Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishajua mtu yuko hivyo unamuignore..!Likifanyika jambo A wanasema walitaka B, Likifanyika B wanasema wanataka A. Likifanyika A na B watasema hayakuwa na umuhimu huku wakiporomosha mitusi mizito. Lakini kama wao wakifanya kidude kiduchu KELELE KIBAO KAMA TEAM KIBA !
upinzani wako kenya kutafuta sympathizers
Hotuba ya Rais Magufuli
Hotuba ya Rais Museveni
Utambulisho
Tayari rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amefika eneo la tukio.
=>Yupo pia makamu wa rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan. Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Kasim Majaliwa
=>Wapo pia viongozi waandamizi wa serikali akiwemo naibu spika wa bunge Dr Tulia Ackson, naibu waziri wa Nishati na madini Dr Medard Kalamani.
=>Sasa Rais Magufuli anampokea rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni na tayari wote wawili wanaingia ukumbini
=>Baada ya naibu waziri wa nishati na madini wa Tanzania, waziri wa nishati na madini wa Uganda na rais wa kampuni ya total Afrika.
=>Sasa naibu waziri wa nishati wa madini Dr Medard Kalemani anamkaribisha rais wa Tazania Dr. John Pombe Magufuli
=>Makamu wa rais mama Samia: Mradi huu utasaidia maendeleo ya pamoja ya Afrika ya mashariki.
=>Kinana: Tanzania si nchi marafiki bali ni ndugu. Siasa ni uchumi na uchumi ni siasa.
Makamu wa rais anamkaribisha rais wa Uganda Yoweri Museveni.
Rais Museveni: Kwa niaba ya waganda, nawasalimia ninyi wote watu wa Uganda na watu wa Tanzania.
Nilikulia pale manzese lakini Kiswahili cha kufafanua mambo ya kiuchumi kinanishinda.
Greetings from fraternal people of Uganda
Huku nyuma, Mwl Nyerere aliteua waziri Kambona na alikataa kumwita waziri
We are here today to lay the foundation stone of Hoima-Tanga crude oil pipeline. This is the great event for two countries in East Africa.There have found also found hydrocabon in Turkana area in Kenya.
=>Tutapata petrol, diesel, mafuta ya taa, mafuta ya ndege. Zile ndege za waarabu zinapata mafuta kwa bei ya chini.
Nimepata taarifa mmefufua kampuni yenu ya ndege naamini mtapata mafuta ya kutosha. Na sisi Uganda tutafufua kampuni yetu ya ndege hivi karibuni.
=>Uganda need good coal or natural gas in order to produce steel from iron ore.
=>Tukileta haya mafuta, tutaka na bomba lingine lipande kule kuchukua gasi.
=>Tanzania governement no transit fees, no VAT, no corporate tax
=>Ingawa bei ya mafuta duniani imeshuka kutoka $120 kwa barrow mpaka $50 kwa barrow. Kama serikali ya Tanzania wangetupa kodi zote tusingepata faida.
=>Sementi ya kujenga itatoka hapa, watoto wetu watafanya biashara.
=>East Africa is importing goods worth $33 billion per year
=>For the side of export east Africa is eporting goods and service worth $13.8billion.
=>Apart from supporting good and services produced outside they don't have enough power.
=>This natural resources will enhance building our infrastructure easly.
=>In my opinion East Africa especilly Uganda is unstoppable now. There is nothing to stop us from growth and transformation.
=>Hatutaki peasant kuzaa peasant mwingine.
=>Political intergration was not enough, political federation was more important.
=>Mara nyingi tukinunua gari tunadaiwa insurance.
=>East Africa ni kama zile nyumba zetu za kienyeji. Vitu vingi havipo katika mpangilio.
=>Namshukuru rais Magufuli tulipokutana Kagera tulikubaliana kujenga power station at Fulgent and Mulongo.
