Chondechonde Rais Magufuli, kwa hili la bei ya saruji usifanye nikajutia kura yangu kwako...

Ndugu mheshimiwa,

Kipindi Cha kampeni ulituahidi kuwa utapunguza Bei ya vifaa vya ujenzi ili hata Watanzania wenye kipato Cha chini tuweze kujenga. Tulishawishika na set zako na tukakuchagua kwa kura nyingi Sana kuliko kawaida.

Sasa Cha kushangaza, Ni juzi juzi tu umeapishwa, lakini Jana Vifaa vya ujenzi vimepanda Bei ghafla. Je hi nay Ni Sera yako mheshimiwa?
Simenti Sasa tunaazimika kununua Hadi kwa Bei ya tsh30000-35000
Mabati Hali kadhalika yamepnda Bei.
Mheshimiwa tafadhali ingilia Kati ili watu tusianze kujutia kura tulizokupatia huki tukiamini kuwa utakuwa msaada wa kutimiza ndoto zetu.
Nasikia ukienda kwenye duka ukaonyesha kadi ya uanachama wa ccm bei ya cement inapungua.
 
Ndugu mheshimiwa,

Kipindi Cha kampeni ulituahidi kuwa utapunguza Bei ya vifaa vya ujenzi ili hata Watanzania wenye kipato Cha chini tuweze kujenga. Tulishawishika na set zako na tukakuchagua kwa kura nyingi Sana kuliko kawaida.

Sasa Cha kushangaza, Ni juzi juzi tu umeapishwa, lakini Jana Vifaa vya ujenzi vimepanda Bei ghafla. Je hi nay Ni Sera yako mheshimiwa?
Simenti Sasa tunaazimika kununua Hadi kwa Bei ya tsh30000-35000
Mabati Hali kadhalika yamepnda Bei.
Mheshimiwa tafadhali ingilia Kati ili watu tusianze kujutia kura tulizokupatia huki tukiamini kuwa utakuwa msaada wa kutimiza ndoto zetu.
Kura yako haijampa uongozi wameiba kura
 
ALIKUTAGA SUKARI NI 5000 KWA KILO AKASHUSHA HADI 3000 NAULI YA MWANZA ILKUWA 800,000 KASHUSHA HADI 360,000 HIYO NI KWA MUJIBU WA MAELEZO YAKE KWA HIYO USIJALI ATASHUSHA ANGALAU IFIKIE 28.000
 
Baada ya chaguzi kuu ambazo zinafanyika kwa amani wakati ilitegemewa kutatokea machafuko mambo kama haya hutegemewa kutokea kwa sababu shughuli za kiuchumi huanza kufanyika kwa nguvu zaidi baada ya kulala wakati wa mchakato wa uchaguzi.

Hii husababisha demand kuwa kubwa zaidi ya supply na matokeo yake baadhi ya product hupanda bei au kuadimika!
Acheni upuuzi,2015 baada ya uchaguzi mbona haikuwa hivi?
Unaokoteza okoteza tu sababu ilimradi utetee upande uliopo hata kama huna majibu sahihi!
Mkuu wa wilaya anasema ni kwasababu Kiwanda cha Dangote kilikuwa kwenye maintanance ya wiki 2,wewe unakuja na porojo zako hapa!
 
Mbona sisi hapa kwetu Lukobe sementi aina ya Cammels Grade 42.5N ni 16500/= au huyu jamaa wa Hardware hajashtukia huu mchezo mchafu wa Wafanyabiashara wasiolitakia Taifa letu Kama vp Serikali uchukue hatua za haraka
 
WAKATI HATUA ZA HARAKA ZINACHUKILIWA NA LILE ONYO KWA WALANGUZI WA SUKARI LIFATILIWE BOSS,MIAKA 5 SASA NDUGU SUKARI IMECHACHAMAA HADI TUKAAMBIWA TUTUMIE ASALI SIJUI KWA HILI TUTAAMBIWA TUKANDIKIE TOPE AU MATOFALI YA KUCHOMA?
 
