Mkuu tuko uchumi Wa kati unashindwaje kununua mfuko Wa cement kwa 35,000/= hata elfu hamsini tutanunua [emoji1787][emoji1787][emoji1787] .Ndugu mheshimiwa,
Kipindi Cha kampeni ulituahidi kuwa utapunguza Bei ya vifaa vya ujenzi ili hata Watanzania wenye kipato Cha chini tuweze kujenga. Tulishawishika na set zako na tukakuchagua kwa kura nyingi Sana kuliko kawaida.
Sasa Cha kushangaza, Ni juzi juzi tu umeapishwa, lakini Jana Vifaa vya ujenzi vimepanda Bei ghafla. Je hi nay Ni Sera yako mheshimiwa?
Simenti Sasa tunaazimika kununua Hadi kwa Bei ya tsh30000-35000
Mabati Hali kadhalika yamepnda Bei.
Mheshimiwa tafadhali ingilia Kati ili watu tusianze kujutia kura tulizokupatia huki tukiamini kuwa utakuwa msaada wa kutimiza ndoto zetu.
Wala 10000 sh kwa 1kg ya sukari haiko mbali. Hizi mbwembwe kuwa viwanda vilifunga kwa ajili ya matengenezo haina maana yoyote kwa kuwa miaka yote huwa wanafunga kwa matengenezo. Kwanini mwaka huu au kipindi hiki iwe hivyoWakati Mugabe akijivunia Singapore na China..mambo yalipoharibika mchina alichuna matokeo yake Mugabe akakimbilia South Africa kuborrow use of its Rand currency. Mchina hajawahi kuwa msaada hata kdg mambo yakiharbika..Mzungu kwa asilimia kubwa ni mtu aliejaa ustaarabu kuliko these Eastern world.
Angalia what's happening in Zambia today...Mchina anacollect internal revenue of the country kwa kukamata vianzo vya mapato ili kufidia msaada ama madeni aliyomsaidia. Dunia hii ukiwa unajua Tabia za watu wa Masharki ya mbali huwezi watumainia.
Twende hivi hivi Si Nature haijakubali kubadil!!siku tukianza kununua sukar kg 10000 ndy tutapata akili.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Tatizo liko wapi? mbona kama hawaoni?
Hata usipopiga kura automatically ni CCM tu. tulia tu hasira zitakuisha na utazoea tu... Hapa kazi tu... Mna muonea wivu Raisi.
Umefanya upumbavu na ujinga kumpa kura yako huyo unayelialia kwake.Ndugu mheshimiwa,
Kipindi Cha kampeni ulituahidi kuwa utapunguza Bei ya vifaa vya ujenzi ili hata Watanzania wenye kipato Cha chini tuweze kujenga. Tulishawishika na set zako na tukakuchagua kwa kura nyingi Sana kuliko kawaida.
Sasa Cha kushangaza, Ni juzi juzi tu umeapishwa, lakini Jana Vifaa vya ujenzi vimepanda Bei ghafla. Je hi nay Ni Sera yako mheshimiwa?
Simenti Sasa tunaazimika kununua Hadi kwa Bei ya tsh30000-35000
Mabati Hali kadhalika yamepnda Bei.
Mheshimiwa tafadhali ingilia Kati ili watu tusianze kujutia kura tulizokupatia huki tukiamini kuwa utakuwa msaada wa kutimiza ndoto zetu.
Na bado wenye nyumba nao hawajafanya yao, kwa madai eti sementi imepanda!! kazi kweli kweli kwa hii mitano tenaWewe kweli MJINGA SANA Unampa kura JIWE???????!!!!
UTAJUTA KWA UPUMBAVU WAKO.
Multplie effect ya kupanda kwa SARUJI NI.....
1 Ongezeko la vifaa vyote vya ujenzi kama.
....Matofali.
....Mabati.
.....Nondo.
.....vigae.
........Kokoto nk nk....
NA MTAJUTA SANA.
KWA MBEGU YA UHASAMA:Hiyo mbegu Ina uhusiano gani na Bei ya saruji?