TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Na huu uvamizi ni wa kiwango cha uzito size ya rishta, yaani unakaribia kuharibu vizazi.Kanisa la Kristo limevamiwa.
Kauli ya Shusho ni kama mwenzetu amesha Left Group?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huu uvamizi ni wa kiwango cha uzito size ya rishta, yaani unakaribia kuharibu vizazi.Kanisa la Kristo limevamiwa.
Kauli ya Shusho ni kama mwenzetu amesha Left Group?
Nikajua Shusho ni jina la mmewe ama mimi ndiye nakosea?Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ"
View attachment 2959387
"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"
"Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili
MAONI YANGU
Mimi namuunga mkono mchungaji kwa asilimia 100 kwani mume sio ndugu yako bali ni kama rafiki mliyekutana ili kuunda familia. Ukiona mume/mke anasababisha malengo yako yasitimie, achana naye mara moja. Nawashauri wanaume msiwe vikwazo kwenye ndoto za wake zenu. Namtakia kila la kheri mchungaji Shusho kwenye kazi yake mpya ya kueneza injili ya Bwana. Mungu ambariki sana.
Unachanganya Mambo akili ndogo! Unaondokaje kwenye ndoa, kabla ya kifo kuwatenganisha?Hamna mtu anayeweza muelewa Christina kwakuwa ukiitwa na Mungu Kuna vitu unatakiwa uache ..
Hata wanafunzi wa Yesu waliacha hata kazi wakamfuata Yesu...
Mambo ya Rohoni na mwilini ni tofauti kabisa...
Atafute biblia yake na imani yake, siyo Biblia hii inayomkataa!.Kaamua afanye umalaya kwa uhuru kwa kupitia mapato ya biashara ya kabisa lake, muacheni.
Kukataza.Kukemea ndio kufanyaje ndugu?
Ameshakuwa JezebelUkimtizama kwa makini unaona kabisa sio yule wa zamani aliyekuwa na aibu saiv kawa gumegume shangingi la mjini, yani shetani wanaemkemeaga kamvaa juu chini
Yes, Shusho ni jina la mume wake.Nikajua Shusho ni jina la mmewe ama mimi ndiye nakosea?
+Frola MbashaUtafiti unaonesha Waimbaji wa kike mara nyingi ndoa zao either zina viraka au zimevunjika kabisa
1) Beatrice muhone
2)Rose Muhando
3)Bahati Bukuku
4)Martha Mwaipaja na sasa
5)Angel Bernad
6) Christina Shusho
Hii sio Coincidence kuna shida mahali.
Sasa sijui anawafundisha nini mabinti kanisani kama yeye ndoa imemshinda. Huyu ni wa kuweka mbali na mabinti na wanawakeNdio. Hilo ni jina la mumewe wa zamani. Kwa sasa yupo single mother anahubiri injili ya Bwana wetu Yesu Kristo.
Umeona wapi nimesema habari za kubeba mimba, majukumu yote niliyoyataja mimi mnaweza kuyafanya ila kwanini hamyafanyi, je wanawake wakianza kuwahudumia nanyi mtakuwa tayari kufanya majukumu yao yote ukitoa yale ya kimaumbileKwahiyo hao wanawake hawastihili kutubebea Mimba?...
Nampongeza kwa uwazi wenye mashaka. Wanaume wakatoliki ndoa zao zinadorora na kisha kuvunjika kwq sababu ya WAWATA lakini wako kimya. Kanisa katoliki wamewapa WAWATA uhuru mkubwa dhidi ya kuwepo kwa ndoa zao na kuathiri ndoto za waume zao.Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ"
View attachment 2959387
"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"
"Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili
MAONI YANGU
Mimi namuunga mkono mchungaji kwa asilimia 100 kwani mume sio ndugu yako bali ni kama rafiki mliyekutana ili kuunda familia. Ukiona mume/mke anasababisha malengo yako yasitimie, achana naye mara moja. Nawashauri wanaume msiwe vikwazo kwenye ndoto za wake zenu. Namtakia kila la kheri mchungaji Shusho kwenye kazi yake mpya ya kueneza injili ya Bwana. Mungu ambariki sana.
Aachane na hilo jina pia.Yes, Shusho ni jina la mume wake.ane
Je uliwahi mkuta Mitaa ipi akifanya ukahaba?Kahaba..........
Mumewake saizi ni Diamond 🤣🤣
Wakati ukute ndio mtu alomleta mjini 😆😆Sema alitaka kusema huyo mwanaume sio type yake akaona aibu!