Chongoleani, Tanga: Rais Magufuli na Museveni waweka la jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima - Tanga

Chongoleani, Tanga: Rais Magufuli na Museveni waweka la jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima - Tanga

Kweli Makonda bila clouds hakuna kitu.

Wale mliosema clouds wanatumika na madawa ya kulevya kua lile tukio lilikua staged mneona leo.

Kama lingekua tukio la uongo rais asingemuombea makonda msamaha kwa ruge.
Mtu ambaye hakuangalia wala kusikiliza akikusoma hapa anaweza kudhani uko sahihi. Watu wengine sijui uelewa wenu uko vipi ?
 
ITV wamekwepesha camera zao Makonda na Ruge walipokutanishwa na Magu!!! Inabidi sasa Aombe msamaha rasmi.....ili media zote zisisusie clouds.....siasa mbaya sana ila Makonda amejifunza kitu!!!!
 
Mtu ambaye hakuangalia wala kusikiliza akikusoma hapa anaweza kudhani uko sahihi. Watu wengine sijui uelewa wenu uko vipi ?
Tafuta mume mdogo wangu uolewe. Mimi mume wa mwenzio sio level yako kujafiliana na mimi. Tafta vibinti vyenzako mjadiliane.
 
bba9d2f0044e9e84ea17008a9e0e0fa4.jpg


Hivi anapotudanganya kuwa bomba hilo ndio refu duniani anakuwa anadhani anaongea na ccm wenzake tu wanaoitikia ndioo kila kitu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hili bomba la Hoima hadi Tanga basis siyo kwamba ndilo refu kuliko yote duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wakuu,

Niko hapa nafuatilia pia, alichosema CEO wa TOTAL kuwa hili bomba ni world longest electrically heated oil pipeline, na sio bomba refu kuliko yote... key word hapo ni "electrically heated"
 
MTIFUANO wa ruge na makonda wahitimishwa rasmi,watakiwa mambo yawe watakiwa kuyamaliza. Jana kwenye tukio la kukabidhiwa vitanda hospitali ya Amana kulikuwa na kundi kubwa la waandishi wa habari na waliliripoti kikamilifu tukio hilo la mkuu wa mkoa wa dar.Hao jamaa waliweka azimio la kususia kuandika matukio ya makonda.Sasa msuso huo umeisha na mambo yanaendelea vizuri kama kawaida. RUGE na MAKONDA hakuna 'bifu'
 
nilikuw namskiliza kupitia radio. amesema kuwa anamshukuru rais wa Uganda kufanya kazi na Tz. kwanza ni kama amelipa fadhira kwa tanzania kwani "hao wengine hawajui hata zile bunduki 14 alizitoa wapi Mseven" piah akasema nchi yetu ina ulinzi mzuri kabisa na hababaishwi na mtu yeyote kwaiyo ye anasonga mbele. akaendelea kwa kusema kuna habari kuwa watu walivumisha eti rais wa Uganda hata kuja, na hao watu ni wale ambao hawakupenda huu mradi uje kwetu tz. kwa upande wangu nime ng'amua kuwa ni dongo kwa hawajamaa jirani zetu wanaopenda jisifia wana uchumi mkubwa na wana dominate east africa economy, AU?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom