Chonde chonde wabunge wa CCM msichague Tulia Ackson kuwa Spika, tayari ameshaonesha udhaifu wa kutosimamia katiba ya JMT. Hafai kabisa kuwa spika

ni ilborian mwenzako bwana P.
Asante sana katitu , Siku ukipita Arusha, nenda kasalimie
P
 
mkuu vp!!?? [emoji23][emoji23][emoji23]. mayalla nn !!
 
Mbeya kwa muda mrefu hatujawah kuwa na kiongozi mkuu Kati ya mihimili mitatu ya nchi it's our time go Tulia
Kwani nyinyi wanambeya mnakula kwake? Mpuuzi tu Yule na ananyodo Sana afu anakaunyakyusa flani ka kifala Sana hafai
 
Kwahyo Mungu anaweza kumleta Shetani awe kiongozi wa Malaika? usitumie jina la Mungu kuhalalisha Tawala za kidhalimu na kuaminisha watu kuwa Mungu amezipa baraka zake,hizi Tawala nyingine hazina Baraka za Mungu na ndiyo maana zinaanguka kwasababu ya Laana zao.
 
Hakika Mungu ni Mkubwa kuliko Sisi Binadam na Mamlaka yake ni kubwa kuliko Mamlaka zetu,anaweza kalia kiti na asidumu nacho,umesahau uchaguzi wa awamu ya pili ya Rais Magufuli ulivyokua alishinda kwa nguvu kubwa kwa kila hila ila Mwenyezi Mungu hakupendezwa na Utawala wake ivo hakudumu,kwahyo lolote linawezekana na kwasasa Taifa letu liko kwenye uangalizi wa Baba yetu wa mbinguni kuliko wakati wote,waovu hawatasimama kwenye Ufalme wake.
 
Tulia hafai, yaonekana hata mwenyewe anajijua kuwa hafai, ndo maana kachukua njia ya kujikomba hadharani bila hata chembe ya aibu.
Ni wazi kuwa atapandikizwa kama ilivyokuwa kwenye unaibu spika.
Kazi ya bunge ni kuisimamia serikali ama sivyo halina sababu kuwepo.
Wananchi sasa hivi tunahitaji kuimarisha harakati za kusaka katiba mpya/bora ili pawe na mifumo imara ya kuchuja na kudhibiti mapandikizi na matakataka kama haya. Inatakiwa pawe na mifumo imara itakayo rudisha uhuru na haki za msingi katika TAIFA ili;
WANANCHI NDIO WAPIGE KURA, WANANCHI NDIO WACHAGUE, tangu hatua ya serikali za mitaa mpaka uongozi wa juu wa nchi. AMEN
 
Ameshiriki wizi wa kura Mbeya na ni ppuppet sana wa muhimili wa serikali,ivyo hafai kurudisha imanibya wananchi ktk bunge. She is a cancer and hypocrite.
 
AMEN
 
Samia uwa hayumbishwi na sifa za kijinga alizotoa Tulia,huyu Tulia ni zao la Magu ivyo haiwezekani wakamtumia.

Kumbuka mzee wa Msoga amedhamiria kufuta kumbukumbu za mwendazake.
 
Ameshiriki wizi wa kura Mbeya na ni ppuppet sana wa muhimili wa serikali,ivyo hafai kurudisha imanibya wananchi ktk bunge. She is a cancer and hypocrite.
Hicho kidada sijawahi kukipenda.
Kilipompata Magu, alipowa uspika alisababisha mume afukuzwe kazi na Magu alimbania kila mahali ili akose jeuri...akae na watoto home tu.
 
Do you even know God!?

Tawala dhalimu zote ni pandikizi la shetani,Mungu anahusika kwenye utawala wa haki tu.
 
A BIG YES
 
Tatizo lipo kwenye uelewa wa wananchi
Laiti kama wananchi wangekuwa na uwezo wa kuelewa na kudai walau nusu ya hiki ukisemacho!
 
Chonde chonde Wabunge Tumchague Dr Msukuma kwa maendeleo ya Muhimili wetu.
 
Hicho kidada sijawahi kukipenda.
Kilipompata Magu, alipowa uspika alisababisha mume afukuzwe kazi na Magu alimbania kila mahali ili akose jeuri...akae na watoto home tu.
Duh! Tulia ni kashetani kachafu sana
 
Hii hapana kwa kweli. Kumchagua mtu hata kama hafai kisa tu Mbeya hajawahi toka kiongozi wa mhimili
Mbeya kwa muda mrefu hatujawah kuwa na kiongozi mkuu Kati ya mihimili mitatu ya nchi it's our time go Tul
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…