Chongoleani, Tanga: Rais Magufuli na Museveni waweka la jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima - Tanga

JPM: 'Akirudia tena kupitisha bunduki za magendo tena Horohoro namtumbua,hiyo ilikuwa ni historia siyo sasa'
 
Likifanyika jambo A wanasema walitaka B, Likifanyika B wanasema wanataka A. Likifanyika A na B watasema hayakuwa na umuhimu huku wakiporomosha mitusi mizito. Lakini kama wao wakifanya kidude kiduchu KELELE KIBAO KAMA TEAM KIBA !
Ukishajua mtu yuko hivyo unamuignore..!

La muhimu ni kuwa positive.

Wewe fanya kile unachoamini ni sahihi..achana na walimwengu...

Ila pia wana haki ya kukosoa! Ni mtazamo
 
Nimemsikia Mhe Rais wetu kuwa Tanzania tutakuwa tunanunua crude oil kutoka Uganda. Je bado tuna functional refinery ya kuprocess crude oil ili kupats petrol, diesel etc??Mimi ninavyofahamu refinery yetu ya TIPPER ilishakufa zamani. Naomba kujuzwa hiyo crude oil tutanunua halafu tuifanyie nini?? Kuuliza si ujinga!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hili bomba unahisi linagusa maisha yako kitaaaluma, kibiashara au kuna namna linahusiana na shunghuli zako za kila siku;

Huu ni muda wa kuangalia Fursa sasa;

Jiwekee mazingira ya kufaidika nalo..!

Kazi kwenu
 
Je Tanzania ina mpango wa kujenga refinary ? Rais amesrma tunaweza kununua crude oil ya Uganda.
 



CCM oyee kwenye ziara ya Rais wa jamuhuri ya muungano.
Ukweli ni kwamba utawala huu umejaa makosa mengi sana. Hivi waliohudhuria pale ni ccm tu au wananchi wa itikadi mbalimbali?
 
mpaka mradi ukamilike hiyo kitu itakua tayari...
 
Hujakosea, ila shavu limekongorokaa, sijui laana za kina manji zinaanza kujibu. si kwa mkongoroko huu
Manji anatafunwa na laana ya dhulma na wizi wake, hata kama asingekamatwa enzi hizi za Magu angekamatwa tu huko mbele ya safari. Maisha ya janja janja hayana mwisho mwema. Ila asiwaze sana maana pesa zake za dhulma katunza USWISI.
 
"The world's longest crude oil pipeline is the Interprovincial Pipe Line Inc. installation, which spans the North American continent from Edmonton, Alberta, Canada through Chicago to Montreal: a distance of 3787.2km 2353 miles. How long is this Hoima to Chongoleani oil pipeline??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
880miles, aproxximated to 1400 km
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…