Chondechonde Rais Magufuli, kwa hili la bei ya saruji usifanye nikajutia kura yangu kwako...

Ndugu mheshimiwa,

Kipindi Cha kampeni ulituahidi kuwa utapunguza Bei ya vifaa vya ujenzi ili hata Watanzania wenye kipato Cha chini tuweze kujenga. Tulishawishika na set zako na tukakuchagua kwa kura nyingi Sana kuliko kawaida.

Sasa Cha kushangaza, Ni juzi juzi tu umeapishwa, lakini Jana Vifaa vya ujenzi vimepanda Bei ghafla. Je hi nay Ni Sera yako mheshimiwa?
Simenti Sasa tunaazimika kununua Hadi kwa Bei ya tsh30000-35000
Mabati Hali kadhalika yamepnda Bei.
Mheshimiwa tafadhali ingilia Kati ili watu tusianze kujutia kura tulizokupatia huki tukiamini kuwa utakuwa msaada wa kutimiza ndoto zetu.

Juta tu ndugu! Rais yupo busy na mambo makubwa
 
Tupo uchumi wa Kati hio bei ni ndogo Sana angalau imefika elf 70 ili kila mtu ajenge nchi, wapinzani ndio walikuwa wanakwamisha maendeleo ni lzm tuwazidi ulaya
 
Hayo ndo matunda ya kura zetu hii bei ifike laki moja na nusu twende na kikapu kununua mkate.
 
Mwanasiasa upiga magoti kwa sekunde tatu ili kuomba kura sasa wapiga kura ni zamu yenu kupiga magoti kwa miaka 20 yaani ni Hadi 2040 ndo kutakuwepo na uchaguzi. Tuvumilie tu tule matunda ya kura zetu bila bughudha hakuna cha lema, mdee, Wala Lisu wa kupiga kelele. Wapinzani wamechelewesha maendeleo.
 
Mwanasiasa upiga magoti kwa sekunde tatu ili kuomba kura sasa wapiga kura ni zamu yenu kupiga magoti kwa miaka 20 yaani ni Hadi 2040 ndo kutakuwepo na uchaguzi. Tuvumilie tu tule matunda ya kura zetu bila bughudha hakuna cha lema, mdee, Wala Lisu wa kupiga kelele. Wapinzani wamechelewesha maendeleo.
 
Ndugu mheshimiwa,

Kipindi Cha kampeni ulituahidi kuwa utapunguza Bei ya vifaa vya ujenzi ili hata Watanzania wenye kipato Cha chini tuweze kujenga. Tulishawishika na set zako na tukakuchagua kwa kura nyingi Sana kuliko kawaida.

Sasa Cha kushangaza, Ni juzi juzi tu umeapishwa, lakini Jana Vifaa vya ujenzi vimepanda Bei ghafla. Je hi nay Ni Sera yako mheshimiwa?
Simenti Sasa tunaazimika kununua Hadi kwa Bei ya tsh30000-35000
Mabati Hali kadhalika yamepnda Bei.
Mheshimiwa tafadhali ingilia Kati ili watu tusianze kujutia kura tulizokupatia huki tukiamini kuwa utakuwa msaada wa kutimiza ndoto zetu.
Hukujua kuwa ni Mhutu? Pole.
 
Hii husababisha demand kuwa kubwa zaidi ya supply na matokeo yake baadhi ya product hupanda bei au kuadimika!

Wewe umetumwa na CCM kupotosha umma.

Vipi bei ya sukari nayo??!, alipoingia madarakani 2015 bei ilikuwa shs 1800/= miezi michache tu ikapanda hadi sh 2500---- 3000/= bei hizi ni hadi leo hii 🤣,,, serikali imekuwa blind eyes and deaf ears on the matter and the thing is going to be the same in the case of Cement.

Sababu mapato ya kodi kwa serikali yamepungua kutokana na biashara za watu kufa hivyo njia rahisi ya kuongeza mapato ni kuwakamua wananchi katika bidhaa ili mapato kwa serikali yaongezeke pia kulipia gharama za uchaguzi, kumbuka kuwa gharama zote za ( uchaguzi--- wizi) ni gharama za ndani kwani serikali ilikataa kupokea ela za kuendesha uchaguzi kutoka UNDP ili "kuwazuia" wachunguzi makini wa kimataifa wasije kwenye ule uchaguzi--wizi.

Kilichotokea kwenye Sukari ndicho hicho leo kinachotokea kwenye cement, it is not a matter of Demand and Supply rather, it is a matter of Construction of SGR, purchasing of more planes etc, while the Govt is broke, to raise the money the Govt has to cramp people.

let's Wait and see the move to the end.🤣
 
Jana.spika amesema bunge sasa la CCM, wapinzani ni wachache sana. Saruji kupanda bei ni kwa sababu lissu amekimbilia ubalozi wa German kwa hifadhi,na lema kukimbilia kenya; kama ilivyo mafuriko ya jimbo la Kawe na bei ya sukari kuwa juu ni kwa kuwa halima alikuwa mbunge..!!
 
