ni ilborian mwenzako bwana P.Duh...!. Kweli wewe wa longi!.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni ilborian mwenzako bwana P.Duh...!. Kweli wewe wa longi!.
P
Jitengeni Mbeya iwe nchi ili Tulia awe rais wenu wa kudumu,halafu wewe uwe spikaMbeya kwa muda mrefu hatujawah kuwa na kiongozi mkuu Kati ya mihimili mitatu ya nchi it's our time go Tulia
Asante sana katitu , Siku ukipita Arusha, nenda kasalimieni ilborian mwenzako bwana P.
mkuu vp!!?? [emoji23][emoji23][emoji23]. mayalla nn !!Mungu ndio huweka serikali za mataifa na viongozi wake, hivyo hata JPM aliletwa na Mungu na akaitwa na Mungu, Samia ameletwa na Mungu. Ndugai pia alipangiwa na Mungu, na ni Mungu alimruhusu shetani kumuingia na kumtelezesha ulimi, hivyo akaruhusu aondolewe, hivyo Spika ajaye tayari Mungu ameisha mpangia, na sisi baadhi yenu ni watu wa Mungu, tumeisha ambiwa Spika mpya ni Dr. Tulia!.
Tembelea hapa uangalie hili tuliambiwa lini!
PVoices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
Wanabodi, Japo siku zote Nabii huwa hakubaliki nyumbani, hili nalijua na litabezwa, na nimeisha lisemea humu TZ Tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!. - JamiiForums Hii ni thread ya maono ya unabii, na sio utabiri na sio trends reading...www.jamiiforums.com
Kwani nyinyi wanambeya mnakula kwake? Mpuuzi tu Yule na ananyodo Sana afu anakaunyakyusa flani ka kifala Sana hafaiMbeya kwa muda mrefu hatujawah kuwa na kiongozi mkuu Kati ya mihimili mitatu ya nchi it's our time go Tulia
Mbeya kwa muda mrefu hatujawah kuwa na kiongozi mkuu Kati ya mihimili mitatu ya nchi it's our time go Tulia
Kwahyo Mungu anaweza kumleta Shetani awe kiongozi wa Malaika? usitumie jina la Mungu kuhalalisha Tawala za kidhalimu na kuaminisha watu kuwa Mungu amezipa baraka zake,hizi Tawala nyingine hazina Baraka za Mungu na ndiyo maana zinaanguka kwasababu ya Laana zao.Mungu ndio huweka serikali za mataifa na viongozi wake, hivyo hata JPM aliletwa na Mungu na akaitwa na Mungu, Samia ameletwa na Mungu. Ndugai pia alipangiwa na Mungu, na ni Mungu alimruhusu shetani kumuingia na kumtelezesha ulimi, hivyo akaruhusu aondolewe, hivyo Spika ajaye tayari Mungu ameisha mpangia, na sisi baadhi yenu ni watu wa Mungu, tumeisha ambiwa Spika mpya ni Dr. Tulia!.
Tembelea hapa uangalie hili tuliambiwa lini!
PVoices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
Wanabodi, Japo siku zote Nabii huwa hakubaliki nyumbani, hili nalijua na litabezwa, na nimeisha lisemea humu TZ Tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!. - JamiiForums Hii ni thread ya maono ya unabii, na sio utabiri na sio trends reading...www.jamiiforums.com
Hakika Mungu ni Mkubwa kuliko Sisi Binadam na Mamlaka yake ni kubwa kuliko Mamlaka zetu,anaweza kalia kiti na asidumu nacho,umesahau uchaguzi wa awamu ya pili ya Rais Magufuli ulivyokua alishinda kwa nguvu kubwa kwa kila hila ila Mwenyezi Mungu hakupendezwa na Utawala wake ivo hakudumu,kwahyo lolote linawezekana na kwasasa Taifa letu liko kwenye uangalizi wa Baba yetu wa mbinguni kuliko wakati wote,waovu hawatasimama kwenye Ufalme wake.Naunga mkono hoja, wanaosema, waache waseme, tayari kuna sauti imesema Spika ajaye ni Tulia.
PVoices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
Wanabodi, Japo siku zote Nabii huwa hakubaliki nyumbani, hili nalijua na litabezwa, na nimeisha lisemea humu TZ Tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!. - JamiiForums Hii ni thread ya maono ya unabii, na sio utabiri na sio trends reading...www.jamiiforums.com
Hebu kavae gagulo lako kwanza.ANAYETAFUNWA NII MBOWE KULE JELA
Tulia hafai, yaonekana hata mwenyewe anajijua kuwa hafai, ndo maana kachukua njia ya kujikomba hadharani bila hata chembe ya aibu.Moja Tulia alipaswa kujiuzulu kufuata nyendo za bosi wake!
Pili alipaswa kujiuzulu kwa kauli yake ya ajabu zaidi ya ile ya Ndugai.
Tatu yeyote atayeteuliwa kuwa Spika mpya mwambieni akome kujikomboleza Ikulu. Yeye na mwenzake wa Mahaka si kila hafla ya Ikulu ni lazima waende...
Ameshiriki wizi wa kura Mbeya na ni ppuppet sana wa muhimili wa serikali,ivyo hafai kurudisha imanibya wananchi ktk bunge. She is a cancer and hypocrite.Tunajua mpo wengi ndani ya mjengo wa National Assembly. Maana ni karibu ya 98 % ya wabunge wote.
Japokuwa wengi mpo bungeni kimazabe mazabe baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 kuwa na maluelue lakini hili la spika kuweni na Uzalendo.
