jenda yake utasemaje! na yeye ndio kashika LUNGU, si-umeona wale tishio alivyowapangua, kwangu mie ni kujaribu kusafisha njia. eti kaapangia kazi maalumu isiyosemwa huko ikulu (huku ni kuwaficha wasijaribu)
Msipoitaka katiba mpya mtajifunza tu umuhimu wake kwa aina hii ya marais.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