Ndugu mheshimiwa,

Kipindi Cha kampeni ulituahidi kuwa utapunguza Bei ya vifaa vya ujenzi ili hata Watanzania wenye kipato Cha chini tuweze kujenga. Tulishawishika na set zako na tukakuchagua kwa kura nyingi Sana kuliko kawaida.

Sasa Cha kushangaza, Ni juzi juzi tu umeapishwa, lakini Jana Vifaa vya ujenzi vimepanda Bei ghafla. Je hi nay Ni Sera yako mheshimiwa?
Simenti Sasa tunaazimika kununua Hadi kwa Bei ya tsh30000-35000
Mabati Hali kadhalika yamepnda Bei.
Mheshimiwa tafadhali ingilia Kati ili watu tusianze kujutia kura tulizokupatia huki tukiamini kuwa utakuwa msaada wa kutimiza ndoto zetu.
"Jenga kiwanda chqko halafu uuze simenti kwa bei unayotaka".
 
Ndugu mheshimiwa,

Kipindi Cha kampeni ulituahidi kuwa utapunguza Bei ya vifaa vya ujenzi ili hata Watanzania wenye kipato Cha chini tuweze kujenga. Tulishawishika na set zako na tukakuchagua kwa kura nyingi Sana kuliko kawaida.

Sasa Cha kushangaza, Ni juzi juzi tu umeapishwa, lakini Jana Vifaa vya ujenzi vimepanda Bei ghafla. Je hi nay Ni Sera yako mheshimiwa?
Simenti Sasa tunaazimika kununua Hadi kwa Bei ya tsh30000-35000
Mabati Hali kadhalika yamepnda Bei.
Mheshimiwa tafadhali ingilia Kati ili watu tusianze kujutia kura tulizokupatia huki tukiamini kuwa utakuwa msaada wa kutimiza ndoto zetu.
Kumbe ulimpa kura? Komaa na hizo bei. Usitulalamikie sisi hapa jf
 
Ndugu mheshimiwa,

Kipindi Cha kampeni ulituahidi kuwa utapunguza Bei ya vifaa vya ujenzi ili hata Watanzania wenye kipato Cha chini tuweze kujenga. Tulishawishika na set zako na tukakuchagua kwa kura nyingi Sana kuliko kawaida.

Sasa Cha kushangaza, Ni juzi juzi tu umeapishwa, lakini Jana Vifaa vya ujenzi vimepanda Bei ghafla. Je hi nay Ni Sera yako mheshimiwa?
Simenti Sasa tunaazimika kununua Hadi kwa Bei ya tsh30000-35000
Mabati Hali kadhalika yamepnda Bei.
Mheshimiwa tafadhali ingilia Kati ili watu tusianze kujutia kura tulizokupatia huki tukiamini kuwa utakuwa msaada wa kutimiza ndoto zetu.
 
Attachments

  • 20201028_125317.jpg
    20201028_125317.jpg
    214.9 KB · Views: 7
Baada ya chaguzi kuu ambazo zinafanyika kwa amani wakati ilitegemewa kutatokea machafuko mambo kama haya hutegemewa kutokea kwa sababu shughuli za kiuchumi huanza kufanyika kwa nguvu zaidi baada ya kulala wakati wa mchakato wa uchaguzi.

Hii husababisha demand kuwa kubwa zaidi ya supply na matokeo yake baadhi ya product hupanda bei au kuadimika!
Acha uongo, saruji imepanda Bei wakati wa kampeni ....
 
Saruji na mabati isijekuwa navyo vinatumika kama risasi za mabeberu. Serikali kuweni makini na macho Lissu alikuwa na msaada kutoka kwa maadui wa serikali wa ndani na nje ya Tanzania.
 
Acheni upuuzi,2015 baada ya uchaguzi mbona haikuwa hivi?
Unaokoteza okoteza tu sababu ilimradi utetee upande uliopo hata kama huna majibu sahihi!
Mkuu wa wilaya anasema ni kwasababu Kiwanda cha Dangote kilikuwa kwenye maintanance ya wiki 2,wewe unakuja na porojo zako hapa!
Shwain kabisa!
Hata huyo mkuu wa wilaya ni muongo tu, saruji imepanda Bei wakati kampeni zinaanza na ni zote sio dangote pekee, kwahiyo viwanda vyote vilikuwa matengenezo miezi mitatu?
 
Ndugu mheshimiwa,

Kipindi Cha kampeni ulituahidi kuwa utapunguza Bei ya vifaa vya ujenzi ili hata Watanzania wenye kipato Cha chini tuweze kujenga. Tulishawishika na set zako na tukakuchagua kwa kura nyingi Sana kuliko kawaida.

Sasa Cha kushangaza, Ni juzi juzi tu umeapishwa, lakini Jana Vifaa vya ujenzi vimepanda Bei ghafla. Je hi nay Ni Sera yako mheshimiwa?
Simenti Sasa tunaazimika kununua Hadi kwa Bei ya tsh30000-35000
Mabati Hali kadhalika yamepnda Bei.
Mheshimiwa tafadhali ingilia Kati ili watu tusianze kujutia kura tulizokupatia huki tukiamini kuwa utakuwa msaada wa kutimiza ndoto zetu.

Kwahiyo uliamini alichokisema?
 
Back
Top Bottom