Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

Mkuu umemaliza kila kitu. Uzi ufungwe. Huyu mwanamke anajilisha upepo bure. Kama amenigewa sana na mume wake mpya (Diamond) basi abadili dini ili amuoe badala ya kutulisha matango pori kuwa anamtumikia Mungu kwa kutumia misingi ya kidunia ghairi ya misingi ya kiMungu.
 
Taliban ndio wanaijuwa nafasi ya mwanamke Kwa usahihi.

Shida zote hizi zimeletwa na Wamagharibi.
Wanaume wenye akili daima wanajua fitna za kiuchumi ili ndoa isonge,jifanye democrat uone tofauti ya jua na mwezi japo vyote vinaangaza.

The only place you can win your wife intelligently ni kwenye finance yaan hapo tuuuu ndipo utadhihirika wewe jiniazi kweli au kiazi wa maisha🤣🤣🤣

Psychologically mwanamke anahitaji kitu kinaitwa"SENSE OF BELONGING"

Hizi ni zile hisia za kujihisi anamilikiwa na mtu fulani.

Na ili aweze kuipata hizo hisia anatakiwa kuzidiwa Akili, Fedha na Umri.

Mwanamke akimzidi mwanaume kimoja kati ya hivo mara nyingi huleta shida!
 
Mkuu umeongea kifalsafa zaidi na umeeleweka
 
Mda mwingine nafikiria hata YESU alipopewa jukumu la kuikomboa Dunia nahisi alimuomba MUNGU asimpe jukumu jingine la kua na mwanamke (mke)
 
Mda mwingine nafikiria hata YESU alipopewa jukumu la kuikomboa Dunia nahisi alimuomba MUNGU asimpe jukumu jingine la kua na mwanamke (mke)
Kwa hiyo Christina yupo sahihi kumuacha mzee Shusho na kumfuata Diamond kwa kisingizio cha kuhubiri injili?
 
Tatizo amejiona mzuri sana akimuangalia Mzee shusho Hana mvuto akasema beauty yake haiwezi kuishia kwa kizee kama kile ukizingatia kizee kiliacha kazi TRA
Tatizo Diamond anamtia mashine hadi kichwa kimevurugwa. Akimuona mzee Shusho anamuona ma.vi.
 

Huyu ni kahaba tu kwa kisingizio cha utumishi
kweli mzee baba!!!!! KAHABA hana alama,ila matendo na kauli zake zinajidhihirisha!!
 
Tatizo Diamond anamtia mashine hadi kichwa kimevurugwa. Akimuona mzee Shusho anamuona ma.vi.
Ndio akome nae Mzee shusho aliona amepata chombo akaamua kuionyesha dunia Kuwa ana mke mzuri matokeo yake amenyooshwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…