Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu


kwaiyo moyoni kuna macho haya haya nayoyajua mm ? ebu nifafanulie zaid
Muhubiri 2:14

Macho ya mwenye HEKIMA, yamo " kichwani" mwake.

Moyoni ndimo kichwani,

Moyo una macho, na moyo hauko kifuani, Bali kichwani.

Na huko kichwani ndiko kwenye macho ya Roho/ moyoni.

Isikupe taabu, ukilala na kuota ndoto, Yale macho ambayo ndiyo hukupa kuona, ndiyo hayo macho ya moyoni/Rohoni/ kichwani.
 
Kama mapadri na watawa wapo single na wanahudumu kanisani, naye yupo sawa tu.
Cha msingi mchungaji asiwe na boyfriend tu
 
Wenye element za umalaya lazima watetee upuuzi.

Mama Samia ametimiza ndoto zake akiwa na Mume wake tena mke wa Pili.

Sasa hawa wadangaji wanasingizia ndoto zipi, kuna ndoto inayozidi Urais wa nchi?
Kwamba Rais Samia aliwahi kuwa na ndoto za kuwa Rais wa JMT? Kuanzia lini na wapi tunaweza soma history hiyo?

Kwamba Rais Samia ameapishwa uRais wa JMT akiwa ndani ya Ndoa halali ya mume mmoja na wake wanne? Kabisa?!?
 
Kwamba Christina sasa ni msagaji na mkoboaji wa waumini wa kanisani kwa mume wake?

Watanzania mnashika bendera ya wasaga kunguni duniani!
 
Hii takataka nayo huwa mnaisikiliza? Jicho tu linaeleza huyu ni mchepukaji!
 
Huwa siwaelewi walokole hasa katika suala la ndoa kwa jinsi inavyotakiwa katika Ukristu. Nadhani mume mmjoja, mke mmoja inasimamiwa vizuri na Roman Catholics ukilinganisha na 'Wakristu' wengine
 
Kiasili na Kiafrica mwanamke huheshimika zaidi akiwa na mume tofauti na hapo labda kama mume alifariki nje ya hapo mwanamke hudharaulika
 
duuuuhhh
 
Wapo baadhi ya wanaume kwa upuuzi wao au ufahari wa kiume ama fikra hasi, huzimisha au hukwamisha mipango ya kiuchumi ya wake zao ambayo ingetimia ingekua faida kwa familia nzima.
Hata Kama sio kwa faida ya family nzima ila yake yeye mke/ mwanamke binafsi katika kutimiza uumbwaji wake bado ni muhimu pia, kila nafsi itajibu kuhusu hesabu zake na sio za nafsi nyingine.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwanini asingetimiza kwanza ndoto zake ndio aolewe? kama hapendi kuitwa mchungaji kwanini ameanzisha kanisa la nini? na kwakuwa ameanzisha kanisa anapendwa tumuite nani?
Ndoto zilikuja akiwa tayari ameolewa mkuu. Anapenda aitwe Madam kama ilivyo kwa Madam Flora.
 
Kila mtu huitwa kivyake...

Sio lazima wawe pamoja...

Ikumbukwe Kila mtu hapa Duniani anakazi ambayo amepewa na Mungu kufanya.

Ndoa ni mambo ya Duniani tu.
Duu ndoa ni mambo ya duniani....... hivi ushajiuliza why Mungu alimsihi Yusuph kumrudia Maria........ hivi ww si mlokole...... biblia mnaisomaje nyie.

Ndoa ni moja la tendo la kiroho,lina kibali cha Mungu kwa hiyo Mungu alimwambia achane na kitu alicho kibaliki yy mwenyewe....... kwa kifupi alicho kifanya ni kufuru.

Halafu kesho wakishachuja wanakuja kudondokea kwa wazee wa Fursa wakina Kitenge nao hawanaga hiya unapewa penzi kadri ya fedha zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…