Makahaba wanaojiuza madhabahuni hao hamna cha huduma ya uimbaji wala nini wanajiuza madhabahuni haoUtafiti unaonesha Waimbaji wa kike mara nyingi ndoa zao either zina viraka au zimevunjika kabisa
1) Beatrice muhone
2)Rose Muhando
3)Bahati Bukuku
4)Martha Mwaipaja na sasa
5)Angel Bernad
6) Christina Shusho
Hii sio Coincidence kuna shida mahali.
Kaingizwa freemason huyo na akina Diamond kawa initiated kwenye u free Mason huyoUmeona, kataa ndoa....ndoa inafubaza
Shusho hakuna mlokole pale uongo tena wa hali ya juuYaani huwa nawakatiza hapohapo kwamb umesema umeokoka.. then mbona hapa unachonieleza niuongo.. kama nina reference yake hata ndogo tu nampa
Hapo sasa ana ubavu wa kufungisha ndoa ya Kikristo? Kahaba huyoHivi, akiwa kama mchungaji, ATAFUNGISHA NDOA?
🙄Ndoa ni kwa ajili ya watu 'mediocre' wasio na malengo makubwa.
Wanaume wengi hawafahamu hili nadhani kabla ya kuingia kwenye hizo ndoa wanapaswa wajue kwanza hili halafu wasiichukulie serious sana ndoa watajiepusha na mengi toka kwa wake zaoNaked truth! Wanaziheshimu ndoa kwasababu ni sehemu ya kusitirika lakini kiuhalisia wanapenda uhuru sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mariam Magdalene ni nani?Kuna Mahali YESU aliteua mtume mwanamke?
Na mitume wote wa YESU hatusomi popote kuwa walivunja NDOA zao.
Walienda kutumika, na walirudi Kwa wake zao.
Hakuna freemason bongo, utapeli tu.Kaingizwa freemason huyo na akina Diamond kawa initiated kwenye u free Mason huyo
Ni kweli kabisa mkuu. Nakuunga mkono na mguu. Mke wako ni RAFIKI yako sio NDUGU jamani. Ndugu zako ni watoto wako na ndugu zako wengine wa damu. Jamani mbona mnakuwa wagumu kuelewa? Shida ni nini kwani?Hakuna undugu Kati ya mume na mke usijizime data.
Mke wako ndugu zake ni watoto mliozaa siyo wewe, Kwa akili hizi mtaendelea Sana kuteswa na wanawake maana hamuwajui.
"Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ"
View attachment 2959387
"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"
"Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili
MAONI YANGU
Mimi namuunga mkono mchungaji kwa asilimia 100 kwani mume sio ndugu yako bali ni kama rafiki mliyekutana ili kuunda familia. Ukiona mume/mke anasababisha malengo yako yasitimie, achana naye mara moja. Nawashauri wanaume msiwe vikwazo kwenye ndoto za wake zenu. Namtakia kila la kheri mchungaji Shusho kwenye kazi yake mpya ya kueneza injili ya Bwana.
Mungu ambariki sana.
Alikuwa mwanafunzi tu kama wanafunzi wengine,Mariam Magdalene ni nani?
Kama anakuwa, kikwazo, kufikia ndoto, na kutumia (to the maximum) Karama alizokupa Mungu, huyo piga chini.Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ"
View attachment 2959387
"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"
"Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili
MAONI YANGU
Mimi namuunga mkono mchungaji kwa asilimia 100 kwani mume sio ndugu yako bali ni kama rafiki mliyekutana ili kuunda familia. Ukiona mume/mke anasababisha malengo yako yasitimie, achana naye mara moja. Nawashauri wanaume msiwe vikwazo kwenye ndoto za wake zenu. Namtakia kila la kheri mchungaji Shusho kwenye kazi yake mpya ya kueneza injili ya Bwana.
Mungu ambariki sana.
Alivyotangaza habari za ufufuo wa Yesu...Alikuwa mwanafunzi tu kama wanafunzi wengine,
Hakuwa mmoja wa mitume Wala hakuwa Mchungaji.
Ni Kweli usemacho,Alivyotangaza habari za ufufuo wa Yesu...
Tena alikuwa na macho ya Rohoni...
Maana hata hao mitume wengine hahakuwa na macho ya Rohoni, ni Petro tu alimjua kuwa Yesu ni nani...
Mariam Magdalene mwanamke ambaye alikuwa wa kwanza kutanganza injili ya ufufuo wa Yesu...
niko tayari kukosolewa ila kama kuna umalaya uliofungwa kwenye Mti mkavu ni huu wa single mother! yaani wanakimbia ndoa halafu wanaleta visingizio vya kike!Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ"
View attachment 2959387
"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"
"Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili
MAONI YANGU
Mimi namuunga mkono mchungaji kwa asilimia 100 kwani mume sio ndugu yako bali ni kama rafiki mliyekutana ili kuunda familia. Ukiona mume/mke anasababisha malengo yako yasitimie, achana naye mara moja. Nawashauri wanaume msiwe vikwazo kwenye ndoto za wake zenu. Namtakia kila la kheri mchungaji Shusho kwenye kazi yake mpya ya kueneza injili ya Bwana.
Mungu ambariki sana.
Tena alikuwa na dhambi biblia inasema, sembuse kuacha mume kitu kidogo hicho, hajamuacha kwa kuwa na mume mwingine...anafanya kazi ya Bwana...Ni Kweli usemacho,
Mariam Magdalene hatuambiwi kokote kuwa alimwacha mumewe.
Na ni UKWELI kuwa, hakuwa mmoja wa mitume, Bali mashirika katika kristo katika kusaidia mambo mbalimbali.