Msimlishe maneno kasema kauli kinzani hajasema chanjo...wachonganyishi hamjambo....CCM ni taasisi inajua kujiendesha vizuri.
Kwani na yeye ni mdau au anasingiziwa?
..mbafu ...TzKwa hiyo chanjo ni maamuzi ya chama sio taifa?
This is funny AF 🤣
Mzee Mdee wa kijaniNani na anasingiziwaje?
Mzee Mdee wa kijani
Tusubiri atakavyoshughulikiwa!
Kumbe ni mzanzibar!!!! Duh hawa jamaa wamepeta sana awamu hii!Sawa Chongolo, wafukuzeni tu. Lkn kumbuka huyo mzanzibari soon atarudi kwao. Hapo ndipo utakapojua kwanini huku bara kunaitwa TANGA- na- NYIKA.
Washughulikie hao ni WASALITI NDANI YA CHAMAKatibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo amesema mchakato wa kuwashughulikia kinidhamu viongozi wa CCM wanaopinga chanjo kinyume na maelekezo ya chama umeshaanza na karibu utakamilika.
Mtasikia hivi karibuni hatua tulizowachukulia amesema Chongolo.
Chanzo: Channel ten
Tena ANACHEKA hii ni DHARAU KUBWA
Huyu gaidi Nina ushaidi, nchi imejaa magaidi,Kuna magaidi wenzake wa gazeti la Uhuru tunayashikilia yalikuwa yanajiandaa kurushia kiongozi BP kwa kutumia kalamu
Basically haya ni mawazo yenye asili ya ujinga.Magufuli mbona aliweza na alipata support ya majority ya watanzania kujifukiza
Huyu mama Mulamula from day one alipichaguliwa alionyesha wazi yeye Ni Waziri wa Corona
Tafuta Clip siku anaingia bungeni kuapa Wabunge wore bunge Zima hakuna aliyekuwa na barakoa isipokuwa yeye tu
Huyo mama ni shetani la Corona
Ndiye kamyumbisha mama Samia
Ila 2025 wote wanaondoka Samia na huyo Mulamula wake
Huyo Mulamula ndio injiniia wa ujinga wote wa chanjo .
Nani kamtuma apite huko?!"watanzania naomba mniombee napitia katika kipindi kigumu" By Cyprian Musiba
Aache upumbavu na ulimbukeni. Chanjo mwenyewe rais kasema ni hiari. Kama kuna kiongozi kasema hataki kuchanjwa na hahimizi mtu asichanjwe chongolo aache fitna. Kila siku huyu au yule watashughulikiwa hadi lini. Tunataka kuona utekelezaji kimapinduzi wa ahadi na programme ya serikali ya ccm. Hatutaki fitna. Tunataka uadilifu na uzalendo. Hatutaki ulafi na ubinafsi. Tunataka umagufuli.Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo amesema mchakato wa kuwashughulikia kinidhamu viongozi wa CCM wanaopinga chanjo kinyume na maelekezo ya chama umeshaanza na karibu utakamilika.
Mtasikia hivi karibuni hatua tulizowachukulia amesema Chongolo.
Chanzo: Channel ten
Mungu anatenda kwa wakati,wanakijani wanaanza kuvuna matunda ya uchafuzi, kuwakumbusha tu, sii zaidi ya miaka miwili imepita, walipofanya uhalifu wao wakijua wamejificha, kisayansi, kulingana na maneno yao. Waendelee kufarakana hata wapotee wote na kusambaratika kabisa.Si muda mrefu Gwajima ataingia mbele ya Pilato!
Wale wa kumpiga mawe na kutaka asulubiwe tsyari wamesha jipanga.
Kusulubiwa kwa Gwajima ni kwa ujinga wake mwenyewe katika mamambo ya kisiasa.
Na sasa hivi ameshaambiwa na Katibu Mkuu Chongolo kuwa hakuna mtu mbabe mbele ya chama, kwa kupingana hadharani na Mwenyekiti wake Mama Samia.
Maana halisi ya tamko hilo ni Gwajima KUVULIWA UANACHAMA.
Full stop.
Gwajima omba poo!
Usiwe nunda.
Duuh eti TANGA na NYIKASawa Chongolo, wafukuzeni tu. Lkn kumbuka huyo mzanzibari soon atarudi kwao. Hapo ndipo utakapojua kwanini huku bara kunaitwa TANGA- na- NYIKA.
Ikiwa ni lazima kuna shida gani?Ukada au uanachama wa chama chochote haujawahi kuwa muhimu kuliko afya ya mhusika.
Na hapa ndo tutawaona wanafiki wasioyaishi maneno ya vinywa vyao.
Na kwa msimamo huu wenye akili tumeanza kuelewa kwamba kumbe chanjo si hiari bali ni lazima.