MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Mtu ambaye hakuangalia wala kusikiliza akikusoma hapa anaweza kudhani uko sahihi. Watu wengine sijui uelewa wenu uko vipi ?Kweli Makonda bila clouds hakuna kitu.
Wale mliosema clouds wanatumika na madawa ya kulevya kua lile tukio lilikua staged mneona leo.
Kama lingekua tukio la uongo rais asingemuombea makonda msamaha kwa ruge.