Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Hata huyo mkuu wa wilaya ni muongo tu, saruji imepanda Bei wakati kampeni zinaanza na ni zote sio dangote pekee, kwahiyo viwanda vyote vilikuwa matengenezo miezi mitatu?
Matapeli hao, hivi wanadhani hatuoni kinachoendelea?