Jamani umenikumbusha lukobe. Nina viwanja vyangu lukobe tulivuopewa "wakulima" kama fidia. Nina miaka 4 sijafika sijui kupoje kwa sasa? Nijuze jirani yangu.
 
Mavi ya ng'ombe pia hutumika kwny ujenzi,tuyatumie ili kuthamini vinyesi vya mifugo yetu.
WAKATI HATUA ZA HARAKA ZINACHUKILIWA NA LILE ONYO KWA WALANGUZI WA SUKARI LIFATILIWE BOSS,MIAKA 5 SASA NDUGU SUKARI IMECHACHAMAA HADI TUKAAMBIWA TUTUMIE ASALI SIJUI KWA HILI TUTAAMBIWA TUKANDIKIE TOPE AU MATOFALI YA KUCHOMA?
 
Ndugu mheshimiwa,

Kipindi Cha kampeni ulituahidi kuwa utapunguza Bei ya vifaa vya ujenzi ili hata Watanzania wenye kipato Cha chini tuweze kujenga. Tulishawishika na set zako na tukakuchagua kwa kura nyingi Sana kuliko kawaida.

Sasa Cha kushangaza, Ni juzi juzi tu umeapishwa, lakini Jana Vifaa vya ujenzi vimepanda Bei ghafla. Je hi nay Ni Sera yako mheshimiwa?
Simenti Sasa tunaazimika kununua Hadi kwa Bei ya tsh30000-35000
Mabati Hali kadhalika yamepnda Bei.
Mheshimiwa tafadhali ingilia Kati ili watu tusianze kujutia kura tulizokupatia huki tukiamini kuwa utakuwa msaada wa kutimiza ndoto zetu.
Ulimpa kura mhutu! Acha akuue taratiiibu.
 
Ndugu zangu,serikali haijapandisha bei,kiwanda kimojawapo Dar kulikuwa kwenye matengenezo kwa mwezi mzima,ni utaratibu wao kila mwaka,wanasimamisha shughuri za uzalishaji,ili kufanya matengenezo ya mitambo,walisimama tangu october mpaka November,ila sasa hv,uzalishaji umeishaanza,hicho kiwanda huzalisha tani 4000 kwa siku,sasa walisimama kwa mwezi mzima,ni nakisi kubwa sana kwenye soko.
 
vya sukari vinaanza lini uzalishaji bei ishuke boss wangu,waziri majaliwa alisema april 2020 bei ingeshuka na alipiga mkwara mkubwa sana
 
Ndugu mheshimiwa,

Kipindi Cha kampeni ulituahidi kuwa utapunguza Bei ya vifaa vya ujenzi ili hata Watanzania wenye kipato Cha chini tuweze kujenga. Tulishawishika na set zako na tukakuchagua kwa kura nyingi Sana kuliko kawaida.

Sasa Cha kushangaza, Ni juzi juzi tu umeapishwa, lakini Jana Vifaa vya ujenzi vimepanda Bei ghafla. Je hi nay Ni Sera yako mheshimiwa?
Simenti Sasa tunaazimika kununua Hadi kwa Bei ya tsh30000-35000
Mabati Hali kadhalika yamepnda Bei.
Mheshimiwa tafadhali ingilia Kati ili watu tusianze kujutia kura tulizokupatia huki tukiamini kuwa utakuwa msaada wa kutimiza ndoto zetu.

Expect the worse to come..

Kila apandacho mtu, ndicho atakachovuna..

Tanzania chini ya CCM na Magufuli na wenzake for almost 60yrs imepanda mbegu ya chuki na utengano miongoni mwetu na sasa mbegu ya uuaji. Hakika tutavuna matunda yake...

Remember, FOR EVERY ACTION, THERE IS AN EQUAL AND OPPOSITE REACTION..!!
 
Back
Top Bottom