Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

Mkuu umenikumbusha mbali sana miaka ya 2000 niliwahi kumlepeleka mwanamke geto kwangu akalala mbele kimya kimya.
 
Kwa hiyo unataka kusema Christina alipomuacha mumewe na kufuata injili ni sahihi kabisa?
 
 
Wengi hapa mahusiano yao yapo juu ya maweπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Ila kiukweli ukiwa mwanamke kama una ndoto/malengo yako ni mara chache sana kutimiza ukiwa kwa mume.
So Shusho is right atimize ndoto zake...maisha ndo haya haya
kwani huyo mume ndiye anazuia ndoto zake mkuu? Kivipi? Huyu mama ana jambo lake ila anatumia dini kama kisingizio.
 
Kwahiyo hao wanawake hawastihili kutubebea Mimba?...
 
Utafiti unaonesha Waimbaji wa kike mara nyingi ndoa zao either zina viraka au zimevunjika kabisa
1) Beatrice muhone
2)Rose Muhando
3)Bahati Bukuku
4)Martha Mwaipaja na sasa
5)Angel Bernad
6) Christina Shusho

Hii sio Coincidence kuna shida mahali.
Umesahau yule aliyemuacha mmewe akamwambia aoe mwanamke mwingine yeye ana majukumu makubwa kitaifa akaja kuolewa na juma awesu mke wa pili. Na mme wake wa kwanza alikuwa sijui ni dc
 
Utafiti unaonesha Waimbaji wa kike mara nyingi ndoa zao either zina viraka au zimevunjika kabisa
1) Beatrice muhone
2)Rose Muhando
3)Bahati Bukuku
4)Martha Mwaipaja na sasa
5)Angel Bernad
6) Christina Shusho

Hii sio Coincidence kuna shida mahali.
Huwa wanaanza kuimba wakiwa dedicated to God..ila muda unavyoenda wanapata umaarufu ndipo shetani anawaingia..shangazi yangu aliniambia waimba nyimbo za injili wanatafutwa sana na lucifer sababu ye ndio ilikuwa kazi yake akiwa malaika..huwa anahakikisha anawabomoa. Wengi wakitetereka kidogo wanaanguka. Hii kitu nilijua itafika kwa christina kama ilivyokuwa kwa wenzie.
 
Kuna mutu sikuhizi anaitwa madme Flora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…