Chongoleani, Tanga: Rais Magufuli na Museveni waweka la jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima - Tanga

Actually..! Magufuli is sometimes missing his point..!

I don't see if there was neccessity of having all goverment officials for just one event..

Vyombo vya usalama vyotee vya nini sasa kwa mfano..?
Chadema mna nini
 
Huo mradi atakayefaidi ni sizonje tu wengine mnajipa matumini hewa
 
Huu mradi ni USD 3 Billion. Ambazo ni zaidi ya Trillion 6.6 za fedha za Tz..

Sehemu kubwa ya project ni Ujenzi mkuu.

Almost 90% itaishia kwenye ujenzi..

Tayari michoro ya huo ujenzi itakamilika mwezi huu mwishoni as plans..

Sasa wakati wa ujenzi:

1. Tz tutaprovide Labour..

Hapa ni skilled na unskilled.

2. Lazima tutapata Constructions experts watakaoajiriwa wakati wa ujenzi..

1. Engineers
2.Quantity surveyors
3. Technicians
4.HR's
5. And all sort of related fields.

3. Kula bomba litakapopita lazima kuwepo na urbanization, hapa biashara lazima zifunguke mkuu.

4. Lazima mkandarasi atataka material ya ujenzi, cement, mchanga,

Mfano; kwenye hii project kuna ujenzi wa Tanks 5 na zaidi.

Mkuu kama pado hujaelewa rudi shule.
 
Naungana na mamilioni ya Watanzania kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Magufuli na Serikali yake pamoja na Rais Mseveni wa Uganda kwa kuandika historia mpya ya ushirikiano wenye tija.

Historia inaandikwa kwa nchi mbili za Tanzania na Uganda ambapo jiwe la msingi linawekwa ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani bandari ya Tanga nchini Tanzania ambapo jiwe la msingi la kuanza ujenzi huo litawekwa.

Ni heshima Kubwa nchi yetu ya Tanzania kupata fursa hii ya bomba la mafuta kupita nchini Tanzania ambao utapita mikoa 8, Wilaya 24 na vijiji 184.

Kuna faida nyingi sana kama Taifa tutapata kutokana na uwepo wa mradi huu wa bomba la mafuta.

Wakati wa ujenzi Watanzania wengi watapata fursa ya ajira ambapo jumla ya ajira 40,000 zitapatika. Ajira za ufundi, ulinzi, upishi, usafiri, fursa za malazi, na huduma za kifedha.

Ukiachilia mbali fursa hiyo mradi huu utapelekea kufunguka kwa Ukanda wa Biashara kwa nchi nyingine za Afrika Mashariki kama vile Rwanda, Burundi, Kongo, Sudan ambapo wanaweza kuunganishwa na miundombinu hiyo na kusafirisha mafuta kwa urahisi.

Kukamilika kwa mradi huo nchi za Tanzania na Uganda zitapata mapato na kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi wake.

Faida nyingine ya bomba la mafuta kuwa ni pamoja na gharama za mafuta kupungua kutokana na nchi za Afrika Mashariki kutumia mafuta yake yenyewe kwenye magari pamoja na ndege hivyo kuchochea kasi ya utalii katika nchi husika pamoja na ajira.

Gharama ya mafuta itakapo pungua ni dhahiri gharama za usafiri, usafirishaji na bidhaa nazo pia zitapungua. Maisha kuwa rahisi.

Naipongeza Serikali ya Dk. Magufuli kwa kufanikisha upatikanaji wa ujenzi huu wa bomba la mafuta kutoka Uganda. Haikuwa kazi rahisi Tanzania kupata fursa hii ya bomba la mafuta kutoka nchini Uganda kutokana na ushindani mkubwa uliokuwepo.

Narudia tena kumpongeza Dk. Magufuli kwa kutuletea mradi huu wa bomba la mafuta utakaokuwa na tija kwa Taifa vizazi na vizazi. Ni jukumu letu Watanzania kuulinda mradi huu wa bomba la mafuta.

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Mbariki Dk. Magufuli

Na Emmanuel J. Shilatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mlishindwa kunufaika na maliasili zenu za akina dangote,,accasia.na bomba la gesi kutoka mtwara ndio mtegemee kunufaika na mali za nchi nyingine..
 
Tayari rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amefika eneo la tukio.

=>Yupo pia makamu wa rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan. Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Kasim Majaliwa

=>Wapo pia viongozi waandamizi wa serikali akiwemo naibu spika wa bunge Dr Tulia Ackson, naibu waziri wa Nishati na madini Dr Medard Kalamani.

=>Sasa Rais Magufuli anampokea rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni na tayari wote wawili wanaingia ukumbini

Mkuu wa Mkoa wa Tanga amepwaya sana, Siku hizi Chuo cha Diplomasia kinapokea watoto wanao soma certificate,hawa wakuu wa mikoa ndo wangeenda pale
 
Huu mradi ni USD 3 Billion. Ambazo ni zaidi ya Trillion 6.6 za fedha za Tz..

