Wewe uliwahi kuona macho ya moyo?kwaiyo moyoni ndo rohoni??......moyo na roho ni kitu ki1?
Macho ya moyoni na ya Roho ndio Yale Yale!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe uliwahi kuona macho ya moyo?kwaiyo moyoni ndo rohoni??......moyo na roho ni kitu ki1?
kwaiyo moyoni kuna macho haya haya nayoyajua mm ? ebu nifafanulie zaidWewe uliwahi kuona macho ya moyo?
Macho ya moyoni na ya Roho ndio Yale Yale!!
Muhubiri 2:14kwaiyo moyoni kuna macho haya haya nayoyajua mm ? ebu nifafanulie zaid
Kwamba Rais Samia aliwahi kuwa na ndoto za kuwa Rais wa JMT? Kuanzia lini na wapi tunaweza soma history hiyo?Wenye element za umalaya lazima watetee upuuzi.
Mama Samia ametimiza ndoto zake akiwa na Mume wake tena mke wa Pili.
Sasa hawa wadangaji wanasingizia ndoto zipi, kuna ndoto inayozidi Urais wa nchi?
Kwamba Christina sasa ni msagaji na mkoboaji wa waumini wa kanisani kwa mume wake?Huyo Christina Shusho amejiunga kwenye utajiri wa nguvu za giza/freemasons
Kipindi yupo na mume wake, mume aliumwa sanaa, watumishi wenzake wakamuombea ikagundulika Christina anataka kumtoa mume wake kafara
Akaulizwa akakana... mume akapona ndoa ikaendelea, alikua ni mwizi kwa mume wake
Ametembea sana na waumini wa kike kanisani kwa mume wake
Alipoona nguvu za Mungu kwa mume wake zinamuharibia mambo yake ndio akaanza kudai talaka
Ndoa imeisha kafungua kanisa
Kwa ambao washawahi kwenda kwenye kanisa la Christina watakua mashahidi! Kanisani kwake madhabahuni hamna msalaba kuashiria kristo kama kwenye makanisa mengine.
Waumini wanaingia ibadani na vipedo, tight na skin jeans, yeye mwenyewe Madam anafundisha neno huku kavaa gauni limemshape (anaitwa madam kwasababu kawapiga marufuku waumini wasimuite mchungaji)
Nimeishia hapo.
Hii takataka nayo huwa mnaisikiliza? Jicho tu linaeleza huyu ni mchepukaji!Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ"
View attachment 2959387
"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"
"Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili
MAONI YANGU
Mimi namuunga mkono mchungaji kwa asilimia 100 kwani mume sio ndugu yako bali ni kama rafiki mliyekutana ili kuunda familia. Ukiona mume/mke anasababisha malengo yako yasitimie, achana naye mara moja. Nawashauri wanaume msiwe vikwazo kwenye ndoto za wake zenu. Namtakia kila la kheri mchungaji Shusho kwenye kazi yake mpya ya kueneza injili ya Bwana. Mungu ambariki sana.
Huwa siwaelewi walokole hasa katika suala la ndoa kwa jinsi inavyotakiwa katika Ukristu. Nadhani mume mmjoja, mke mmoja inasimamiwa vizuri na Roman Catholics ukilinganisha na 'Wakristu' wengineMwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. "Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"
duuuuhhhMuhubiri 2:14
Macho ya mwenye HEKIMA, yamo " kichwani" mwake.
Moyoni ndimo kichwani,
Moyo una macho, na moyo hauko kifuani, Bali kichwani.
Na huko kichwani ndiko kwenye macho ya Roho/ moyoni.
Isikupe taabu, ukilala na kuota ndoto, Yale macho ambayo ndiyo hukupa kuona, ndiyo hayo macho ya moyoni/Rohoni/ kichwani.
Hata Kama sio kwa faida ya family nzima ila yake yeye mke/ mwanamke binafsi katika kutimiza uumbwaji wake bado ni muhimu pia, kila nafsi itajibu kuhusu hesabu zake na sio za nafsi nyingine.Wapo baadhi ya wanaume kwa upuuzi wao au ufahari wa kiume ama fikra hasi, huzimisha au hukwamisha mipango ya kiuchumi ya wake zao ambayo ingetimia ingekua faida kwa familia nzima.
Kwahiyo ndoa sio lazima ila kudinywa bila ndoa ni lazima?Nashangaa wamekariri.
Wakati mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa. 😆😆
Kwenye ndoa kuna sadaka mkuu? Unataka aendekeze mahubiri ya ndoa afe njaa? Watoto wake wataishije?Hivi si inasemekana kuwa ktk ndoa ni kumhubiri huyo bwana wenu,sasa mbona yeye kaachana na hiyo taasisi ya ndoa halafu anawadanganya kuwa anamhubiri bwana yenu?
Kwa hiyo ili apate pesa akaona ni bora aachane na ndoa?Kwenye ndoa kuna sadaka mkuu? Unataka aendekeze mahubiri ya ndoa afe njaa? Watoto wake wataishije?
😂😂😂😂😂😂😂Sasa angepata vipi pa kuishi na Kongo vita?? Ndio umuhimu wa kuwa KE huo. Ss hivi simba la masimba amemfungulia dunia kuwa unachotaka amgande babu wa nini?? 🤣🤣🤣🤣
Lakini na nyie mwanaume mwenzenu si kamtumia jamani 😜
Ukute hata usiku alikuwa anamuamsha ampe mbuzi kagoma 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Ndoto zilikuja akiwa tayari ameolewa mkuu. Anapenda aitwe Madam kama ilivyo kwa Madam Flora.Kwanini asingetimiza kwanza ndoto zake ndio aolewe? kama hapendi kuitwa mchungaji kwanini ameanzisha kanisa la nini? na kwakuwa ameanzisha kanisa anapendwa tumuite nani?
anaitwa nani? Mbona tunasikia Wasafi TV na radio ni mali ya Diamond na Kusaga?Mume wake ni msaani wa bongofleva na mmiliki wa Wasafi TV na Wasafi FM.
Duu ndoa ni mambo ya duniani....... hivi ushajiuliza why Mungu alimsihi Yusuph kumrudia Maria........ hivi ww si mlokole...... biblia mnaisomaje nyie.Kila mtu huitwa kivyake...
Sio lazima wawe pamoja...
Ikumbukwe Kila mtu hapa Duniani anakazi ambayo amepewa na Mungu kufanya.
Ndoa ni mambo ya Duniani tu.