#COVID19 Chongolo: Viongozi wa CCM wanaopinga Chanjo mchakato wa kuwashughulikia umeanza, hakuna aliye mkubwa kuliko chama

#COVID19 Chongolo: Viongozi wa CCM wanaopinga Chanjo mchakato wa kuwashughulikia umeanza, hakuna aliye mkubwa kuliko chama

Sawa Chongolo, wafukuzeni tu. Lkn kumbuka huyo mzanzibari soon atarudi kwao. Hapo ndipo utakapojua kwanini huku bara kunaitwa TANGA- na- NYIKA.
Kumbe ni mzanzibar!!!! Duh hawa jamaa wamepeta sana awamu hii!
 
Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo amesema mchakato wa kuwashughulikia kinidhamu viongozi wa CCM wanaopinga chanjo kinyume na maelekezo ya chama umeshaanza na karibu utakamilika.

Mtasikia hivi karibuni hatua tulizowachukulia amesema Chongolo.

Chanzo: Channel ten
Washughulikie hao ni WASALITI NDANI YA CHAMA
 
Si muda mrefu Gwajima ataingia mbele ya Pilato!

Wale wa kumpiga mawe na kutaka asulubiwe tsyari wamesha jipanga.

Kusulubiwa kwa Gwajima ni kwa ujinga wake mwenyewe katika mamambo ya kisiasa.

Na sasa hivi ameshaambiwa na Katibu Mkuu Chongolo kuwa hakuna mtu mbabe mbele ya chama, kwa kupingana hadharani na Mwenyekiti wake Mama Samia.

Maana halisi ya tamko hilo ni Gwajima KUVULIWA UANACHAMA.
Full stop.

Gwajima omba poo!
Usiwe nunda.
 
Hawezi kufanywa chochote maana hajavunja sheria na pia kumbuka alitoa maoni yake na bado chanjo ni hiali.Ingawa Mimi simkubali kwa usanii na uzushi wake .
 
Magufuli mbona aliweza na alipata support ya majority ya watanzania kujifukiza

Huyu mama Mulamula from day one alipichaguliwa alionyesha wazi yeye Ni Waziri wa Corona

Tafuta Clip siku anaingia bungeni kuapa Wabunge wore bunge Zima hakuna aliyekuwa na barakoa isipokuwa yeye tu

Huyo mama ni shetani la Corona

Ndiye kamyumbisha mama Samia

Ila 2025 wote wanaondoka Samia na huyo Mulamula wake

Huyo Mulamula ndio injiniia wa ujinga wote wa chanjo .
Basically haya ni mawazo yenye asili ya ujinga.
Hakuna misingi ya sayansi hapa, watu bado mna superstitious minds za mwendazake.
 
Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongolo amesema mchakato wa kuwashughulikia kinidhamu viongozi wa CCM wanaopinga chanjo kinyume na maelekezo ya chama umeshaanza na karibu utakamilika.

Mtasikia hivi karibuni hatua tulizowachukulia amesema Chongolo.

Chanzo: Channel ten
Aache upumbavu na ulimbukeni. Chanjo mwenyewe rais kasema ni hiari. Kama kuna kiongozi kasema hataki kuchanjwa na hahimizi mtu asichanjwe chongolo aache fitna. Kila siku huyu au yule watashughulikiwa hadi lini. Tunataka kuona utekelezaji kimapinduzi wa ahadi na programme ya serikali ya ccm. Hatutaki fitna. Tunataka uadilifu na uzalendo. Hatutaki ulafi na ubinafsi. Tunataka umagufuli.
 
Si muda mrefu Gwajima ataingia mbele ya Pilato!

Wale wa kumpiga mawe na kutaka asulubiwe tsyari wamesha jipanga.

Kusulubiwa kwa Gwajima ni kwa ujinga wake mwenyewe katika mamambo ya kisiasa.

Na sasa hivi ameshaambiwa na Katibu Mkuu Chongolo kuwa hakuna mtu mbabe mbele ya chama, kwa kupingana hadharani na Mwenyekiti wake Mama Samia.

Maana halisi ya tamko hilo ni Gwajima KUVULIWA UANACHAMA.
Full stop.

Gwajima omba poo!
Usiwe nunda.
Mungu anatenda kwa wakati,wanakijani wanaanza kuvuna matunda ya uchafuzi, kuwakumbusha tu, sii zaidi ya miaka miwili imepita, walipofanya uhalifu wao wakijua wamejificha, kisayansi, kulingana na maneno yao. Waendelee kufarakana hata wapotee wote na kusambaratika kabisa.
 
Sawa Chongolo, wafukuzeni tu. Lkn kumbuka huyo mzanzibari soon atarudi kwao. Hapo ndipo utakapojua kwanini huku bara kunaitwa TANGA- na- NYIKA.
Duuh eti TANGA na NYIKA
 
Ukada au uanachama wa chama chochote haujawahi kuwa muhimu kuliko afya ya mhusika.

Na hapa ndo tutawaona wanafiki wasioyaishi maneno ya vinywa vyao.

Na kwa msimamo huu wenye akili tumeanza kuelewa kwamba kumbe chanjo si hiari bali ni lazima.
Ikiwa ni lazima kuna shida gani?
Nenda kachanje usijekufa kwa uzembe ukasingizia siku zilifika.
Au hujasikia kuwa ukiugua huu ugonjwa hata mshipa unalegea!
Wahi usichelewe mzigo mwingine unakuja.
 
Back
Top Bottom