Sehemu kubwa ya project ni Ujenzi mkuu.

Almost 90% itaishia kwenye ujenzi..

Tayari michoro ya huo ujenzi itakamilika mwezi huu mwishoni as plans..

Sasa wakati wa ujenzi:

1. Tz tutaprovide Labour..

Hapa ni skilled na unskilled.

2. Lazima tutapata Constructions experts watakaoajiriwa wakati wa ujenzi..

1. Engineers
2.Quantity surveyors
3. Technicians
4.HR's
5. And all sort of related fields.

3. Kula bomba litakapopita lazima kuwepo na urbanization, hapa biashara lazima zifunguke mkuu.

4. Lazima mkandarasi atataka material ya ujenzi, cement, mchanga,

Mfano; kwenye hii project kuna ujenzi wa Tanks 5 na zaidi.

Mkuu kama pado hujaelewa rudi shule.
Faida ya muda mfupi mkuu.

Mradi ukikamilika wote waliopata kibarua wanabwagwa chini
 
Naungana na mamilioni ya Watanzania kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Magufuli na Serikali yake pamoja na Rais Mseveni wa Uganda kwa kuandika historia mpya ya ushirikiano wenye tija.

Historia inaandikwa kwa nchi mbili za Tanzania na Uganda ambapo jiwe la msingi linawekwa ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani bandari ya Tanga nchini Tanzania ambapo jiwe la msingi la kuanza ujenzi huo litawekwa.

Ni heshima Kubwa nchi yetu ya Tanzania kupata fursa hii ya bomba la mafuta kupita nchini Tanzania ambao utapita mikoa 8, Wilaya 24 na vijiji 184.

Kuna faida nyingi sana kama Taifa tutapata kutokana na uwepo wa mradi huu wa bomba la mafuta.

Wakati wa ujenzi Watanzania wengi watapata fursa ya ajira ambapo jumla ya ajira 40,000 zitapatika. Ajira za ufundi, ulinzi, upishi, usafiri, fursa za malazi, na huduma za kifedha.

Ukiachilia mbali fursa hiyo mradi huu utapelekea kufunguka kwa Ukanda wa Biashara kwa nchi nyingine za Afrika Mashariki kama vile Rwanda, Burundi, Kongo, Sudan ambapo wanaweza kuunganishwa na miundombinu hiyo na kusafirisha mafuta kwa urahisi.

Kukamilika kwa mradi huo nchi za Tanzania na Uganda zitapata mapato na kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi wake.

Faida nyingine ya bomba la mafuta kuwa ni pamoja na gharama za mafuta kupungua kutokana na nchi za Afrika Mashariki kutumia mafuta yake yenyewe kwenye magari pamoja na ndege hivyo kuchochea kasi ya utalii katika nchi husika pamoja na ajira.

Gharama ya mafuta itakapo pungua ni dhahiri gharama za usafiri, usafirishaji na bidhaa nazo pia zitapungua. Maisha kuwa rahisi.

Naipongeza Serikali ya Dk. Magufuli kwa kufanikisha upatikanaji wa ujenzi huu wa bomba la mafuta kutoka Uganda. Haikuwa kazi rahisi Tanzania kupata fursa hii ya bomba la mafuta kutoka nchini Uganda kutokana na ushindani mkubwa uliokuwepo.

Narudia tena kumpongeza Dk. Magufuli kwa kutuletea mradi huu wa bomba la mafuta utakaokuwa na tija kwa Taifa vizazi na vizazi. Ni jukumu letu Watanzania kuulinda mradi huu wa bomba la mafuta.

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Mbariki Dk. Magufuli

Na Emmanuel J. Shilatu

Sent using Jamii Forums mobile app
".................Ni heshima Kubwa nchi yetu ya Tanzania kupata fursa hii ya bomba la mafuta kupita nchini Tanzania ambao utapita mikoa 8, Wilaya 24 na vijiji 184......................"
Nielimishe likipita katika mikoa hiyo neema inakujaje. ..please sina nia ya kupinga , naomba fursa zinazoweza kujitokeza katika vijiji hivyo tujiandae. najua kuna kuuza mama ntilie and the like, but these are petty issues tome.
 
Leo tumesika kuwa bomba linalojengwa ambalo ufunguzi wake ni leo lina urefu wa takriban Km 1400 na kwamba ndilo litakuwa bomba refu kuliko yote Africa.Wakati huohuo tuliashaelezwa kuwa bomba la mafuta la TAZAMA kutoka Dar es salaam mpaka Ndola ,Zambia lina takriban urefu wa Km 1700 ambalo vilevile lipo ndani ya Africa.Wadau mahesabu haya yamekaaje ?
 
Back
Top Bottom