Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

Ndugu yangu!!!! dunia ya leo haukuna mwanamke anakubali kuwa chini ya mwanaume!!"HAMNA"!!!
 
Dini zimepoteza mwelekeo
 

Kwa mtazamo wake huo bado ana kanisa lenye waumini?

Mchungaji gani asiyejua hata haya maandiko??

Waefeso 5
22 Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu.

23 Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili.

24 Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo.
 
Eti "alichounganisha Mungu asitenganishe mwanadamu" . Napenda sana talaka za Kiislamu.
Chap kwa haraka na ndiyo maana huko kuna ndoa za mkeka..!! Binafsi sizipendi. Utaratibu wao mzima wa kufungisha ndoa na urahisi wa talaka unamfanya mtu aichukulie ndoa kimasihara sana..!!

BTW, kuna ndoa za mwezi mtukufu halafu baada ya hapo mtu anaachwa..!!
 
Hakuna kipengele kinachoruhusu kuwakemea endapo hayupo chini ya mwamvuli wa dhehebu lako.
1. Walutheran huwajibishana kwa mujibu wa kanuni zao.

2. RC huwajibishana kwa taratibu zao

3. Wapentecoste vilevile.

4. Hawa wa makanisa binafsi...MAPOPO yanajiendea tu.

Hata ukimkemea ni bure, wasaka tonge hawa
 
Yezebel spirit at work

Si sawa kutumia vyombo vya madhabahu kuwapa mabaali kuvinywea na kusifia miungu Yao.

Mene mene tekel na peresi. Mungu atawavuna wasipokubali kutubu ,ni suala la muda tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…