Chongoleani, Tanga: Rais Magufuli na Museveni waweka la jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima - Tanga

Chongoleani, Tanga: Rais Magufuli na Museveni waweka la jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima - Tanga

Kwanza usipende kutusemea wengine ambao haujui kama tunaunga mkono au la..

Jaribu kuisemea nafsi yako haliwezi kuharibika jambo
 
".................Ni heshima Kubwa nchi yetu ya Tanzania kupata fursa hii ya bomba la mafuta kupita nchini Tanzania ambao utapita mikoa 8, Wilaya 24 na vijiji 184......................"
Nielimishe likipita katika mikoa hiyo neema inakujaje. ..please sina nia ya kupinga , naomba fursa zinazoweza kujitokeza katika vijiji hivyo tujiandae. najua kuna kuuza mama ntilie and the like, but these are petty issues tome.
KWA HIVYO VIJIJI NAONA WATOTO WENGI AMBAO HAWANA BABA WATAKAOZALIWA, SHULE WATASOMA ILA MALAZI NI KILIO
 
Tunashangilia bomba la mafuta kuliko waganda wenyewe. Tuone aibu!!!
Aibu, waganda hawana furaha ya hivyo! Nina ndugu zangu wengu UG, hawana furaha kama ya kwetu! Tumelaaniwa.
 
Leo tumesika kuwa bomba linalojengwa ambalo ufunguzi wake ni leo lina urefu wa takriban Km 1400 na kwamba ndilo litakuwa bomba refu kuliko yote Africa.Wakati huohuo tuliashaelezwa kuwa bomba la mafuta la TAZAMA kutoka Dar es salaam mpaka Ndola ,Zambia lina takriban urefu wa Km 1700 ambalo vilevile lipo ndani ya Africa.Wadau mahesabu haya yamekaaje ?
Tazama siyo crude oil nadhani.
 
Tanga mji umepooza..utafikiri kuna vita..maduka mengi yamefungwa watu wameelekea chongoleani..kuna utaratibu wa soko kila jumamosi pale Tangamano lakini wameambiwa leo wasifungue..yaani inashangaza kweli..
 
Television kongwe na kubwa kuliko zote nchini ITV imetia aibu leo katika kurusha matangazo yake mubashara kutoka Tanga ukilinganisha na television zingine katika upande wa ubora wa picha.. Picha zirushwazo na ITV ni chafu na zimefifia mno zinatia aibu.. Hongera sana kwa Clouds Tv kwa kurusha picha zenye ubora wa HD na zenye mng'ao na wa hali ya juu.. Yaani hadi TBC imeizidi ITV kwa ubora wa picha za mubashara kwa leo aisee aibu sana ITv.

Sent from iphone 7 plus
 
upinzani wapo kenya waningilia siasa za ndani ya nchi nyingine wazi wazi bila hata lepe la aibu....its total violation of international norms and standards..

Wamerekani wanalia na warusi kuingilia uchaguzi chadema wanaungana na akina ruto mchana kweupee...

Sent using Jamii Forums mobile app

Povu linakutoka umesahau uchaguzi uliopita Magufuri alivyoenda kwenye kampeni za Raila Odinga? Hivi kwanini ccm kitu mkifanya nyinyi ni sawa ila wakifanya wapinzani kama hicho mnaona sio sawa?
 
Back
Top Bottom