Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

Nikajua Shusho ni jina la mmewe ama mimi ndiye nakosea?
 
Hamna mtu anayeweza muelewa Christina kwakuwa ukiitwa na Mungu Kuna vitu unatakiwa uache ..

Hata wanafunzi wa Yesu waliacha hata kazi wakamfuata Yesu...

Mambo ya Rohoni na mwilini ni tofauti kabisa...
Unachanganya Mambo akili ndogo! Unaondokaje kwenye ndoa, kabla ya kifo kuwatenganisha?
 
Huyu Hana tofauti na zuchu wa bongofleva, anapanuliwa kila siku, kitu inaliwaaweeeee! Lakini bado anajiona "mtoto wa ki Islam" Hapo atakuambia hafanyi tangszo la pombe!
Shusho, alitaka kuwa huru afanye yake, hakuna ubaya, kama alikuwa ananyanyasika kwenye ndoa,
Ila alipochemka ni kusema "ni wito tu" Wa Mungu ndio umemtoa ndoani! Big lie,
Ange kuwa, wa, maaana sana kama angesema, wameachana, kwa, taraka baada ya kushindwana!
 
Ndio. Hilo ni jina la mumewe wa zamani. Kwa sasa yupo single mother anahubiri injili ya Bwana wetu Yesu Kristo.
Sasa sijui anawafundisha nini mabinti kanisani kama yeye ndoa imemshinda. Huyu ni wa kuweka mbali na mabinti na wanawake

Single maza wengi wa aina ya Shusho ni feminists wanawapandikiza mitazamo mibaya sana wanawake ambao wameolewa wapambanie 50/50

Na mambo wanayofundisha mabinti ambao hawajaolewa ni ya kuja kuwafanya kuwa wake wa hovyo sana kwa waume zao.

Na wana roho mbaya sana wanataka mabinti waharibu maisha wasiolewa wawe kama wao

Malaya kama hawa kwenye jamii ni wa kuwaepuka sana
 
Bila akili, nguvu, busara, juhudi na mali za mume wake (Pastor Shusho) huenda leo hii hakuna mtu angekuwa anamjua Shusho kwa level ile ya umaarufu wa kuimba. Kwa sasa Christina Shusho ameamua kuizamisha boti (ndoa) iliyombeba kumsafirisha katika bahari yenye mawimbi mengi akiamini boya (umaarufu) litamsaidia kusafiri mbali.

Muda ni mwalimu mzuri sana.
Tusubiri zaidi.
 
Kwahiyo hao wanawake hawastihili kutubebea Mimba?...
Umeona wapi nimesema habari za kubeba mimba, majukumu yote niliyoyataja mimi mnaweza kuyafanya ila kwanini hamyafanyi, je wanawake wakianza kuwahudumia nanyi mtakuwa tayari kufanya majukumu yao yote ukitoa yale ya kimaumbile
 
Nampongeza kwa uwazi wenye mashaka. Wanaume wakatoliki ndoa zao zinadorora na kisha kuvunjika kwq sababu ya WAWATA lakini wako kimya. Kanisa katoliki wamewapa WAWATA uhuru mkubwa dhidi ya kuwepo kwa ndoa zao na kuathiri ndoto za waume zao.
 
Sema alitaka kusema huyo mwanaume sio type yake akaona aibu!
Wakati ukute ndio mtu alomleta mjini πŸ˜†πŸ˜†
Ukute amemtoa Kasuru huko porini.
Au kama wali kutana kimjinimjini hapo thawa.

Zamani wanaume walikuwa wanaoa makwao huko vijijini,
Mwanamke analeta hata ku-flush choo hajui anafundishwa, kutumia jiko la umeme hajui, usafi wa Nyumba kupiga deki hajui, kusafisha choo hajui, n.k

Yanni full mshamba.

Kuna wanawake wanaume zao wamewatoa mbali sana yawapasa kuwaheshimu na kuwashukuru siku zote.
Lakini sasa wakishajua ya mjini huwaambii kitu πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…