Mtu ambaye hakuangalia wala kusikiliza akikusoma hapa anaweza kudhani uko sahihi. Watu wengine sijui uelewa wenu uko vipi ?Kweli Makonda bila clouds hakuna kitu.
Wale mliosema clouds wanatumika na madawa ya kulevya kua lile tukio lilikua staged mneona leo.
Kama lingekua tukio la uongo rais asingemuombea makonda msamaha kwa ruge.
Naona wameamua wakaimbe kabisa na kina msechuHuyo ndio Ngosha ze Dong.
Tena kubatiziwa TangaHiyo inaitwa KUBABATIZWA
Mkuu upo siriaz? huyo jamaa inasemekana wanampakua back sasa unapoomba uwe na hiyo nyota sijakuelewa
Tafuta mume mdogo wangu uolewe. Mimi mume wa mwenzio sio level yako kujafiliana na mimi. Tafta vibinti vyenzako mjadiliane.Mtu ambaye hakuangalia wala kusikiliza akikusoma hapa anaweza kudhani uko sahihi. Watu wengine sijui uelewa wenu uko vipi ?
Hivi anapotudanganya kuwa bomba hilo ndio refu duniani anakuwa anadhani anaongea na ccm wenzake tu wanaoitikia ndioo kila kitu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hili bomba la Hoima hadi Tanga basis siyo kwamba ndilo refu kuliko yote duniani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo bifu ndio huwa zinamalizwa hivyo? Basi kusingekuwaga na migogoro duniani.BASHTE na Ruge bifu kwishiney....
Naomba unielewesheKama hukumuelewa ni wewe... ufikiri kuna wengine kama wewe... pole zako.
Ruge ni genius .... I said it here..... I say again.Hakika Ruge kweli ni Businessman
Hivi inawezekana mkuu?Mkuu upo siriaz? huyo jamaa inasemekana wanampakua back sasa unapoomba uwe na hiyo nyota sijakuelewa