Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

Mkuu umemaliza kila kitu aisee! Ulichosema ni kweli 100%
 
Mmmmmmhmn ndoto gani hizo, ukiona mwanaume anakuwa kikwazo kwenye ndoto zako jiulize mara mbili mbili hizo ndoto zinauzito gani?
Uzito wa ndoto za mtu anazijua mwenyewe.
 
We're already and we've been westernized long time ago. Single mama saivi ni habari ya mjini. Kuna yule kinda akasema anapenda azalishwe tu mtt alea Ila hata mme.
People need freedom than anything else.
Utambanaje mtu anataka akale Bata na wakati jioni tu awepo home.
Anataka awepo kwa birthday party ya mashosti zake
 
Mkuu naona umeongea kwa uzoefu kabisa. Ni kweli wakati mwingine mwanamke akiwa na nyege anakuwa kama mwehu. Usipomjulia unaweza kumpeleka Mirembe wakati dawa yake ni miti tu.
 
Unayatazama maisha kama ajira ndio maana hauwelewi hata purpose ya kilichokuleta duniani kama mwanamke. Msiba mzito sana huu.
Kiuhalisia wanaume hasa wa kizazi hiki ndio hamuelewi purpose ya kilichowaleta duniani kama wanaume ndio maana kutwa mnashindana na wanawake kwenye jukumu la kuhudumia familia, mwanaume anayejua wajibu wake suala la kuhudumia familia siyo la kujadiliana kama ambavyo mwanamke hajadiliani na ninyi kwenye suala la kulea watoto, kitendo cha wanaume kutaka kushindana na wanawake kinaonesha ni jinsia gani imefeli zaidi katika nafasi yake
 
Tunalo jukumu la kulinda taasisi Ndoa kwa nguvu zote ndio maana tunawasha moto kila siku hapa JF. Ninyi ndoa mnaiharibu kwa maneno na vitendo na ndio mnafaida nayo kutuliko.
Huo moto mnaowasha tunautumia kuota kwenye baridi, kisha tunaendelea na mengine muda ni mchache
 
Inasikitisha mno!
 
Huyo ni Mchungaji wa mshahara maana yeye ni Mchungaji lakini hapendi kuitwa Mchungaji kwa kuwa hakuitwa na Bwana, bali atimize malengo yake anayoyajua yeye.
 
Sina maelezo zaidi ya hayo mkuu! Niliyoyaandika ni ya ukweli lakini nimemchafua sijajisikia vizuri

Tumpe muda kila kitu kitakua wazi siunaona ameshaanza mdogomdogo kujiexpose
Kanisa lake lipo Manzese tip top karibu na Darajani
Waumini wake hawajielewi.
 
Huyo ni Mchungaji wa mshahara maana yeye ni Mchungaji lakini hapendi kuitwa Mchungaji kwa kuwa hakuitwa na Bwana, bali atimize malengo yake anayoyajua yeye.
May be she's one of the many fake pastors we have in this country.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…