=>Safari moja nilikuwa nakuja na waziri nikaona kibao kimeandikwa Horohoro. Nikakumbuka nilipita hapa na bunduki 14. Kwa hiyo nakumbuka Tanga kwa namna hiyo, najua nyie mnaikumbuka kwa mambo ya raharaha.
=>As Kinana remind me, we needed a railway line from Tanga to Kigoma. Ile railway hatukuweza kuikamlisha lakini bomba tumeliweza.
=>Tukifanya mikataba yenye haki, tutafaidika sote.
Kwa hayo machache, nawashukuru kwa ukaribisho huu.
Mungu ibariki Tanzani, Mungu ibariki Uganda.
==================
Sasa ni zamu ya Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli
=>Rais Magufuli: Mh Yoweri kaguta museveni, makamu wa rais, waziri mkuu, naibu spika, maspika wastaafu, kaimu jaji mkuu, mawaziri wa Tanzania na uganda, mkuu wa mkoa wa Tanga, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama.
=>Awali ya yote napenda kumshukuru mwenyezi Mungu, aliyetuwezesha tuwe hapa katika siku ya leo. Siku ambayo inatangaza maendeleo ya Tanzania.
=>Napenda nimshukuru mzee wetu Yoweri kaguta museveni, yeye mwenyeewe ameeleza aliwahi kupitisha bunduki 14 kwa magendo na akirudia tena nitakutumbua.
=>Historia ya tanga inajulikana enzi za baba wa taifa mwaka 1954, wakati anadia uhuru alikuja Tanga wakamuombea. Wakafunga siku tatu na viongozi wa hapa.
Kwa hiyo alipata baraka kutoka hapa.
Neno Tanga huenda ndilo lililozaa neno Tanganyika yaani nchi yenye nyika.
=>Kuweka mradi wa bomba la mafuta lenye urefu wa kilometa 1445 ambalo litagharimu dola bilioni 3.5 sawa na triloni 8.
=>Ndugu zangu lazima niwaambie ukweli, najua wengi walikuwa wanataka mradi huu
Mtakufa kwa pressure dadekCCM oyee kwenye ziara ya Rais wa jamuhuri ya muungano.
Ukweli ni kwamba utawala huu umejaa makosa mengi sana. Hivi waliohudhuria pale ni ccm tu au wananchi wa itikadi mbalimbali?
Utakuwa unatumia TV ya chogo na king'amuzi cha TING wewe
mpaka mradi ukamilike hiyo kitu itakua tayari...Nimemsikia Mhe Rais wetu kuwa Tanzania tutakuwa tunanunua crude oil kutoka Uganda. Je bado tuna functional refinery ya kuprocess crude oil ili kupats petrol, diesel etc??Mimi ninavyofahamu refinery yetu ya TIPPER ilishakufa zamani. Naomba kujuzwa hiyo crude oil tutanunua halafu tuifanyie nini?? Kuuliza si ujinga!!
Sent using Jamii Forums mobile app
mpaka mradi ukamilike hilo jambo litakua tayariJe Tanzania ina mpango wa kujenga refinary ? Rais amesrma tunaweza kununua crude oil ya Uganda.
Manji anatafunwa na laana ya dhulma na wizi wake, hata kama asingekamatwa enzi hizi za Magu angekamatwa tu huko mbele ya safari. Maisha ya janja janja hayana mwisho mwema. Ila asiwaze sana maana pesa zake za dhulma katunza USWISI.Hujakosea, ila shavu limekongorokaa, sijui laana za kina manji zinaanza kujibu. si kwa mkongoroko huu
Uganda wana hasara aisee. huyu simuelewi anachozungumza
880miles, aproxximated to 1400 kmworld?
"The world's longest crude oil pipeline is the Interprovincial Pipe Line Inc. installation, which spans the North American continent from Edmonton, Alberta, Canada through Chicago to Montreal: a distance of 3787.2km 2353 miles. How long is this Hoima to Chongoleani oil pipeline??
Sent using Jamii Forums mobile app