Chongoleani, Tanga: Rais Magufuli na Museveni waweka la jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima - Tanga

Kwanza usipende kutusemea wengine ambao haujui kama tunaunga mkono au la..

Jaribu kuisemea nafsi yako haliwezi kuharibika jambo
 
KWA HIVYO VIJIJI NAONA WATOTO WENGI AMBAO HAWANA BABA WATAKAOZALIWA, SHULE WATASOMA ILA MALAZI NI KILIO
 
Tunashangilia bomba la mafuta kuliko waganda wenyewe. Tuone aibu!!!
Aibu, waganda hawana furaha ya hivyo! Nina ndugu zangu wengu UG, hawana furaha kama ya kwetu! Tumelaaniwa.
 
Tazama siyo crude oil nadhani.
 
Tanga mji umepooza..utafikiri kuna vita..maduka mengi yamefungwa watu wameelekea chongoleani..kuna utaratibu wa soko kila jumamosi pale Tangamano lakini wameambiwa leo wasifungue..yaani inashangaza kweli..
 
 

Povu linakutoka umesahau uchaguzi uliopita Magufuri alivyoenda kwenye kampeni za Raila Odinga? Hivi kwanini ccm kitu mkifanya nyinyi ni sawa ila wakifanya wapinzani kama hicho mnaona sio sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…