Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

Sasa yeye anaenda kinyume na injili yewewe halafu watu wanakwenda kwake kujifuza injili. Kwa mtu ambaye haifuwati wala kuamini in jirani yenyewe. Ndio maana mimi Sita kwenda kupoteza mda wangu kwenye makanisa.
 
Sasa yeye anaenda kinyume na injili yewewe halafu watu wanakwenda kwake kujifuza injili. Kwa mtu ambaye haifuwati wala kuamini in jirani yenyewe. Ndio maana mimi Sita kwenda kupoteza mda wangu kwenye makanisa.
Ndio hapo sasa. Haya makanisa yanayoibuka kila siku na viongozi wake kujiita mitume na manabii, ni shida kubwa sana.
 
Sawa mama umeamua kuwa mchungaji, sasa utakuwa mchungaji wa namna gani usiye na ushuhuda mzuri wa ndoa? Waumini wako watakuwa kama wewe mchungaji wao, hawatakuwa na utii kwa waume zao, watakuwa ni wakaidi kutaka ndoto zao zitimie nje ya ndoa
Shetani yupo kazini, mwanamke kachagua wazi wazi kuwa wakala wa kazi za shetani.
 
Haya maneno yanatakiwa kuprintiwa halafu karatasi zake zisomwe kikao kijacho cha umoja wa mataifa cha usalama.
 
Wengi hapa mahusiano yao yapo juu ya mawe[emoji28][emoji28][emoji28]

Ila kiukweli ukiwa mwanamke kama una ndoto/malengo yako ni mara chache sana kutimiza ukiwa kwa mume.
So Shusho is right atimize ndoto zake...maisha ndo haya haya
Mmmmmmhmn ndoto gani hizo, ukiona mwanaume anakuwa kikwazo kwenye ndoto zako jiulize mara mbili mbili hizo ndoto zinauzito gani?
 
Nilimuaona kwenye siku ya valentine nadhani mwaka juzi kama sio mwaka jana, kulikuwa na halfa ya wasimbe ilikuwa inarushwa live channel ten.

Kuna vitu aliongea akiwa ameshika mic [emoji441] vya kipuuzi sana na vya kifeminist nikaona huyu na akina Joyce kiria tofauti yao ni majina ila software ya upumbavu wanayotumia ni ile ile tu.
 
Nimeikuta sehemu hii hapa chini, ni KINYUME kabisa na aliyoyaamua..!! sikiliza

Your browser is not able to display this video.

Huyu anahitaji huruma ya Mungu...!!
 
Watu mnahasira na Christina aiseeh!

Kwani ndoa ni lazima ?

Haya Yesu alimuoa nani ?

Hao watawa, mapadre wameoa na kuolewa na nani ?
Tumia hata akili za kuvukia barabara basi, acha huu upuuzi unaongea hapa.
 
Kuna uchungaji wa kusoma na uchungaji wa kuitwa na Mungu mwenyewe.
Ili akamchunge nani labda uchungaji wa mbuzi ila huu wa kichunga wanadamu yeye keshafeli. Ndoa ndio agano la kwanza la mwanamke kwa MUNGU, lilikushinda hilo hakuna la maana unalofanya hapa duniani ambalo litakuwa biblical, kama unabisha nilipe nikuonyeshe ukweli.
 
Wanawake wa kisasa huwa hawataki kupitwa na ile stage inaitwa "Hoe phase". Yaani ile stage ya kufanya mambo ya kipuuzi kama kulala na wanaume zaidi ya m'moja tofauti tofauti, kulewa, kuvuta bangi, kusafiri na huko anakoenda akaliwe na atakaevutiwa nae, kudate na mume wa mtu mara kadhaa, kuchezea dildo, kusagana, kutumia ngada.

Kwakifupi wanawake wa sasa wamezidiwa nguvu na shetani kiasi kwamba wanaona kufanya uhasi ni jambo la ufahari na ni sehemu ya kutimiza kwenye maisha (life goal).

Ukitaka kuwanyoosha wanasema tunawazuia ndoto zao.

Hawa ni kuwaacha wafanye wanachotaka. Kwan mwisho wa siku atakae beba mzigo ni nani kati yao na sisi. Wanamuamini shetani zaidi waacheni wakamtumikie,jukumu la wa kuwazuia lisiwe jukumu letu hata kidogo.
 
Wayahudi zamani wakati wa Sensa wanawake hawakuhesabiwa.

Sasa hivi mnawapa mpaka Urais na midume mizima inageuka machawa.
Huko magharibi kama US wameshaanza kujadili nani aliwaruhusu wanawake kupiga kura. Imagine now mataifa ya magharibi wameshaanza kuona majuto maana wanawake wanapigia kura mambo ya kipuuzi ambayo yanalifanya taifa US kuonekana kituko duniani.
 
Kabisa, kwa uhakika anapelekeana moto na vijana wahuni, sababu mwanamke akiwa nje huku hakuna cha kumkeep busy na anashinda na watu tofauti wanaomfanya ajiskie vizuri matokeo yake anapata hamu ya kuonjwa.

Na madudu mapya wanayapenda balaa.
 
Acha samaki wavuliwe, ni njia tu ya kuwafikia watu wa Mungu...

Acheni kuhukumu watu...

Hata Yesu hakuja kwaajili ya wasio na dhambi alikuja kwaajili ya wenye dhambi.
Huu ni upotoshaji bi dada. Unataka nambia hawa watu wote waliokasirishwa na maamuzi ya huyu dada hapa wapo kwa niaba ya shetani si ndio mpendwa?
 
Nashangaa sijui kwann watu hawalioni hili swala la huyu dada kukaliwa na shetani na kupewa kiburi na jeuri kisha akaiita kwenda kumtumikia MUNGU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…