Bunge haliwezi kuwa na spika ambae ataona staha kuisimamia na kudhibiti serikali kuu kisa tu mkuu wa serikali ni amiri jeshi mkuu. Mathalani ukitokea ufisadi wa kutisha kama wa Rischmond je? Aone staha?
Wekeni ushabiki wa siasa kando na msichague spika kama huyu.
AMENHakika Mungu ni Mkubwa kuliko Sisi Binadam na Mamlaka yake ni kubwa kuliko Mamlaka zetu,anaweza kalia kiti na asidumu nacho,umesahau uchaguzi wa awamu ya pili ya Rais Magufuli ulivyokua alishinda kwa nguvu kubwa kwa kila hila ila Mwenyezi Mungu hakupendezwa na Utawala wake ivo hakudumu,kwahyo lolote linawezekana na kwasasa Taifa letu liko kwenye uangalizi wa Baba yetu wa mbinguni kuliko wakati wote,waovu hawatasimama kwenye Ufalme wake.
Samia uwa hayumbishwi na sifa za kijinga alizotoa Tulia,huyu Tulia ni zao la Magu ivyo haiwezekani wakamtumia.Tulia hafai, yaonekana hata mwenyewe anajijua kuwa hafai, ndo maana kachukua njia ya kujikomba hadharani bila hata chembe ya aibu.
Ni wazi kuwa atapandikizwa kama ilivyokuwa kwenye unaibu spika.
Kazi ya bunge ni kuisimamia serikali ama sivyo halina sababu kuwepo.
Wananchi sasa hivi tunahitaji kuimarisha harakati za kusaka katiba mpya/bora ili pawe na mifumo imara ya kuchuja na kudhibiti mapandikizi na matakataka kama haya. Inatakiwa pawe na mifumo imara itakayo rudisha uhuru na haki za msingi katika TAIFA ili;
WANANCHI NDIO WAPIGE KURA, WANANCHI NDIO WACHAGUE, tangu hatua ya serikali za mitaa mpaka uongozi wa juu wa nchi. AMEN
Hicho kidada sijawahi kukipenda.Ameshiriki wizi wa kura Mbeya na ni ppuppet sana wa muhimili wa serikali,ivyo hafai kurudisha imanibya wananchi ktk bunge. She is a cancer and hypocrite.
Do you even know God!?Mungu ndio huweka serikali za mataifa na viongozi wake, hivyo hata JPM aliletwa na Mungu na akaitwa na Mungu, Samia ameletwa na Mungu. Ndugai pia alipangiwa na Mungu, na ni Mungu alimruhusu shetani kumuingia na kumtelezesha ulimi, hivyo akaruhusu aondolewe, hivyo Spika ajaye tayari Mungu ameisha mpangia, na sisi baadhi yenu ni watu wa Mungu, tumeisha ambiwa Spika mpya ni Dr. Tulia!.
Tembelea hapa uangalie hili tuliambiwa lini!
PVoices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
Wanabodi, Japo siku zote Nabii huwa hakubaliki nyumbani, hili nalijua na litabezwa, na nimeisha lisemea humu TZ Tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!. - JamiiForums Hii ni thread ya maono ya unabii, na sio utabiri na sio trends reading...www.jamiiforums.com
A BIG YESNa hapo ndipo ngoz nyeus tunapofeli kuamini kuwa eti viongozi wanaletwa na Mungu..mbona mnamsingizia Mungu kwa mambo ya ajabu hata hamuoni aibu, umefanya ngono zembe umepata ukimwi unakufa .."mapenz ya Mungu"..unaendesha gar unachat unapata ajal unakufa " mapenz ya Mungu"..uongoz mbaya watu wanakufa kama rwanda " mapenz ya Mungu.
Mungu alishamaliza kaz yake dunian baada ya Uumbaj na kutupa kiila kitu ..yanayoendelea ni creation zetu sis wanadamu na ndomana kuna free will.
Achen kupotosha watu na hii ndio ilifanya mzungu atawale africa kwa maneno kama hayo..et viongoz wanaletwa na Mungu....mkoloni alikua akikosewa anatoa adhabu halaf anasema kaambiwa na Mungu unapewa bible unasoma samehe 7×70 game over.
Tatizo lipo kwenye uelewa wa wananchiTulia hafai, yaonekana hata mwenyewe anajijua kuwa hafai, ndo maana kachukua njia ya kujikomba hadharani bila hata chembe ya aibu.
Ni wazi kuwa atapandikizwa kama ilivyokuwa kwenye unaibu spika.
Kazi ya bunge ni kuisimamia serikali ama sivyo halina sababu kuwepo.
Wananchi sasa hivi tunahitaji kuimarisha harakati za kusaka katiba mpya/bora ili pawe na mifumo imara ya kuchuja na kudhibiti mapandikizi na matakataka kama haya. Inatakiwa pawe na mifumo imara itakayo rudisha uhuru na haki za msingi katika TAIFA ili;
WANANCHI NDIO WAPIGE KURA, WANANCHI NDIO WACHAGUE, tangu hatua ya serikali za mitaa mpaka uongozi wa juu wa nchi. AMEN
Duh! Tulia ni kashetani kachafu sanaHicho kidada sijawahi kukipenda.
Kilipompata Magu, alipowa uspika alisababisha mume afukuzwe kazi na Magu alimbania kila mahali ili akose jeuri...akae na watoto home tu.
Mbeya kwa muda mrefu hatujawah kuwa na kiongozi mkuu Kati ya mihimili mitatu ya nchi it's our time go Tul